Tuwasiliane , tutaongea vizuri kuhuzu swala la discount.nitakutafuta mkuu ila discount mkuu
inao uwezo huo na inao uwezo hata wa kuonyesha gari lilipopita kwa siku za nyumaJe ina uwezo wa kuniambia Gari yangu iliko (GPS)??
Kwa siku za nyuma kivipi??inao uwezo huo na inao uwezo hata wa kuonyesha gari lilipopita kwa siku za nyuma
nilimaanisha ukishafunga baada ya kuwa na kifaa tuseme kwa miezi mitatu na ukaona unahitaji kupata ripoti ya mwezi mmoja uliopita basi unaweza kuona pia na kama unahitaji kujua live report(current report ) basi unaweza kupata .Kwa siku za nyuma kivipi??
Yaani ufunge leo kisha ionyeshe jana ilipita wapi??
Au sijaelewa??
Na Gharama zake ni kiasi gani Initial Costs na Monthly Charges (kama zipo)??
Sawa Mkuu,nilimaanisha ukishafunga baada ya kuwa na kifaa tuseme kwa miezi mitatu na ukaona unahitaji kupata ripoti ya mwezi mmoja uliopita basi unaweza kuona pia na kama unahitaji kujua live report(current report ) basi unaweza kupata .
gharama ya kufunga ni shillingi laki tatu (TSH300,000/-) na monthly charges ni shilingi elfu 20,000/- . ukilipia monthly charges utapata report zote kupitia web account na kwenye android/iphone app . na kama utaamua kutolipa monthly charges utapata taarifa kupita sms kwenye simu yako ya mkononi .
Haina shida , tuwasiliane kwa namba ya simu tupange vizuriSawa Mkuu,
Nimekuelewa na nimeipenda hii kitu, nitakutafuta Jumapili keshokutwa
haili sana data , kingine inategemea na settings za device na matumizi ya gari yako , device mara nyingi huwa inakuwa active pale gari linapotumika na ndio hapo hutuma data kama halitumiki na chenyewe kinaacha kutuma , labda mpaka kuwe na alarm au taarifa nyingine, lakini pia unaweza kuset kiwe kina toa taarifa kila baada ya muda utakaokuwa unahitaji bila kujali gari limezimwa au kuwashwa.Vipi kuhusu utumiaji wake wa data? Inakula sana mb's au iko wastani?
kifaaKifaa kifaa kifaa
naweza kukupatia demo account ukaangalia pia nakupa warranty ya mwaka mzimaHamna aliyefunga hiki kifaa wakuu akatuambia ufanisi wake?