Usikose kifaa hiki kwenye gari lako

Usikose kifaa hiki kwenye gari lako

vp kuhusu uhai wa betri kitendo cha kuwa On muda mwingi kinawza kuharbu betri na kushndwa kupga stata?
Labda sijakuelewa , Kampuni yetu inahusika na kuweka vifaa vya usalama kwenye magari ambayo ni tracking system na alarm . Swala la ubovu kwenye gari ni vyema ukatafuta fundi wa magari labda tu ikiwa inahusika na vifaa vyetu.
 
Isecure Technology inawaletea teknolojia mpya ya usalama katika gari , ambacho inafanya kazi kama alarm system hapo hapo inafanya kazi ya tracking . Kifaa hiki kina uwezo wa kufanya kazi zote kwa pamoja au kufanya kazi moja moja kutokana na mteja atakavyopendelea. Kifaa kinafanya kazi kama ifuatavyo

1. Kifaa kinafanya kazi kama alarm.

i) Hii inamaana italiza king’ora ikiwa ghali lako litagushwa au kupata mshtuko

ii) Iwapo alarm italia utapata pia taarifa kwenye simu yako ya mkononi.

iii) Milango ya gari itakuwa imefunguliwa.

2. Kifaa kinafanya kazi ya kutrack.

i) Hapa itakupa taarifa ya kuwashwa kwa gari yako ,

ii) Itakupa taarifa ya kuzimwa kwa gari yako

iii) Utapata taarifa ya utumiaji wa mafuta katika gari yako

iv) Itakupatia taarifa kuhusu mwendo kasi wa gari lako na kama gari lako limezidishwa mwendo.

v) Inayo uwezo wa kukupa taarifa ya gari yako kila baada ya muda utakaochagua , mfano kila baada ya nusu saa , hapa itakuletea mwendokasi wa gari ,mahali lilipo, na muda.

vi) Inao uwezo wa kukupa taarifa ya gari lako kutokana na umbali uliotembea , mfano kila baada ya kilomita 3 itakuletea taarifa gari lilipo, mwendokasi, na muda.

vii) Inao uwezo wa kulizima gari lako popote lilipo na lisiweze kuwaka mpaka pale utakapoamua kuliwasha kwa kupitia simu yako ya mkononi.

viii) Pia lina geofencing function, SOS button , online tracking.

Kwanini uweke kifaa hiki kwenye gari lako.

a) Kifaa kina alarm hivyo muda wowote usalama wa gari yako utakuwa wa uhakika

b) Utapata kujua matumizi ya gari yako , mfano speed , eneo lililopo

c) utapata kujua taarifa za matumizi ya mfuta.

d) Hakuna hofu ya gari lako kuibwa kwani unaweza kulizima popote pale na muda wowote.

e) Hakuna malipo ya mwisho wa mwezi pia unao uwezo wa kuchagua kifaa kifanye kazi ipi na ipi kisifanye .

Kwa wanaohitaji Mawasiliano
simu : 0714890018
Email: justine@isecuretec.com
Dah safi sana
 
mkuu acha kuwa kama mbabaishaji kwa kuwa ni biashara ya mtandaoni weka mambo yote hadharani na bei kabisa harafu ss wengine ni mafundi huwa kuna watu wanahitaji huduma hiyo hivyo ukiweka bei inkuwa rahisi sana kwetu. na hata wanao hitaji kufungiwa??
Acha kukurupukaaaa
 
kifaa kinauwezo wa kukupa taarifa popote pale ulipo mtandao, na hata kama hakuna mtandao utapata taarifa zote mara punde mtandao utakaporejea
Ha! Ha failure mi nilidhani kita solve swala la network! Kumbe gari ikiibiwa porini mpaka usubilie mtandao urudi na kama ukiweka laini ya tigo, unaweza ibiwa gari hata ukiwa kariakoo. Alafu weka hata kapicha basi.
 
Haina tatizo bei ni kuanzia 120,000 hii inategemea na aina ya kifaa na kazi inazoweza kufanya. Lakini ambacho kimezoeleka zaidi bei yake ni shilingi za kitanzania 300,000/- . hii utapata kazi zote kasoro hiyo ya kuweza kumonitor fuel lakini inayouwezo wa ku upgrade mara utakapohitaji
Hiyo laki3 ni kwa muda gani?
 
Ha! Ha failure mi nilidhani kita solve swala la network! Kumbe gari ikiibiwa porini mpaka usubilie mtandao urudi na kama ukiweka laini ya tigo, unaweza ibiwa gari hata ukiwa kariakoo. Alafu weka hata kapicha basi.
Tatizo la network ni la kampuni ya simu , ila si kubwa kiasi hiko wakati wa mazungumzo na mteja huwa tunaangalia ni mtandao upi utamfaa kutokana na mazingira yake alipo na pia ikibidi tunaweka line zaidi ya moja kwenye kifaa , hivyo mtandao unakuwa wa uhakika. Karibu
 
Hiyo laki3 ni kwa muda gani?
Laki tatu ni kununua na kuwekewa kifaa na kinakuwa ni chako moja kwa moja , ukihitaji kupata huduma kupitia internet nikimaanisha android/iphone apps na computer utalipia 15,000 kwa mwezi , zaidi ya hapo unaweza kuwa unarecharge simcard mwenyewe na kupata taarifa zote kama ambazo utazipata kwenye internet kupitia ujumbe wa maneno , chaguo ni lako na kama hautalipia kabisa alarm itaendelea kufanya kazi
 
Tatizo la network ni la kampuni ya simu , ila si kubwa kiasi hiko wakati wa mazungumzo na mteja huwa tunaangalia ni mtandao upi utamfaa kutokana na mazingira yake alipo na pia ikibidi tunaweka line zaidi ya moja kwenye kifaa , hivyo mtandao unakuwa wa uhakika. Karibu
hapo sawa, vipi hicho ni home made au vya nje?
 
tatizo mkuu unakwepa maswali.mfano aliyekuuliza juu ya uhai wa betri naamini hujaelewa dhana na nini maana ya swali lake labda mm nikufafanulie ni kuwa .jamaa alikuwa anataka kufaham kuwa au ulitakiwa umwambie hicho kifaa kinatumia power ya kwake au ya kwenye gari??

kama kinatumia power ya kwenye gari hapo ndio kwenye swali la mdau juu ya uhai wa betri ya gari?? ina maana kama ukiswitch off bado betri ya gari itakuwa inatumika kwenye kifaa chako cha tracking na hapo ndio wasiwasi wa muuliza swali ulipojikita.

sijui kama utakuwa umenielewa
 
mkuu usiogope kufafanua au kunijibu swali langu juu ya ni vipi gari likiharibika kifaa kinaweza kutoa taarifa??

kwasababu nafaham utaratibu wa kupata informatio ya gari kutoka kwenye ECU mbali mbali kama kuna tatizo la kielectronics litatokea kwenye gari jinsi ya kupata information.

so kuna kitu nafikiria juu ya hicho kifaa kuwa kama kinaweza kudetect problem ya kielectronic kwenye gari kwa mifumo yote 4

power train,chasisi,body,na CAN basi itakuwa heko sana tunaweza tukaona namna ya kuweza kukitumia kama diagnosis machiney.
 
upo sawa kabisa mkuu
 
asante kwa ufafanuzi , nilihisi hatujaelewana na muuliza swali . Kifaa kinakuwa na battery ambayo huchajiwa na gari pale inapowashwa . Hata hivyo matumizi ya umeme kwa kifaa hiko ni madogo sana , na kwa kifaa huwa kinakuwa in a sleep mode pale ambapo gari linakuwa halitumiki na huanza kuwa active punde tu alarm inapokuwa triggered nikiwa na maana ya milango kufungulia, vibration sensor, kupokea command from sms / internet.
 
mkuu usiogope kufafanua au kunijibu swali langu juu ya ni vipi gari likiharibika kifaa kinaweza kutoa taarifa??

kwasababu nafaham utaratibu wa kupata informatio ya gari kutoka kwenye ECU mbali mbali kama kuna tatizo la kielectronics litatokea kwenye gari jinsi ya kupata information.

so kuna kitu nafikiria juu ya hicho kifaa kuwa kama kinaweza kudetect problem ya kielectronic kwenye gari kwa mifumo yote 4

power train,chasisi,body,na CAN basi itakuwa heko sana tunaweza tukaona namna ya kuweza kukitumia kama diagnosis machiney.
Okay kwa hiki kifaa kingine kama utapenda kujua labda ni kupm maelezo , na sababu ni kuwa nimekujua hapa jf kwa muda mrefu sana na najua upo karibu na mambo ya magari. Na hiyo ni kama ukipenda maelezo kupitia PM kwa hapa itakuwa ngumu.
 
upo sawa kabisa mkuu
Nilihisi hatujaelewana euca . Kifaa kinakuwa na battery ambayo huchajiwa na gari pale inapowashwa . Hata hivyo matumizi ya umeme kwa kifaa hiko ni madogo sana , na kwa kifaa huwa kinakuwa in a sleep mode pale ambapo gari linakuwa halitumiki na huanza kuwa active punde tu alarm inapokuwa triggered nikiwa na maana ya milango kufungulia, vibration sensor, kupokea command from sms / internet. Natumaini tutakuwa tumeelewana sasa.
 
nimekupata vyemA mkuu
 
Mkuu njia ya kwenda Cannosa kuna Kanisa Katoliki? Upo Tegeta Kibaoni,Tegeta ama Nyuki??
Kama unaelekea bunju ni kituo baada ya kibaoni panaitwa njia panda ya chanika unaingia mkono wa kulia mpaka unakuta hilo kanisa katoliki. Maeneo hayo ndio tupo
 
Back
Top Bottom