Usikose kifaa hiki kwenye gari lako

usalama kwanza

JF-Expert Member
Oct 3, 2012
386
157
Isecure Technology inawaletea teknolojia mpya ya usalama katika gari , ambacho inafanya kazi kama alarm system hapo hapo inafanya kazi ya tracking . Kifaa hiki kina uwezo wa kufanya kazi zote kwa pamoja au kufanya kazi moja moja kutokana na mteja atakavyopendelea. Kifaa kinafanya kazi kama ifuatavyo

1. Kifaa kinafanya kazi kama alarm.

i) Hii inamaana italiza king’ora ikiwa ghali lako litagushwa au kupata mshtuko

ii) Iwapo alarm italia utapata pia taarifa kwenye simu yako ya mkononi.

iii) Milango ya gari itakuwa imefunguliwa.



2. Kifaa kinafanya kazi ya kutrack.

i) Hapa itakupa taarifa ya kuwashwa kwa gari yako ,

ii) Itakupa taarifa ya kuzimwa kwa gari yako

iii) Utapata taarifa ya utumiaji wa mafuta katika gari yako

iv) Itakupatia taarifa kuhusu mwendo kasi wa gari lako na kama gari lako limezidishwa mwendo.

v) Inayo uwezo wa kukupa taarifa ya gari yako kila baada ya muda utakaochagua , mfano kila baada ya nusu saa , hapa itakuletea mwendokasi wa gari ,mahali lilipo, na muda.

vi) Inao uwezo wa kukupa taarifa ya gari lako kutokana na umbali uliotembea , mfano kila baada ya kilomita 3 itakuletea taarifa gari lilipo, mwendokasi, na muda.

vii) Inao uwezo wa kulizima gari lako popote lilipo na lisiweze kuwaka mpaka pale utakapoamua kuliwasha kwa kupitia simu yako ya mkononi.

viii) Pia lina geofencing function, SOS button , online tracking.

Kwanini uweke kifaa hiki kwenye gari lako.

a) Kifaa kina alarm hivyo muda wowote usalama wa gari yako utakuwa wa uhakika

b) Utapata kujua matumizi ya gari yako , mfano speed , eneo lililopo

c) utapata kujua taarifa za matumizi ya mfuta.

d) Hakuna hofu ya gari lako kuibwa kwani unaweza kulizima popote pale na muda wowote.

e) Hakuna malipo ya mwisho wa mwezi pia unao uwezo wa kuchagua kifaa kifanye kazi ipi na ipi kisifanye .

Kwa wanaohitaji Mawasiliano
simu : 0714890018
Email: justine@isecuretec.com
 
Sh ngapi? Mambo ya inbox achana nayo wengine tunatumia WI-FI pekee hatuwez piga simu
Haina tatizo bei ni kuanzia 120,000 hii inategemea na aina ya kifaa na kazi inazoweza kufanya. Lakini ambacho kimezoeleka zaidi bei yake ni shilingi za kitanzania 300,000/- . hii utapata kazi zote kasoro hiyo ya kuweza kumonitor fuel lakini inayouwezo wa ku upgrade mara utakapohitaji
 
good! je ufungaji juu yangu au mnanifungia!

when i come back Dar nitakucheki mkuu
 
Karibuni mjipatie alarm na tracking system bora zaidi tanzania. Hivi karibuni nitatangaza ofa kwa ajili ya vifaa vya usalama majumbani, maofisini na tracking system . Nipigie 0714890018 kwa maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom