usalama kwanza
JF-Expert Member
- Oct 3, 2012
- 386
- 158
- Thread starter
- #61
sio sahihi kumuattack mtu ambaye hata humjui na mbaya zaidi hata ushahidi wa unalolisema huna. Lakini nitakutoa shaka sisi kazi yetu ni kuweka vifaa vya usalama ili kupunguza wizi na kuwezesha usimamizi mzuri wa mali , lakini pia kama utahitaji kuandikishiane na mkataba kuwa ukiibiwa kampuni itabeba majukumu yote unakaribishwa sana.Nyie ndo wezi wenyewe mnatrack ili kurahisisha wizi.unless tuandikishane mkataba nikiibiwa wewe ndo utabeba gharama zote.
Kama gari linafanya kazi vizuri halina tatizo , basi linaweza kuwekewa kifaaView attachment 396148 Je kinaweza kufanya kazi na gari hii
Sio rahisi kuchezewa na wahalifu , sababu kwanza ni system mbili kwa wakati mmoja na any attempt ya kuchezea basi utapata notification kupitia sms, au mtandao.Na backdoor yake haijajulikana kwa wahalifu kweli ?
hatutoi hiyo huduma ndugu , jitahidi kuendesha taratibu tu maana na barabara zetu hizi hatari sanaNaomba msaada kwenu, nitapata wapi kifaa cha kugundua Tochi au speed gun ya Traffic wetu au dawa ya spray ili nipulizie gari yangu isiwe inakamatwa kamatwa kwa overspeed, hii ni kutokana na driving niliozoea kwetu
What?Tegeta?mie nikajua labda mtakua Masaki,Mikocheni,Obey,Upanga etc.Tupo Tegeta ,Dar es salaam . Ikiwa utahitaji kufungiwa tunaweza kukufikia popote ulipo tuwasiliane tu kwa simu mapema kwa utaratibu huo.
sijajua kwanini useme hapana sababu ya location ya ofisi , na kama ofisi zetu zingekuwa maeneo hayo naamini ungesema mbona bei zenu ni kubwa sana. Ukiachana na location ya ofisi , sisi tunatoa huduma bora zaidi na tumeshiriki kwenye project nyingi na uzoefu wetu ni wa kutoshaWhat?Tegeta?mie nikajua labda mtakua Masaki,Mikocheni,Obey,Upanga etc.
Kwa kweli mimi hapana!