Jipatie GPS tracker yenye uwezo kama zilivyoainishwa hapo.
i) Hapa itakupa taarifa ya kuwashwa kwa gari yako ,
ii) Itakupa taarifa ya kuzimwa kwa gari yako
iii) Utapata taarifa ya utumiaji wa mafuta katika gari yako
iv) Itakupatia taarifa kuhusu mwendo kasi wa gari lako na kama gari lako limezidishwa mwendo.
v) Inayo uwezo wa kukupa taarifa ya gari yako kila baada ya muda utakaochagua , mfano kila baada ya nusu saa , hapa itakuletea mwendokasi wa gari ,mahali lilipo, na muda.
vi) Inao uwezo wa kukupa taarifa ya gari lako kutokana na umbali uliotembea , mfano kila baada ya kilomita 3 itakuletea taarifa gari lilipo, mwendokasi, na muda.
vii) Inao uwezo wa kulizima gari lako popote lilipo na lisiweze kuwaka mpaka pale utakapoamua kuliwasha kwa kupitia simu yako ya mkononi.
viii) Pia lina geofencing function, SOS button , online tracking.
Kwanini uweke kifaa hiki kwenye gari lako.
a) Kifaa kina alarm hivyo muda wowote usalama wa gari yako utakuwa wa uhakika
b) Utapata kujua matumizi ya gari yako , mfano speed , eneo lililopo
c) utapata kujua taarifa za matumizi ya mfuta.
d) Hakuna hofu ya gari lako kuibwa kwani unaweza kulizima popote pale na muda wowote.
e) Hakuna malipo ya mwisho wa mwezi pia unao uwezo wa kuchagua kifaa kifanye kazi ipi na ipi kisifanye .
NB: Bei ya vifaa imepungua sasa ni kuanzia 150,000/= mpaka 200,000 , bei kutegemeana na aina kazi unayohitaji kufanyika kwenye kifaa
Kwa wanaohitaji Mawasiliano
simu : 0710141917/ 0710151301
Email:
info@isecure.co.tz