Usikose kifaa hiki kwenye gari lako

Usikose kifaa hiki kwenye gari lako

mkuu acha kuwa kama mbabaishaji kwa kuwa ni biashara ya mtandaoni weka mambo yote hadharani na bei kabisa harafu ss wengine ni mafundi huwa kuna watu wanahitaji huduma hiyo hivyo ukiweka bei inkuwa rahisi sana kwetu. na hata wanao hitaji kufungiwa??
 
mkuu acha kuwa kama mbabaishaji kwa kuwa ni biashara ya mtandaoni weka mambo yote hadharani na bei kabisa harafu ss wengine ni mafundi huwa kuna watu wanahitaji huduma hiyo hivyo ukiweka bei inkuwa rahisi sana kwetu. na hata wanao hitaji kufungiwa??
Bei nimeshaitaja , hukupitia post nyingine hapo juu, ni shilingi laki tatu unawekewa kifaa na kinaanza fanya kazi muda huo huo.
 
Umesema hicho kifaa kina uwezo wa kunipa taarifa ya gari lilipo, kwa umbali gani?
 
Umesema hicho kifaa kina uwezo wa kunipa taarifa ya gari lilipo, kwa umbali gani?
kifaa kinauwezo wa kukupa taarifa popote pale ulipo mtandao, na hata kama hakuna mtandao utapata taarifa zote mara punde mtandao utakaporejea
 
Ungetaja jina ya hiyo kifaa tu mzee tuje inbox kufanya nini boss
 
Tuambie na side effects za hicho kifaa bro.....au hakuna?
 
Tuambie na side effects za hicho kifaa bro.....au hakuna?
Mpaka sasa hakuna malalamiko yoyote ambayo tumepokea . na kifaa kina password hivyo hakuna mtu mwengine anayeweza kukichezea unless awe na password na awe na namba ya simu ya hiko kifaa , gari ikiwa idle huwa kinajiwasha kama alarm . Kimetengenezwa kuhakikisha usalama mfano gari ikiwa inatembea na ukaamua kulizima halitazimika mpaka speed ipungue iwe ndogo unless uamue kulizima hata likiwa kwenye mwendo mkali. Kifupi kifaa ni kizuri ,muhimu , nitakupa mwaka mzima guarantee kama kikiharibika tutakuwekea kipya. Karibu ndugu toa shaka
 
Inawezekana una gari lako zuri na unalolipenda na ungependa liendelee kudumu na kukuletea matokeo mazuri ukiwa barabarani basi sisi ISECURE technology tunakuletea tracking technology mpya yenye uwezo wa kugundu mapungufu/ugonjwa/matatizo ya gari lako .

Technology yetu itakusaidia kujua matatizo ya gari yako punde tu yatakapokuwa yanaanza ili uweze kabiliana nayo mapema kabla hayajawa makubwa, Faida ya kifaa hiki ni kuwa utaweza

i) Kujua ufanyaji kazi wa enjini ya gari lako na kama ina matatizo yoyote

ii) itakupa ripoti kama sensa katika gari lako litafanya kazi

iii) Utajua ufanyaji kazi wa gari lako.

iv) Itakusaidia kujua tatizo la gari na kulitibu kwa usahihi hivyo kupunguza gharama za mafundi vifaa na marekebisho yasiyo na lazima

v) jotoridi la gari, mafuta



Siku zote tunajitahidi kukupa huduma zaidi hivyo kifaa hiki kitakupa uwezo zaidi kama,

a) Kuweza kujua gari lako lilipo

b) Kuchagua ni eneo gani gari lako linaweza lifike au lisifike

c) Kujua kama gari lako limewashwa , limezimwa au kufunguliwa milango

d) Kujua matumizi ya mafuta ya gari lako na kama kuna wizi wa mafuta.

e) Kujua mtikisiko wowote ulilopata gari lako

f) kujua speed ya gari lako na mengineyo mengi



Nani anaweza weka tracking device hii

1. Mtu yoyote anayemiliki chombo cha usafiri hasa gari , iwe gari kubwa au dogo , pengine hata chombo kingine cha usafiri kama trekta, excavator , pikipiki

2. Kampuni yoyote au Makampuni yanayofanya bishara ya usafirishaji, kifaa hiki kitakusaidia katika utunzaji wa gari lako na kuzuia wizi wa mafuta

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0714890018
 
Nitakuwa na uhakika gani na nyinyi kuwa hamuwezi kuniibia kwa maana taarifa zote za kifaa changu munazo .......... ( kama ulivyosema kwenye gari kinakaa wapi ni siri ya mteja na mtoa huduma.)
 
usalama kwanza mm nimekuuliza maswali mbona hujanijibu??

plz naomba unijibu hayo maswali hasa kuanzia kipengele cha i,ii,iii na iv kwa ufasaha na weledi wakiundani kiufundi na mifano pia.
 
usalama kwanza mm nimekuuliza maswali mbona hujanijibu??

plz naomba unijibu hayo maswali hasa kuanzia kipengele cha i,ii,iii na iv kwa ufasaha na weledi wakiundani kiufundi na mifano pia.
Okay labda niweke hivi kuna aina mbili za device moja ni alarm and tracker na nyingine ni tracker yenye uwezo wa kudetect matatizo ya kwenye gari , sasa kutokana na chaguo la mteja anaweza angalia ni kifaa kipi angependelea kufungiwa , ni rahisi kuzungumzia device ya kwanza , lakini ni ngumu kuongelea device ya pili sababu itaondoa dhana nzima ya usalama . Hilo ndio ninaloweza kusema.
 
Mnapatikana Tegeta Kibaoni Duka gani??? Liko upande upi?? Mi mwenyeji unaweza nielekeza ofisi zenu zilipo.
 
Isecure Technology inawaletea teknolojia mpya ya usalama katika gari , ambacho inafanya kazi kama alarm system hapo hapo inafanya kazi ya tracking . Kifaa hiki kina uwezo wa kufanya kazi zote kwa pamoja au kufanya kazi moja moja kutokana na mteja atakavyopendelea. Kifaa kinafanya kazi kama ifuatavyo

1. Kifaa kinafanya kazi kama alarm.

i) Hii inamaana italiza king’ora ikiwa ghali lako litagushwa au kupata mshtuko

ii) Iwapo alarm italia utapata pia taarifa kwenye simu yako ya mkononi.

iii) Milango ya gari itakuwa imefunguliwa.



2. Kifaa kinafanya kazi ya kutrack.

i) Hapa itakupa taarifa ya kuwashwa kwa gari yako ,

ii) Itakupa taarifa ya kuzimwa kwa gari yako

iii) Utapata taarifa ya utumiaji wa mafuta katika gari yako

iv) Itakupatia taarifa kuhusu mwendo kasi wa gari lako na kama gari lako limezidishwa mwendo.

v) Inayo uwezo wa kukupa taarifa ya gari yako kila baada ya muda utakaochagua , mfano kila baada ya nusu saa , hapa itakuletea mwendokasi wa gari ,mahali lilipo, na muda.

vi) Inao uwezo wa kukupa taarifa ya gari lako kutokana na umbali uliotembea , mfano kila baada ya kilomita 3 itakuletea taarifa gari lilipo, mwendokasi, na muda.

vii) Inao uwezo wa kulizima gari lako popote lilipo na lisiweze kuwaka mpaka pale utakapoamua kuliwasha kwa kupitia simu yako ya mkononi.

viii) Pia lina geofencing function, SOS button , online tracking.

Kwanini uweke kifaa hiki kwenye gari lako.

a) Kifaa kina alarm hivyo muda wowote usalama wa gari yako utakuwa wa uhakika

b) Utapata kujua matumizi ya gari yako , mfano speed , eneo lililopo

c) utapata kujua taarifa za matumizi ya mfuta.

d) Hakuna hofu ya gari lako kuibwa kwani unaweza kulizima popote pale na muda wowote.

e) Hakuna malipo ya mwisho wa mwezi pia unao uwezo wa kuchagua kifaa kifanye kazi ipi na ipi kisifanye .

Kwa wanaohitaji Mawasiliano
simu : 0714890018
Email: justine@isecuretec.com
vp kuhusu uhai wa betri kitendo cha kuwa On muda mwingi kinawza kuharbu betri na kushndwa kupga stata?
 
Mnapatikana Tegeta Kibaoni Duka gani??? Liko upande upi?? Mi mwenyeji unaweza nielekeza ofisi zenu zilipo.
tupo karibu na kanisa katoliki , njia ya kuelekea cannosa secondar school, nipigie 0714890018
 
Back
Top Bottom