Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,282
- 1,849
Habari za jioni.
Baadhi ya paka na mbwa hawapigwi ovyo. Ukimpiga teke usiku utakiona kilicho mtoa mbuni manyoya.
Kama huamini fanya kama unajaribu vile. Nilikutana na kisanga hicho Muheza, Tanga.