Usijaribu kumpiga paka teke

Usijaribu kumpiga paka teke

Kwetu iringa tunawachinja kabisa na kuwafanya vitoweo. 😂
 
Beesmom pitia hapa utoe muongozo...
Paka wa uncle alidokoa samaki,shangaz ndo alishtukia mboga hakuna kwenye chungu(tunapikia vyungu pia huku mbeya) si akamtonya uncle kuwa paka wako kashaharibu budge tayari kumbuka uncle alikuwa amekaa anasubiri msosi ....akainuka Kwa hasira hata bila ushahidi kamnyanyua paka aliyekuwa amelala sofani huyo kamwingiza Kwa room Yao wanayolala na mkewe,fimbo Iko wapi hakuna,isiwe kesi kachukua mwiko kaingia chumbani na kufunga mlango kuanza kupiga ....kiufupi Mpaka Leo ankoli hana lips ya chini.....Yaan ankoli akianza kusimulia anasema alivyokuwa anampiga paka alikuwa anakimbia nae anamfuata nakuendelea kumpiga za kichwa maana alidhamiria kuua Ivo paka nae nadhani alihisi Kwa kipigo hiki nitakufa humu ndani Ivo unaambiwa alitutumka na kuvimba na kukaribia kufikia ukubwa wa umbile la mbwa mkubwa na kurukia ukuta alivyogonga ukuta mruko wa kutoka ukutani kumbe ilikuwa ni kwenda kuitafuta balance equation ya kwenye chemistry (hili SoMo nilikuwa silipendi wajameni😏) na kutua kwenye sura ya ankoli ambapo aling'ang'ania lip Mpaka akatoka nayo...uncle akaanza kuomba msaada akasahau kuwa Yeye ndo alifunga mlango Kwa ndani.But tunashukuru hakufa
 
Paka wa uncle alidokoa samaki,shangaz ndo alishtukia mboga hakuna kwenye chungu(tunapikia vyungu pia huku mbeya) si akamtonya uncle kuwa paka wako kashaharibu budge tayari kumbuka uncle alikuwa amekaa anasubiri msosi ....akainuka Kwa hasira hata bila ushahidi kamnyanyua paka aliyekuwa amelala sofani huyo kamwingiza Kwa room Yao wanayolala na mkewe,fimbo Iko wapi hakuna,isiwe kesi kachukua mwiko kaingia chumbani na kufunga mlango kuanza kupiga ....kiufupi Mpaka Leo ankoli hana lips ya chini.....Yaan ankoli akianza kusimulia anasema alivyokuwa anampiga paka alikuwa anakimbia nae anamfuata nakuendelea kumpiga za kichwa maana alidhamiria kuua Ivo paka nae nadhani alihisi Kwa kipigo hiki nitakufa humu ndani Ivo unaambiwa alitutumka na kuvimba na kukaribia kufikia ukubwa wa umbile la mbwa mkubwa na kurukia ukuta alivyogonga ukuta mruko wa kutoka ukutani kumbe ilikuwa ni kwenda kuitafuta balance equation ya kwenye chemistry (hili SoMo nilikuwa silipendi wajameni) na kutua kwenye sura ya ankoli ambapo aling'ang'ania lip Mpaka akatoka nayo...uncle akaanza kuomba msaada akasahau kuwa Yeye ndo alifunga mlango Kwa ndani.But tunashukuru hakufa

yani hadi nimejikuta nacheka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom