Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,287
Kweli ila njia bora nikujitenga na huyo kiumbe kwa maana asha kua adui yako wa kwanza.Kuna watu wametendwa dunia hii,lakini bado wanaishi pamoja; ndio maana kuna msemo kuwa uyaone
Kweli ila njia bora nikujitenga na huyo kiumbe kwa maana asha kua adui yako wa kwanza.Kuna watu wametendwa dunia hii,lakini bado wanaishi pamoja; ndio maana kuna msemo kuwa uyaone
Chukulia hiyo hali ikukute kipindi ambacho huna kazi au u mzee, utafanyaje? Alafu ukute jamaa anampunga au madaraka yakutosha. Ulishawahi kusikia kesi ya mtu kuibiwa mke?Kweli ila njia bora nikujitenga na huyo kiumbe kwa maana asha kua adui yako wa kwanza.
Tunaachana mzee baba kazi.itapatikana tu kwa maamuzi yangu hilo.hakina mjadala ni kuachana kiroho saafi bila tatzo na mtu na haitatokea kumrudia huyo mtu.Chukulia hiyo hali ikukute kipindi ambacho huna kazi au u mzee, utafanyaje? Alafu ukute jamaa anampunga au madaraka yakutosha. Ulishawahi kusikia kesi ya mtu kuibiwa mke?
Yaani kazini na mwanamume mwingine halafu nipotezee tu?taarifa ya kuwa mkeo yupo gesti au nyumba fulani, yupo na kidume wanajivinjari; kwa ushauri wangu, usifike kabisa eneo hilo la tukio kwa nia ya kuwafumania; lolote linaweza kutokea. Cha kufanya ondoka hilo eneo la tukio, ikiwezekana tafuta safari ya dharura uondoke, ukae hata wiki nzima, ndipo urudi nyumbani.
Kufanya hivyo itakuepusha na maamuzi yasiyokuwa na madhara makubwa, pia itapunguza urahisi wa ndoa kuvunjika hasa kwa wale walioishi pamoja kwa muda mrefu.
Mkuu hawa wake za watu kuliwa chanzo ni waume zao. Mi Kuna mke wa mtu tulizoeana kutokana na shughuli zetu akawa ananieleza matatizo mengi. Kwa wakati Huo alikuwa ananiambia hukaa na mme wake MWEZI unaisha hajanyanduliwa. Nikamwambia mmeo atakuwa ana mchepuko akasema alihisi hivyo na amemfuatilia sana hakuna kitu kama hicho.Ivi umeshakubuhu kwenye kutafuna wake za watu eti? Mbona thread za wake za watu umefululiza sana we mtoto?
Mwez tu mkuu? Miez sita! Hahahaa,nikakimbia jumlaMkuu hawa wake za watu kuliwa chanzo ni waume zao. Mi Kuna mke wa mtu tulizoeana kutokana na shughuli zetu akawa ananieleza matatizo mengi. Kwa wakati Huo alikuwa ananiambia hukaa na mme wake MWEZI unaisha hajanyanduliwa. Nikamwambia mmeo atakuwa ana mchepuko akasema alihisi hivyo na amemfuatilia sana hakuna kitu kama hicho.
Mkuu mtu wanalala kitanda kimoja miezi inakatika katiba ya ndoa haisomwi unategemea nini?Mwez tu mkuu? Miez sita! Hahahaa,nikakimbia jumla
Halafu anawapa precaution wenye wake zao waende mbali na eneo la tukio kwa wiki nzima.Ivi umeshakubuhu kwenye kutafuna wake za watu eti? Mbona thread za wake za watu umefululiza sana we mtoto?
Huyo bwana alichoeleza kina busara kubwa sana. Ukienda kufumania kuna mawili: kama jamaa amejipanga anaweza kukuua au wewe unaweza kumuua na ukaishia jela. Yote ni mabaya!Ajishagongwa mzigo rasmi ndoa ishaisha hapo labda umiambie kuepusha fedheha na madhara ya hasira tu ila ndoa ishazikwa rasmi
Wake Za watu hawana gharama kuwala (hela ) hawatuambii tutafute helaIvi umeshakubuhu kwenye kutafuna wake za watu eti? Mbona thread za wake za watu umefululiza sana we mtoto?
[emoji2][emoji2]Ivi umeshakubuhu kwenye kutafuna wake za watu eti? Mbona thread za wake za watu umefululiza sana we mtoto?
Dah yaan nifsnye kitu ambacho sijakutegemea kisa mwanamke. Nafika na kuhakikisha wameniona then naondoka. Yeye ndo ataenda kuomba po maana nitampiga matukio sio ya dunia hiiEquation x hapo inategemea na upo vipi strong emotional kuna wengine life trauma zimetufanya tuwe painless nimwendo talaka,namwachia huyo mwanamke huyo huyo jamaa najua a cheater always a cheater.......mbona simpo tu haitaji ku over think sana kudeal mtu yeyote msaliti[emoji3][emoji111][emoji3][emoji111]
Kwenye kupunguza ndoa kuvunjika ni ujinga.Ukiletewa taarifa ya kuwa mkeo yupo gesti au nyumba fulani, yupo na kidume wanajivinjari; kwa ushauri wangu, usifike kabisa eneo hilo la tukio kwa nia ya kuwafumania; lolote linaweza kutokea. Cha kufanya ondoka hilo eneo la tukio, ikiwezekana tafuta safari ya dharura uondoke, ukae hata wiki nzima, ndipo urudi nyumbani.
Kufanya hivyo itakuepusha na maamuzi yasiyokuwa na madhara makubwa, pia itapunguza urahisi wa ndoa kuvunjika hasa kwa wale walioishi pamoja kwa muda mrefu.
Wachague moja.Ndoa inaweza kuwa mwisho, mfano mna watoto wanawategemea, katika jaziba ya kumuacha watoto wanakulilia 'baba baba usimuache mama, tutateseka baba'; utafanya maamuzi gani?