To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,581
- 39,118
Ha ha haa,usiambie!?Huyo ni mzee wetu bado wajukuu tu sio mtoto huyo ..
Ha ha haa,usiambie!?Huyo ni mzee wetu bado wajukuu tu sio mtoto huyo ..
Ni kweliHa ha haa,usiambie!?
Kuna umri ambao ukivunja ndoa, utateseka wewe; mfano unamiaka 55+ na mnazaidi yamiaka 20 na mkeo, hii bond ukiivunja lazima mmojawapo ateseke sanaHiyo wiki moja ukiondoka nyumbani ufunge 7 kavu kumuombea shetani asikuvunjie ndoa yako. Una hekima sana mkuu
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Kuna mzee mmoja nchi ya jirani, mkewe alimfanyia umafia, alimuacha mumewe na akaondoka na watoto wake wote 3 kwenda kanada kwa mchepuko, alipofika huko akabadili majina ya watoto, na kuonekana mchepuko ndio baba yao. sasa hivi yule mzee aliyeachwa amechoka, anazunguka kwenye vyombo vya habari kutafuta msaada watoto wake warudi, mbaya zaidi watoto walishaoa/kuolewa.Mkuu achana na mawazo mgando,ukimfumania Mkeo hata kama ndoa ina miaka 50 na watoto 20 inabidi kumuacha huwezi kuishi na Mwanamke mzinzi-utakuwa unakwenda kinyume na maandiko ya Mungu ukiendelea kuishi na mwanamke Huyo.
Mimi siwezi kuua mtu eti nimemfumania ila nitahakikisha anatoka hiyo guest ni shoga mzoefu maake nitatengua marinda vibaya mno hadi liwe shimo LA choo na wife nahakikisha anaona kwa macho yake.Ukiletewa taarifa ya kuwa mkeo yupo gesti au nyumba fulani, yupo na kidume wanajivinjari; kwa ushauri wangu, usifike kabisa eneo hilo la tukio kwa nia ya kuwafumania; lolote linaweza kutokea. Cha kufanya ondoka hilo eneo la tukio, ikiwezekana tafuta safari ya dharura uondoke, ukae hata wiki nzima, ndipo urudi nyumbani.
Kufanya hivyo itakuepusha na maamuzi yasiyokuwa na madhara makubwa, pia itapunguza urahisi wa ndoa kuvunjika hasa kwa wale walioishi pamoja kwa muda mrefu.
Ndio unaenda unakutana na jitu la miraba minneMimi siwezi kuua mtu eti nimemfumania ila nitahakikisha anatoka hiyo guest ni shoga mzoefu maake nitatengua marinda vibaya mno hadi liwe shimo LA choo na wife nahakikisha anaona kwa macho yake.
🤔
Wewe KY inakutafuta maana umeandika utopwinyo kinoma noma. Imeandikwa kwenye biblia hivi ukimkuta mkeo anadhini na mtu mwingine hauna budi kumuacha sasa wewe unatuandikia ujinga hapa. Mkeo akikucheat na ukajua bro muache maana upendo haupo tena kwako. Wewe hii thread yako ningekua moderator ningeifutilia mbali. Maana inaleta ujingaUkiletewa taarifa ya kuwa mkeo yupo gesti au nyumba fulani, yupo na kidume wanajivinjari; kwa ushauri wangu, usifike kabisa eneo hilo la tukio kwa nia ya kuwafumania; lolote linaweza kutokea. Cha kufanya ondoka hilo eneo la tukio, ikiwezekana tafuta safari ya dharura uondoke, ukae hata wiki nzima, ndipo urudi nyumbani.
Kufanya hivyo itakuepusha na maamuzi yasiyokuwa na madhara makubwa, pia itapunguza urahisi wa ndoa kuvunjika hasa kwa wale walioishi pamoja kwa muda mrefu.
Mtu akifumaniwa lazima awe mdg kama pilitoni halafu jambo jingine lazima nimfumanie na njemba zangu kama 10 nazikodi hata kwa 20,000 kila mmoja siku hiyo lazima nikhanisi kijana wa watu anaejiita mariooNdio unaenda unakutana na jitu la miraba minne
Usimshangae malinda yake kama hajajababuliwa basi yapo siku ya 39 ikifika 40 atakuja hapa kwa ID mpya kueleza mke wa mtu sumuIvi umeshakubuhu kwenye kutafuna wake za watu eti? Mbona thread za wake za watu umefululiza sana we mtoto?
Kwenye ndoa kuna mambo mengi mkuu, usione wako kwenye ndoa miaka 50,kuna mengi wameyavumiliaWewe KY inakutafuta maana umeandika utopwinyo kinoma noma. Imeandikwa kwenye biblia hivi ukimkuta mkeo anadhini na mtu mwingine hauna budi kumuacha sasa wewe unatuandikia ujinga hapa. Mkeo akikucheat na ukajua bro muache maana upendo haupo tena kwako. Wewe hii thread yako ningekua moderator ningeifutilia mbali. Maana inaleta ujinga
Ndoa ilijengwa na upendo km upendo haupo kuna haja gani ya kuendelea na hiyo ndoa..? Kumuacha mwanamke anaekusaliti na ukajua ni sawa na kuongeza siku zako za kuishi maana umeutua mzigo wa stress na chuki.Kwenye ndoa kuna mambo mengi mkuu, usione wako kwenye ndoa miaka 50,kuna mengi wameyavumilia
Mfano we kipato chako ni laki 5 kwa mwezi, mkeo akachepuka na jamaa ambaye pato lake milioni 7 kwa mwezi. Unafikiri wewe kumuacha, ni nani atakayeumia?Wakati huo jamaa yuko tayari kuishi na mkeoNdoa ilijengwa na upendo km upendo haupo kuna haja gani ya kuendelea na hiyo ndoa..? Kumuacha mwanamke anaekusaliti na ukajua ni sawa na kuongeza siku zako za kuishi maana umeutua mzigo wa stress na chuki.
Anatoa ya MoyoniIvi umeshakubuhu kwenye kutafuna wake za watu eti? Mbona thread za wake za watu umefululiza sana we mtoto?
Mfano we kipato chako ni laki 5 kwa mwezi, mkeo akachepuka na jamaa ambaye pato lake milioni 7 kwa mwezi. Unafikiri wewe kumuacha, ni nani atakayeumia?Wakati huo jamaa yuko tayari kuishi na mkeo
Usjidanganyw nakuja na makutia mpiniUkiletewa taarifa ya kuwa mkeo yupo gesti au nyumba fulani, yupo na kidume wanajivinjari; kwa ushauri wangu, usifike kabisa eneo hilo la tukio kwa nia ya kuwafumania; lolote linaweza kutokea. Cha kufanya ondoka hilo eneo la tukio, ikiwezekana tafuta safari ya dharura uondoke, ukae hata wiki nzima, ndipo urudi nyumbani.
Kufanya hivyo itakuepusha na maamuzi yasiyokuwa na madhara makubwa, pia itapunguza urahisi wa ndoa kuvunjika hasa kwa wale walioishi pamoja kwa muda mrefu.
Wataalamu wanasema kuona ina madhara zaidi,kuliko kusikiaUsjidanganyw nakuja na makutia mpini
Kuna watu wametendwa dunia hii,lakini bado wanaishi pamoja; ndio maana kuna msemo kuwa uyaoneAha uzwa uzwa wewe kipato cha mtu sio chako ww jali usalama wako wa kihisia kiupendo basi. Hizo fikra zako za kitoto.