Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,619
- 65,082
Ukiletewa taarifa ya kuwa mkeo yupo gesti au nyumba fulani, yupo na kidume wanajivinjari; kwa ushauri wangu, usifike kabisa eneo hilo la tukio kwa nia ya kuwafumania; lolote linaweza kutokea. Cha kufanya ondoka hilo eneo la tukio, ikiwezekana tafuta safari ya dharura uondoke, ukae hata wiki nzima, ndipo urudi nyumbani.
Kufanya hivyo itakuepusha na maamuzi yasiyokuwa na madhara makubwa, pia itapunguza urahisi wa ndoa kuvunjika hasa kwa wale walioishi pamoja kwa muda mrefu.
Kufanya hivyo itakuepusha na maamuzi yasiyokuwa na madhara makubwa, pia itapunguza urahisi wa ndoa kuvunjika hasa kwa wale walioishi pamoja kwa muda mrefu.