Usiingie mahusiano na asiye na uvungu mguuni, Utajuta

Asilimia kubwa ya Wehu, vichaa na maahira wengi tunaokutana nao barabarani ukiwachunguza vizuri utagundua hawana uvungu chini ya nyayo zao za miguu.

Ukikutana mwenza ambae Hana uvungu ila Yuko timamu kichwani, ukimchunguza vizur ukoo wake alikotokea, utagundua kuna ndugu yake mmojawapo kwny ukoo wake either aliwahi kua au sahivi ni kichaa, mwehu au taahira.

Hapo utagundua ata mwenza ulienae, suala la Wehu,uchizi, utaahira au ukichaa liko kwny damu Yake. Na Mara nyingi Changamoto za hivi utembea sana kwny kitovu Cha Mtoto.

Hivyo Ni suala la Muda TU, utaanza kuuona wehu,uchizi, ukichaa na utaahira wake halisia maana Ni kitu iko kwny damu Yake.

Ndo maana Kuna baadhi ya idara nyeti, Kama huna uvungu mguuni huajiriwi, unahesabika una kasoro kubwa isiyohimilika, utakuja kuwasumbua sana baadae

Nawasilisha
 
Ebu tuoneshe picha ya uvungu kwenye mguuni wengine tumeshazoea uvungu wa kitanda
 
Sina hakika ila kwa upande wa wajeda nachofahamu kuhusu uvungu wa miguu ni kuwa hao raia hawawezi kunyata wao ni mwendo wa kuchapata kama bata. . .😂

Ila issue ya wehu au ukorofi sidhani na nachelea kubisha coz kuna janja mmoja kitaa nilipokaa hana uvungu ila hamna mtu peace na muelewa kama yeye na sijaona so far, hata umkwaze vipi humkuti kajinunisha au kukoroma
 
Many people with flat feet don’t experience pain or other problems. But certain types of flatfoot can be painful. Symptoms may include:

  • Leg cramps.
  • Muscle pain (aching or fatigue) in the foot or leg.
  • Pain in the arch, ankle, heel or outside of the foot.
  • Pain when walking or changes in your gait (how you walk).
  • Toe drift (front part of the foot and toes point outward).
😂😂😂 Dah kwa kweli sometimes ni bora kuridhika na vile ulivyo.
 
Back
Top Bottom