Usiguse hawa wanawake

Usiguse hawa wanawake

Pole jidanganye.

Kwani mtaani tumeona wangapi wameoa kinadada wenye watoto na hakuna tatizo,utafiti wako nina mashaka nao,chunguza usijekuwa ndani ya ndoa afu unalea watoto wa mwanaume mwingine hahahahhh!!!
 
1.ana mtoto na mtu mwingine
2. amekaa single muda mrefu
3. ameishawahi kua barmaid
4. ni white au ngozi nyeupe
5. ni mzuri kupitia kiasi
6. ni model
7.nk

Wasiguswe kwa sababu ya mtazamo wako hafifu...pole neno lako si sheria na wanaguswa kila uchao sijui unafanyaje
 
Mi siku zote huwa nasema hakuna universal formula ya ndoa/mapenzi. Kila mtu ana preferences zake.....na hizo ni za kwako mtoa mada
 
1.ana mtoto na mtu mwingine
2. amekaa single muda mrefu
3. ameishawahi kua barmaid
4. ni white au ngozi nyeupe
5. ni mzuri kupitia kiasi
6. ni model
7.nk

Mnaodhani hilo bandiko ni uzushi, oeni, kisha majuto ni mjukuu. Hao wanawake wenye sifa hizo wengi wao ni majanga.
 
1.ana mtoto na mtu mwingine
2. amekaa single muda mrefu
3. ameishawahi kua barmaid
4. ni white au ngozi nyeupe
5. ni mzuri kupitia kiasi
6. ni model
7.nk

Hio no. 5 naomba uielezee inakuaje hapo
 
namba 1 nimekoma .Shida hutaiona mapema.ila baadae sasa!
 
Mi siku zote huwa nasema hakuna universal formula ya ndoa/mapenzi. Kila mtu ana preferences zake.....na hizo ni za kwako mtoa mada

kweli kabisa;napendelea wanawake walio zaa na wanaume wawili au watatu tofauti.yaan napenda
 
Mmh! Mi sijaona cha ajabu hata moja apo! Ila mbona mnawaandama wanawake? Na nyie wanaume mnapenda kutaja madhambi ya w/wake afu mnajiona ninyi ni watakatifu/ wasafi!, hebu nipishe nipite!
 
Jamani tafsida mbona tumeiacha uchochoroni... bado wakija vijana na vi thread vyao tunawatolea macho na kejeli za kila aina....

......hivi huwa unajiuliza unandugu zako wangapi wa damu wanaosoma haya maandishi yako au ndio ile hutaki kusumbua ubongo lililo karibu vidoleni ndilo unaloliandika?....kisa unablanket la ID fake!..? slim5 nae bila aibu anagonga like!

Hapo namba 5 hunishawishi siwez kuoa zinjanthropus lazma ioe kitu kilichotulia na kimesimama.

Hayo mambo ya kutoombewa n maada nyingne kabisa wala havihusian.

Kama kthombwa hata kichaa anathombwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom