Usiguse hawa wanawake

Usiguse hawa wanawake

Ati model!! hayawan wewe kwa taarifa yako nishaguswa nkagusika chezea model ww sumaku ya dunia!!
 
Naomba niwaulize nyie
wanaume, kwani mkizaa na wanawake mkaachana kila mmoja akapata ndoa
yake... JE, HUWA MNAENDELEZA KUNJUNJANA NA MAMA MTOTO AMBAE MLIACHANA?



Maana hiyo no 1 mmh...

Si lazima ila mara nyingi, nyinyi mkikaangalia Kaimage mlikounda na mtu mnamkumbuka sana na mtataka kukumbushia kilichomuunda mtoto au hata mazungumzo tu ya kawaida ambayo nayo hupelekea katika kufanyika tendo la ndoa vile vile.
 
1.ana mtoto na mtu mwingine
2. amekaa single muda mrefu
3. ameishawahi kua barmaid
4. ni white au ngozi nyeupe
5. ni mzuri kupitia kiasi
6. ni model
7.nk

Toa sababu za kutowagusa!
 
1.ana mtoto na mtu mwingine
2. amekaa single muda mrefu
3. ameishawahi kua barmaid
4. ni white au ngozi nyeupe
5. ni mzuri kupitia kiasi
6. ni model
7.nk

Naomba FOMULESHENI nyingine
 
Si lazima ila mara nyingi, nyinyi mkikaangalia Kaimage mlikounda na mtu mnamkumbuka sana na mtataka kukumbushia kilichomuunda mtoto au hata mazungumzo tu ya kawaida ambayo nayo hupelekea katika kufanyika tendo la ndoa vile vile.

Ahsante Mkuu...
 
Oa mwenye mtoto at your own risk. Bado simshauri mtu kuoa mdada mwenye mtoto unless mzazi mwenzake ametangulia mbele ya haki au wote mnaokutana mna watoto.
 
hapo kwenye mtoto lazima utashare na mwenye mtoto
 
1.Ana mtoto na mtu mwingine
2. Amekaa single muda mrefu
3. Ameishawahi kua barmaid
4. Ni white au ngozi nyeupe
5.Ni mzuri kupitia kiasi
6. Ni model
7.Nk

hapo kwenye white/ngozi nyeupe nakataa, kwann nisiguse, nieleze
 
Back
Top Bottom