Usiguse hawa wanawake

Usiguse hawa wanawake

Mmm..ata sielew. Kama hutojal mleta uzi, em tuambie matatizo/ kasoro za hao watu
 
1.ana mtoto na mtu mwingine
2. amekaa single muda mrefu
3. ameishawahi kua barmaid
4. ni white au ngozi nyeupe
5. ni mzuri kupitia kiasi
6. ni model
7.nk

Kwingine kote nakuunga mkono isipokuwa hapo kwenye bold. Sasa kwa WARANGI, WANYATURU, WAIRAQW, WASAMBAA na wengineoambao karibu watu wote ni weupe katika makabila yao ina maana wasiolewe na wanaume wa makabila hayo waende kuoakwa makabila mengine au!
 
Naomba niwaulize nyie wanaume, kwani mkizaa na wanawake mkaachana kila mmoja akapata ndoa yake... JE, HUWA MNAENDELEZA KUNJUNJANA NA MAMA MTOTO AMBAE MLIACHANA?

Maana hiyo no 1 mmh...
 
Huu ni utafiti wako au mtazamo wako hasi?
 
Naomba niwaulize nyie wanaume, kwani mkizaa na wanawake mkaachana kila mmoja akapata ndoa yake... JE, HUWA MNAENDELEZA KUNJUNJANA NA MAMA MTOTO AMBAE MLIACHANA?

Maana hiyo no 1 mmh...

jaribu kuzaa na mtu aafu uachane naye
 
1.ana mtoto na mtu mwingine
2. amekaa single muda mrefu
3. ameishawahi kua barmaid
4. ni white au ngozi nyeupe
5. ni mzuri kupitia kiasi
6. ni model
7.nk

Mkuu mbona kama umejikatia tamaa?!! Tuambie sababu ya wewe kutojiamini kabisa katika Mahusiano mkuu!!!!
 
1.ana mtoto na mtu mwingine
2. amekaa single muda mrefu
3. ameishawahi kua barmaid
4. ni white au ngozi nyeupe
5. ni mzuri kupitia kiasi
6. ni model
7.nk

UFAFANUZI: No 1.hawezi kuachana na yule baba ya mtoto... atajifanya mwanzo mwisho mzee ataendelea kula mzigo kama kawaida.
No.2 ana stress ya maisha na asimilia kubwa ameolewa kwasa babu ya muda, si mapenzi ya dhati.
No 3.Anapenda sana cha juu hivyo matumizi ya ndani atakua anakupiga bao kila siku na mwisho kuiathiri maendeleo yenu.
No4.kila mwanaume anatamani kua nae,na atatongonzwa sana na watu na wengeni wanatumia pesa zao nyingi. kwa ushaidi wanawake wengi asa waswahili hawana nguvu za kuzuia..
No5. kama no nne
No 6.kama no tano.

CONCLUSION: Kwa maendeleo yako na familia chukua mwanamke wa kawaida sana.. hasa hasa black, sura mbaya au kawaida. hapo utafika mbali sana.. fanya tu utafiti ndogo mtaani kwako... utapata jibu....
 
Yaani hiyo namba tatu inahusu sana. Yaani umekaa nae hivi anatoa bonge la kauli walizokuwa wanatumia kazini. Ni nouma!!
 
UFAFANUZI: No 1.hawezi kuachana na yule baba ya mtoto... atajifanya mwanzo mwisho mzee ataendelea kula mzigo kama kawaida.
No.2 ana stress ya maisha na asimilia kubwa ameolewa kwasa babu ya muda, si mapenzi ya dhati.
No 3.Anapenda sana cha juu hivyo matumizi ya ndani atakua anakupiga bao kila siku na mwisho kuiathiri maendeleo yenu.
No4.kila mwanaume anatamani kua nae,na atatongonzwa sana na watu na wengeni wanatumia pesa zao nyingi. kwa ushaidi wanawake wengi asa waswahili hawana nguvu za kuzuia..
No5. kama no nne
No 6.kama no tano.

CONCLUSION: Kwa maendeleo yako na familia chukua mwanamke wa kawaida sana.. hasa hasa black, sura mbaya au kawaida. hapo utafika mbali sana.. fanya tu utafiti ndogo mtaani kwako... utapata jibu....

mkuu ufafanuzi wako nimeuelewa sina shaka naunga mkono hoja na utafiti wako uliobobea
 
UFAFANUZI: No 1.hawezi kuachana na yule baba ya mtoto... atajifanya mwanzo mwisho mzee ataendelea kula mzigo kama kawaida.
No.2 ana stress ya maisha na asimilia kubwa ameolewa kwasa babu ya muda, si mapenzi ya dhati.
No 3.Anapenda sana cha juu hivyo matumizi ya ndani atakua anakupiga bao kila siku na mwisho kuiathiri maendeleo yenu.
No4.kila mwanaume anatamani kua nae,na atatongonzwa sana na watu na wengeni wanatumia pesa zao nyingi. kwa ushaidi wanawake wengi asa waswahili hawana nguvu za kuzuia..
No5. kama no nne
No 6.kama no tano.

CONCLUSION: Kwa maendeleo yako na familia chukua mwanamke wa kawaida sana.. hasa hasa black, sura mbaya au kawaida. hapo utafika mbali sana.. fanya tu utafiti ndogo mtaani kwako... utapata jibu....

No 1 haina ukwel sana ni asilimia ndogo sana.Lakini kama yeye ni kidume aje amgegede alfu nijue yani mbele yake akiona namla 0717 huyo mme wake alio zaa nae kwa hasira kumuonyesha huyo mwanamke sitaki ujinga..ndio style ya sasa anae kula mke wa mtu analiwa 0717 vizuri sana
 
Back
Top Bottom