Usifungue thread hii utani huu siyo

Usifungue thread hii utani huu siyo

Muone ndo maana ukiingia na demu geto unavaa helmet
 
Kichwa kama mwendelezo wa jiwe. Uko kimbaumbau mpaka masaburi yako ni kama chipsi mbili, mikono yako kama vitasa. Mweusi mpaka mate... Bado unataka??
 
bora mimi sijafungua ulitaka unitusi! domo lile!!
 
kidevu ka breki ya mkokoteni!!!
 
Masikio kama pindo la gunia.. Muonee umekomaa ad ukitema mate yanadunda
 
Back
Top Bottom