Usife njaa fanya biashara ya sanaa yako

Msamiati

Msamiati

R I P
Mar 6, 2011
1,072
0
Je unajua kuwa kila msanii ni wakipekee! kama wewe ni msanii amini usiamini hakuna mtu ambae anakila ulichonacho wewe, hata kama binadamu wawili wawili basi inaweza akatokea mtu mmoja tu kati ya watu 1000 ndio akawa copylight na wewe. yaani akafanana na wewe sura, mkafanana rangi, uzungumzaji, uwezo wa sanaa, urefu, mvuto Nk. Kitu ambacho wasanii wengi hawakijui ni kwamba mamilion ya watu duniani wametafuta msanii kama wewe, mwenye sifa kama zako, ili wamtumie kwenye matangazo, au kwenye Film, au kwenye series, au pengine watumie kazi zako za sanaa unazoziandaa, watumie script zako, ubunifu wako pengine hata kipaji chako ulicho nacho walikuwa tayari kukulipa kiasi kizuri cha pesa, Lakini walikosa mtu kama wewe wakampachika mtu tu ilimradi. Ok swala ni kwamba kipaji unacho kwanini ubaki unakufa njaa unaweza kufanya biashara ya kipaji ulichokuwa nacho kwa kujiweka sokoni wewe mwenyewe uonekane na wale wanaokuhitaji

NJOO HAPA UPATE JIBU
Nimeona niwashirikishe wasanii wenzangu fulsa hii ya kibiashara inayoendana na uchumi wetu na usemi wa kiswahili unao sema MTAJI WA MASIKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE Ahsante
 
F

finna

Member
Nov 7, 2012
5
0
Je unajua kuwa kila msanii
ni wakipekee! kama wewe ni msanii amini usiamini hakuna mtu ambae
anakila ulichonacho wewe, hata kama binadamu wawili wawili basi inaweza
akatokea mtu mmoja tu kati ya watu 1000 ndio akawa copylight na wewe.
yaani akafanana na wewe sura, mkafanana rangi, uzungumzaji, uwezo wa
sanaa, urefu, mvuto Nk. Kitu ambacho wasanii wengi hawakijui ni kwamba
mamilion ya watu duniani wametafuta msanii kama wewe, mwenye sifa kama
zako, ili wamtumie kwenye matangazo, au kwenye Film, au kwenye series,
au pengine watumie kazi zako za sanaa unazoziandaa, watumie script zako,
ubunifu wako pengine hata kipaji chako ulicho nacho walikuwa tayari
kukulipa kiasi kizuri cha pesa, Lakini walikosa mtu kama wewe
wakampachika mtu tu ilimradi. Ok swala ni kwamba kipaji unacho kwanini
ubaki unakufa njaa unaweza kufanya biashara ya kipaji ulichokuwa nacho
kwa kujiweka sokoni wewe mwenyewe uonekane na wale wanaokuhitaji


NJOO HAPA UPATE JIBU
Nimeona niwashirikishe wasanii wenzangu fulsa hii ya kibiashara
inayoendana na uchumi wetu na usemi wa kiswahili unao sema MTAJI WA
MASIKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE Ahsante
ujumbe mbona haujakamilika sasa aje wap?
 
Top Bottom