Usifall in love kwa kitu kisichoonekana

Usifall in love kwa kitu kisichoonekana

Mapenzi kama Maua tu huota popote kwenye udongo+maji
 
Kinachosababisha izo ID zenu nzuri kweli kweli kama za hawa @mahondow Heaven on Earth @ladyfuraha na wengineo lsasa id inamuonyesha mzuri kama malaika sasa siku mkikutana ana kwa ana lazima upate degedege ya macho
my take msipende kudownload sura za watu ni bora ukaweka kitu kingine sio izo sura za vigoli
 
binafsi siwezi kupata hisia kwa mtu ambaye sijawahi kumtia machoni, nikikuta ni ndugu yangu?? hiyo aibu ntaificha wapi

Never say never, thats what I've learnt so far in the world of love.
 
Amenitumia picha kibao zikiwemo za video, nimeongea naye skype kwann nisifall!!? labda tabia zake halisi ndizo unaweza usijue
 
Kwan me unapotaman ke kwa kumwangalia tu figure, sura, miguu na mengineyo na ukachechetuka kweli na ukaanza mtongozo,akaaza kuzingua hadi miezi au mwaka je huko ndani unakuwa unajua kukoje ? Mbona unakomaa hivohivo na vizawadi kibao na unafanyahivo bila kujua Mzigo ukoje ndani.Sasa kuna tofauti gani na hapa jf, labda huyu wa jf kwa vile huna mtu wa kuuliza kuhusu tabia zake nyingine hiyo ndo tofauti iliyopo, lakin kama kupenda yote ni sawa tu siku zote Me ubahatisha tu na ndio maana wengine upiga mara 1 na kusepa baada ya kukuta machine ni mtera au ni chafu lakin hivyo vyote hauwezi kuvijua wakati wa kutongoza, kwa maana nyingine tunatafta tusichokijua.
 
Mimi naendelea kuchati na mmoja wa hapa jukwaani, nimempenda kupitia sauti, upole wake katika kuzungumza na kikubwa ni busara na upeo wake katika kuchanganua. Hakika najivunia kuwa naye ingawa bado hatujakutana uso kwa macho
 
Mimi naendelea kuchati na mmoja wa hapa jukwaani, nimempenda kupitia sauti, upole wake katika kuzungumza na kikubwa ni busara na upeo wake katika kuchanganua. Hakika najivunia kuwa naye ingawa bado hatujakutana uso kwa macho
Hiyo ni moja kati ya bahati ulizojaliwa... All the best
 
Back
Top Bottom