Usifall in love kwa kitu kisichoonekana

Usifall in love kwa kitu kisichoonekana

H
Usiwe ivyo syo kila inbox inabeba ujumbe unaofanana.... Be confident huna haja ya kuogopa pm's
Hakuna l maana tutakalo ongea zaidi,salamu,itafatia nmb y simu mwisho wa siku mtogozano baad y hapo analeta majibu huku,nani anatak mambo ya kudharirishan
 
Oooh my God, am speechless[emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Helloooooz guys

Nawamisije mnaendeleaje na maisha kiujumla je jana kuwa watu WALIPATWA nini tuambiane hapa mabestito

Leo nakuja na SOMO lisemalo USIFALL IN LOVE KWA KITU USICHOKIONA ATI?
Kitu hujakiona kama kiko sawa au chongo wewe tayari kimekutoa roho unakitamani kuwa nacho
wanawake na wanaume jamani usipende wala kutamani kitu ambacho hujakiona wala hujakisia
badala yake unaona id au avatar ya mtu hapa basi inakutoa roho na kuanza kusarandia wakati
wala hujaona mpaka unaweka ahadi ya makutano yenu, Kibaya zaidi pale mnapoweka appointment na huyo uliyemshobokea jf mkutane aiseeee unaona kupatwa kwa huyo uliyemfall in love kumbe ndivyo sivyo ulivyodhania.

nawapa tahadhari wapendwa wangu usiwe mwepesi kufall kwamtu usiyemwona jamani unajipotezea muda cha kufanya wewe pambana na maisha huyo unayefall in love atakuja kwa wakati wake acha kusumbuka na watu wa mitandaaoni watakupotezea muda bure bestito, huu
ni ushauri tu nawapeni maana hapa nimeona thread kibao watu wansema wamefall watu wa humu kuja kukutana nao vituko vya alinacha sasa kwanini ujipe matumaini yasiyona uhakika mabestito wangu kwani huko uliko hawako? sio kwamba nawakataza msitafute humu bali nawapa angalizo
usione avatar ukadhani ndiye kumbe siye. watu wanajiwekea tu hizo hapa wapendwa
ukitafuta mwombe Mungu atakuonesha nawe utapata furaha kwa kile kitakachokuja.

Nawatakieni mema kwenye shughuili zenu na maendeleo yenu

Wasalaamu

Ladyf
Meseji senti endi delivarii
 
tatizo moyo wengine humu wanaviji maneno vya kuhamasisha....hadi unatamani kumuona...but asante kwa ushauri.
 
Binafsi huwa nikiona avartar ya KING'ASTI roho huwa inanidunda kwa utamuu
 
H

Hakuna l maana tutakalo ongea zaidi,salamu,itafatia nmb y simu mwisho wa siku mtogozano baad y hapo analeta majibu huku,nani anatak mambo ya kudharirishan
Kweli kabisa unakuja anzishiwa thread mweusi kama mkaa [emoji28][emoji28]
 
Helloooooz guys

Nawamisije mnaendeleaje na maisha kiujumla je jana kuwa watu WALIPATWA nini tuambiane hapa mabestito

Leo nakuja na SOMO lisemalo USIFALL IN LOVE KWA KITU USICHOKIONA ATI?
Kitu hujakiona kama kiko sawa au chongo wewe tayari kimekutoa roho unakitamani kuwa nacho
wanawake na wanaume jamani usipende wala kutamani kitu ambacho hujakiona wala hujakisia
badala yake unaona id au avatar ya mtu hapa basi inakutoa roho na kuanza kusarandia wakati
wala hujaona mpaka unaweka ahadi ya makutano yenu, Kibaya zaidi pale mnapoweka appointment na huyo uliyemshobokea jf mkutane aiseeee unaona kupatwa kwa huyo uliyemfall in love kumbe ndivyo sivyo ulivyodhania.

nawapa tahadhari wapendwa wangu usiwe mwepesi kufall kwamtu usiyemwona jamani unajipotezea muda cha kufanya wewe pambana na maisha huyo unayefall in love atakuja kwa wakati wake acha kusumbuka na watu wa mitandaaoni watakupotezea muda bure bestito, huu
ni ushauri tu nawapeni maana hapa nimeona thread kibao watu wansema wamefall watu wa humu kuja kukutana nao vituko vya alinacha sasa kwanini ujipe matumaini yasiyona uhakika mabestito wangu kwani huko uliko hawako? sio kwamba nawakataza msitafute humu bali nawapa angalizo
usione avatar ukadhani ndiye kumbe siye. watu wanajiwekea tu hizo hapa wapendwa
ukitafuta mwombe Mungu atakuonesha nawe utapata furaha kwa kile kitakachokuja.

Nawatakieni mema kwenye shughuili zenu na maendeleo yenu

Wasalaamu

Ladyf
good asante sana be blessed!!
 
Kupenda ni zaidi ya sura. Wapo watu humu michango yao ni madhubuti yenye hekima na busara hadi kupelekea watu kutamani kuwa nao. Unaweza kupenda pasipo kumuona mtu maana hata kipofu hupenda pia.
 
Upendo ni moyo na siku zote hauonekani
 
Back
Top Bottom