ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
- #21
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa best umeniacha hoi kweli yaani ile mnakutana live unasema ngoja nisikilize simu kumbe unajiondoa kiaina hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahilo penzi kikohozi kwa imaginations tu dah maana unakuwa unategemea nayempenda yupo ivi, yupo vile, siku unamtia machoni unajidharau unatamani ujinyonge ptuuuuu