ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,379
hakika hata mimi nafarijika kupita kiasiHiyo ni moja kati ya bahati ulizojaliwa... All the best
hakika hata mimi nafarijika kupita kiasiHiyo ni moja kati ya bahati ulizojaliwa... All the best
Hahaha nashukuru FastaaaUmesema vema lakini siyo kwa Heaven Sent, nitaufuata ushauri wako ikifika kwa huyo nitavunja miiko na sheria zote
Haaa wee mwoga hivyo kumbe... Mbona unajiita mti wa ajabu sasa. I thought you were strong enough to handle it! [emoji87]H
Hakuna l maana tutakalo ongea zaidi,salamu,itafatia nmb y simu mwisho wa siku mtogozano baad y hapo analeta majibu huku,nani anatak mambo ya kudharirishan
Hahaha uwoga lazima,Haaa wee mwoga hivyo kumbe... Mbona unajiita mti wa ajabu sasa. I thought you were strong enough to handle it! [emoji87]
Huhuhu mwanamke ujasiri buana... Au linah anatudanganya sjui mwanamke wa nguvu, jasiri.Hahahaha
Hahaha uwoga lazima,
unataka kujua kwa Kiswahili au unataka kujua maana yakeHivi kufall in love kwa kiswahili unasemaje
haudanganywi anajaribu kutoa kitu kwa hadhira yakeHuhuhu mwanamke ujasiri buana... Au linah anatudanganya sjui mwanamke wa nguvu, jasiri.
Hheheheh ssa huo uoga wa nini jamani.. Au na wewe unaogopa nikibisha hodi kule??? [emoji4] [emoji4] [emoji4]haudanganywi anajaribu kutoa kitu kwa hadhira yake