KAFA.cOm
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 1,301
- 741
WalinunuaPia new mexico jimbo wamarekani waliliiiba toka mexico
WalinunuaPia new mexico jimbo wamarekani waliliiiba toka mexico
Tupia tupichaPia ndiko madada wenye makalio mlima wanapatikana
..hii route unanikumbusha mbali..Mungu mkubwaKama ningepata wasaa......ningependa kwenda Mexico......Colombia na Brazil..........
..bonge la movie hili,jamaa ana begi la helaMkuu kuna film inaitwa el gringo ushaitazama???
..bonge la movie hili,jamaa ana begi la hela
Ukikutana na hao jamaa unakufa kabla hawajakufanya chochote, kuna nchi ni hatari kuishi.Ongeza na tajiri mkubwa Carlos Slim, pia kwa style yao ya viatu yaani ningependa kuvaa hivi View attachment 316336
Wana ukatili wa ajabu especially drug dealers ambapo unaweza kuamka asubuhi unapita chini ya bridge unakuta maiti kibao zinaning'iniaUkikutana na hao jamaa unakufa kabla hawajakufanya chochote, kuna nchi ni hatari kuishi.