MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
1. Ni nchi ya 11 kwa kuwa na watu wengi duniani
2. Piramidi kubwa kuliko yote duniani iko Mexico na sio Misri
3. Bisi/ Popcorn zilianza kuliwa Mexico na dunaini miaka zaidi ya 4000 iliyopita.
4. Mexico City ndio mji wenye TAXI nyingi kuliko yote duniani, zaidi ya 100, 000 taxies.
5. Kuna duka moja tu la kuuza bunduki Mexico, nyingine zote zinaibwa kutoka Marekani.
6. Canada, India, Israel, Russia na Mexico ndio nchi pekee ambazo pesa/ noti zao zinaalama za vipofu kuzitambua.
7. Kuna mji Mexico ambao watu hupigana ngumi saana, lengo ni kumuomba Mungu alete msimu mzuri wa mvua.
8. Vinywaji vyenye sukari nyingi vinasababisha vifo vya watu wengi Mexico kuliko wanaouliwa na magenge ya uhalifu na madawa ya kulevya.
09. Katika tetemeko la ardhi 1985 lililoangusha hosipitali kuu ya Mexico, watoto wachanga karibu wote walikutwa wako hai japo walitolewa baada ya siku sita bila kuwa wamekula.
10. Nchini Mexico maji ya kunywa huwekewa ladha, limao, chokolate, chungwa, zabibu etc.