Usichokijua kuhusu Mexico

Usichokijua kuhusu Mexico

Da'Preta hii ni tamthilia ilikuwa inaonyeshwa ITV inaitwa SECOND CHANCE na starling ni huyo jamaa anaitwa Salvado, ila jina lake halisi ni Mario Cimarro,ni m'cuba aliyezaliwa Mexico ingia hapa umuone Google

Safi sana.......jamaa alifanikiwa kuniteka akili huyu......
 
NDO nchi pekee ambayo comedian donald trump anatarajia kujenga uzio mkubwa mpakani ili kuzuia wahamiaji pindi akichaguliwa kuwa raisi wa USA
 
Mexico nchi ambayo Druglords wanamiliki vikosi binafsi vya ulinzi na usalama, wana jeshi la polisi, magereza, defense forces hadi CIA...dah! Drugs zinalipa bandugu
 
madrug lords wa mexico huzikwa kwenye makabuli kama haya.

368778_v1.jpg
 
Ni nchi ya ngapi kwa kuwa na rate kubwa ya uhalifu?
 
khaa!! maji yanawekwa ladha ya machungwa!..asa ayo tena maji au juisi.!??
 
Back
Top Bottom