Usichokijua kuhusu Mexico

Usichokijua kuhusu Mexico

Mexico Kuna watu weusi (waafrika) wengi ingawa hstuwaoni kwenye tamthilia zao
Ule wimbo maarufu wa zamani 'LA BAMBA' umetungwa ns kuimbwa ns mmexico mweusi
 
Kuna jambo lingine kubwa tu kwamba wauza unga wa mexico ukiwa-combine wote nguvu zao zinalingana au zinakaribia kabisa kulingana na nguvu za serikali ya Mexico....
 
Umenikumbusha hii kitu kutoka huko huko.
upload_2016-1-12_0-56-58.jpeg
upload_2016-1-12_0-57-23.jpeg
images
images
images
images
images
 
Mkuu......hizi taswira sio Colombia kweli.....?.....
Da'Preta hii ni tamthilia ilikuwa inaonyeshwa ITV inaitwa SECOND CHANCE na starling ni huyo jamaa anaitwa Salvado, ila jina lake halisi ni Mario Cimarro,ni m'cuba aliyezaliwa Mexico ingia hapa umuone Google
 
Back
Top Bottom