Usichokijua kuhusu mabehewa

Usichokijua kuhusu mabehewa

WATU wanashangaa behewa moja kwa ajili ya SGR limenunuliwa Sh2.2 bilioni.

Wasichokijua, hiyo ndio michongo ya Magufuli. Alilazimisha kununua vitu kwa cash ili kutupiga matukio. Ndege zote zilinunuliwa kwa fedha taslimu ili kutakatisha fedha.

Wataalamu walishangaa na kuhoji; tangu lini Serikali ikawa na vitabia vya kununua kwa fedha taslimu? Mara nyingi Serikali ikiwa inang'ang'ania kununua cash, lengo huwa kutakatisha pesa. Wajanja wachache wachote. Watunze chumbani. Mwisho wanakufa bila kuzitumia. Halafu minoti inakutwa imejaa chumba. Mwizi mkubwa!

Ni kama ambavyo wahuni wachache kwenye Serikali ya Ben Mkapa, walipolazimisha kununua rada kwa cash. Serikali ya UK na Bunge, wakafanya uchunguzi na kubaini Tanzania ilipigwa matukio kwenye rada. Ikailazimisha kampuni ya BAE System iilipe Tanzania. Tukalipwa!

Masanja Kadogosa (DG wa TRC), amesema mabehewa yalilipwa miaka miwili iliyopita. Kwa maana hiyo, mchakato wote ulifanyika na kutekelezwa kipindi cha Magufuli. Watu walishaamua na pesa walishalipa. Samia alikuta vumbi tu!

Mbunge wa Nzega Vijijini, Hamisi Kigwangalla, amesema "Magufuli alipigwa". Hakuna ukweli hapa. Tabia ya Magufuli ilikuwa kila dili ya serikali sharti ipitie kwake. Halafu akafanya vitu siri. Magufuli hakupigwa. Yeye ndiye alitupiga matukio.

Ushahidi ni pale Kangi Lugola na Thobias Andengenye walipoingia mktaba na kampuni ya Romania kwa ajili ya vifaa vya Zimamoto na Uokoaji. Thamani ya mkataba ulikuwa Sh1 trilioni. Magufuli alichukia, aliwafukuza wote kwa sababu dili haikupita kwake.

Zitto Kabwe aliwahi kuonya bungeni tabia ya kuacha dili kubwa, zenye pesa nyingi, kwa Rais Magufuli, ingekuja kumchafua. Mwenyewe hakusikia.

Matokeo ndio haya; behewa moja la treni ya SGR Tanzania ni karibu mara tatu ya behewa bora zaidi la SGR Kenya. Mzigo wote wa kashfa unaelekea kwake.

Ukienda Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (Stiegler's Gorge), bei ambayo Rais Samia ameikuta ni kubwa kuliko uhalisia. Vivyo hivyo SGR.

Yule mwamba alijua kutupiga matukio aisee. Na hivi alitaka kubadili Katiba ili ang'ang'anie madaraka, angekwapua pesa zetu mpaka tungekoma.
Andika kama msomi bila upendeleo. Don't be bias. Chambua taarifa kwamba Behewa moja alinunua Tsh.2.2 Billion wakati bei yake sahihi kwenye soko ni Tsh.............. . sisi tunaosoma ndo tutakuelewa. Be educated p'se.
 
Kwa mjibu wa BoT Hadi Magufuli anafariki dunia,aliacha dollar billion 6.7 za kuweza kuendesha nchi miezi 6 pamoja na kununua ndege kwa keshi na kuanzisha miradi mikubwa, Sasahivi kuna dollar billion 4.3 fedha ambayo inakidhi kwa miezi mitatu, Samia zote katumbua kwa safari eti anafungua nchi.
 
Andika kama msomi bila upendeleo. Don't be bias. Chambua taarifa kwamba Behewa moja alinunua Tsh.2.2 Billion wakati bei yake sahihi kwenye soko ni Tsh.............. . sisi tunaosoma ndo tutakuelewa. Be educated p'se.
Mkuu, mbona mtoa mada keshasema hapa..
Kama kweli, bei halisi ni chini ya theluthi moja!
👇👇
...behewa moja la treni ya SGR Tanzania ni karibu mara tatu ya behewa bora zaidi la SGR Kenya. Mzigo wote wa kashfa unaelekea kwake.
 
WATU wanashangaa behewa moja kwa ajili ya SGR limenunuliwa Sh2.2 bilioni.

Wasichokijua, hiyo ndio michongo ya Magufuli. Alilazimisha kununua vitu kwa cash ili kutupiga matukio. Ndege zote zilinunuliwa kwa fedha taslimu ili kutakatisha fedha.

Wataalamu walishangaa na kuhoji; tangu lini Serikali ikawa na vitabia vya kununua kwa fedha taslimu? Mara nyingi Serikali ikiwa inang'ang'ania kununua cash, lengo huwa kutakatisha pesa. Wajanja wachache wachote. Watunze chumbani. Mwisho wanakufa bila kuzitumia. Halafu minoti inakutwa imejaa chumba. Mwizi mkubwa!

Ni kama ambavyo wahuni wachache kwenye Serikali ya Ben Mkapa, walipolazimisha kununua rada kwa cash. Serikali ya UK na Bunge, wakafanya uchunguzi na kubaini Tanzania ilipigwa matukio kwenye rada. Ikailazimisha kampuni ya BAE System iilipe Tanzania. Tukalipwa!

Masanja Kadogosa (DG wa TRC), amesema mabehewa yalilipwa miaka miwili iliyopita. Kwa maana hiyo, mchakato wote ulifanyika na kutekelezwa kipindi cha Magufuli. Watu walishaamua na pesa walishalipa. Samia alikuta vumbi tu!

Mbunge wa Nzega Vijijini, Hamisi Kigwangalla, amesema "Magufuli alipigwa". Hakuna ukweli hapa. Tabia ya Magufuli ilikuwa kila dili ya serikali sharti ipitie kwake. Halafu akafanya vitu siri. Magufuli hakupigwa. Yeye ndiye alitupiga matukio.

Ushahidi ni pale Kangi Lugola na Thobias Andengenye walipoingia mktaba na kampuni ya Romania kwa ajili ya vifaa vya Zimamoto na Uokoaji. Thamani ya mkataba ulikuwa Sh1 trilioni. Magufuli alichukia, aliwafukuza wote kwa sababu dili haikupita kwake.

Zitto Kabwe aliwahi kuonya bungeni tabia ya kuacha dili kubwa, zenye pesa nyingi, kwa Rais Magufuli, ingekuja kumchafua. Mwenyewe hakusikia.

Matokeo ndio haya; behewa moja la treni ya SGR Tanzania ni karibu mara tatu ya behewa bora zaidi la SGR Kenya. Mzigo wote wa kashfa unaelekea kwake.

Ukienda Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (Stiegler's Gorge), bei ambayo Rais Samia ameikuta ni kubwa kuliko uhalisia. Vivyo hivyo SGR.

Yule mwamba alijua kutupiga matukio aisee. Na hivi alitaka kubadili Katiba ili ang'ang'anie madaraka, angekwapua pesa zetu mpaka tungekoma.
"Acha uongo mkataba wa mwanzo uliokuwa umesainiwa urisitishwa ,wakasaini upya .ndo Serikali mpya wameleta mabehewa yao haya sasa..."
 
Mabehewa chakavu ni chief hangoya. Alisema mwenyewe tena mwanzoni kabisa walipovunja mkataba wa awali .

Kila UOVU mnamsingizia marehemu asoweza jitetea, hii Si sawa.

By the way alokuwa Makamo wa maggguuuu ndo chui jike mwenyewe.
 
Back
Top Bottom