Usichokijua kuhusu mabehewa

Usichokijua kuhusu mabehewa

Nina asilimia 10000% Jiwe angekuwepo yasingeletwa mabehewa ya hovyo hvyo , na Kwa bei exaggerated kiasi hvyo , jamaa alikuwa anaipenda Sana miradi anayoivalia njuga yeye mwenyewe , na alikuwa na maono ya mbali Sana na ya kuibadilisha miundo mbinu ya hii nchi ...... Hyo nitakataa mpak kesho , hata ununuzi wa ndege , bei zilikuwa zinasemwa na ukitaka kujiridhisha makampuni ya kuuza ndege yako wazi na bei zao zinajulikana ....

Hv Maghufuli aibe matirioni ya pesa apeleke wapi Yule Mzee , hakuna haja ya kumlaumu Kwa ujinga wanaofanya
Kwanini alimzuia Prof.Assad asikague ununuzi wa ndege?
 
WATU wanashangaa behewa moja kwa ajili ya SGR limenunuliwa Sh2.2 bilioni.

Wasichokijua, hiyo ndio michongo ya Magufuli. Alilazimisha kununua vitu kwa cash ili kutupiga matukio. Ndege zote zilinunuliwa kwa fedha taslimu ili kutakatisha fedha.

Wataalamu walishangaa na kuhoji; tangu lini Serikali ikawa na vitabia vya kununua kwa fedha taslimu? Mara nyingi Serikali ikiwa inang'ang'ania kununua cash, lengo huwa kutakatisha pesa. Wajanja wachache wachote. Watunze chumbani. Mwisho wanakufa bila kuzitumia. Halafu minoti inakutwa imejaa chumba. Mwizi mkubwa!

Ni kama ambavyo wahuni wachache kwenye Serikali ya Ben Mkapa, walipolazimisha kununua rada kwa cash. Serikali ya UK na Bunge, wakafanya uchunguzi na kubaini Tanzania ilipigwa matukio kwenye rada. Ikailazimisha kampuni ya BAE System iilipe Tanzania. Tukalipwa!

Masanja Kadogosa (DG wa TRC), amesema mabehewa yalilipwa miaka miwili iliyopita. Kwa maana hiyo, mchakato wote ulifanyika na kutekelezwa kipindi cha Magufuli. Watu walishaamua na pesa walishalipa. Samia alikuta vumbi tu!

Mbunge wa Nzega Vijijini, Hamisi Kigwangalla, amesema "Magufuli alipigwa". Hakuna ukweli hapa. Tabia ya Magufuli ilikuwa kila dili ya serikali sharti ipitie kwake. Halafu akafanya vitu siri. Magufuli hakupigwa. Yeye ndiye alitupiga matukio.

Ushahidi ni pale Kangi Lugola na Thobias Andengenye walipoingia mktaba na kampuni ya Romania kwa ajili ya vifaa vya Zimamoto na Uokoaji. Thamani ya mkataba ulikuwa Sh1 trilioni. Magufuli alichukia, aliwafukuza wote kwa sababu dili haikupita kwake.

Zitto Kabwe aliwahi kuonya bungeni tabia ya kuacha dili kubwa, zenye pesa nyingi, kwa Rais Magufuli, ingekuja kumchafua. Mwenyewe hakusikia.

Matokeo ndio haya; behewa moja la treni ya SGR Tanzania ni karibu mara tatu ya behewa bora zaidi la SGR Kenya. Mzigo wote wa kashfa unaelekea kwake.

Ukienda Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (Stiegler's Gorge), bei ambayo Rais Samia ameikuta ni kubwa kuliko uhalisia. Vivyo hivyo SGR.

Yule mwamba alijua kutupiga matukio aisee. Na hivi alitaka kubadili Katiba ili ang'ang'anie madaraka, angekwapua pesa zetu mpaka tungekoma.
Anzisha Uzi wa magufuli kama umemmisi kuliko kusingizia Mambo ya mabehewa

Hayo mabehewa wakati wanaweka mikataba na kuisaini magufuli akikua kisha oza miezi kibao.

Ila kama una hamu nae anzisha Uzi wakati akiwa hai.
 
Mbuzi ni mbuzi tu hawezi acha asili yake ya kula majani.
 
Kwanini alimzuia Prof.Assad asikague ununuzi wa ndege?
Asadi analima mboga huko kwake na kazi ilishaisha na hukumu imetoka, ila kama huliziki nenda Kakate rufaa ili huyo magufuli afungwe miaka ili ulizike.
 
16699553345419.jpg
 
Shirika la Reli Tanzania - TRC limetoa ufafanuzi juu ya ununuzi wa injini na behewa za abiria na mizigo kwa matumizi ya reli ya kisasa - SGR kwenye mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa mikutano TRC jijini Dar es Salaam Juni 15, 2022.

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC Bi. Jamila Mbarouk ameeleza kuwa TRC inafanya manunuzi ya behewa za mizigo, behewa za abiria, seti za treni za kisasa pamoja na vichwa vya treni ya umeme kwa mgawanyo wa awamu mbili.
 
Aidha, Bi. Jamila alieleza kuwa katika kuhakikisha uendeshaji wa awali unaanza mara baada ya majaribio, TRC ilisaini mkataba wa muda mfupi wa ununuzi wa vichwa vya treni ya umeme viwili na behewa 30 za abiria vitakavyofanyiwa ukarabati kutoka kampuni ya Eurowagon ya nchini Uturuki.

Hata hivyo Bi. Jamila aliongeza kuwa kampuni ya Eurowagon imeshindwa kutimiza matakwa ya mkataba huo ambao ulitakiwa kukamilika mnamo mwezi Novemba, 2021.v
 
Kwani aliyesema yanakuja mabehewa used ni mahufuli au samia
 
WATU wanashangaa behewa moja kwa ajili ya SGR limenunuliwa Sh2.2 bilioni.

Wasichokijua, hiyo ndio michongo ya Magufuli. Alilazimisha kununua vitu kwa cash ili kutupiga matukio. Ndege zote zilinunuliwa kwa fedha taslimu ili kutakatisha fedha.

Wataalamu walishangaa na kuhoji; tangu lini Serikali ikawa na vitabia vya kununua kwa fedha taslimu? Mara nyingi Serikali ikiwa inang'ang'ania kununua cash, lengo huwa kutakatisha pesa. Wajanja wachache wachote. Watunze chumbani. Mwisho wanakufa bila kuzitumia. Halafu minoti inakutwa imejaa chumba. Mwizi mkubwa!

Ni kama ambavyo wahuni wachache kwenye Serikali ya Ben Mkapa, walipolazimisha kununua rada kwa cash. Serikali ya UK na Bunge, wakafanya uchunguzi na kubaini Tanzania ilipigwa matukio kwenye rada. Ikailazimisha kampuni ya BAE System iilipe Tanzania. Tukalipwa!

Masanja Kadogosa (DG wa TRC), amesema mabehewa yalilipwa miaka miwili iliyopita. Kwa maana hiyo, mchakato wote ulifanyika na kutekelezwa kipindi cha Magufuli. Watu walishaamua na pesa walishalipa. Samia alikuta vumbi tu!

Mbunge wa Nzega Vijijini, Hamisi Kigwangalla, amesema "Magufuli alipigwa". Hakuna ukweli hapa. Tabia ya Magufuli ilikuwa kila dili ya serikali sharti ipitie kwake. Halafu akafanya vitu siri. Magufuli hakupigwa. Yeye ndiye alitupiga matukio.

Ushahidi ni pale Kangi Lugola na Thobias Andengenye walipoingia mktaba na kampuni ya Romania kwa ajili ya vifaa vya Zimamoto na Uokoaji. Thamani ya mkataba ulikuwa Sh1 trilioni. Magufuli alichukia, aliwafukuza wote kwa sababu dili haikupita kwake.

Zitto Kabwe aliwahi kuonya bungeni tabia ya kuacha dili kubwa, zenye pesa nyingi, kwa Rais Magufuli, ingekuja kumchafua. Mwenyewe hakusikia.

Matokeo ndio haya; behewa moja la treni ya SGR Tanzania ni karibu mara tatu ya behewa bora zaidi la SGR Kenya. Mzigo wote wa kashfa unaelekea kwake.

Ukienda Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (Stiegler's Gorge), bei ambayo Rais Samia ameikuta ni kubwa kuliko uhalisia. Vivyo hivyo SGR.

Yule mwamba alijua kutupiga matukio aisee. Na hivi alitaka kubadili Katiba ili ang'ang'anie madaraka, angekwapua pesa zetu mpaka tungekoma.
zungukeni tu lazima mtatema ndoano tu
 
This is nonsense, mkataba wa mwanzo si ulifutwa na kina Samia wakaingia mkataba mwingine?ndo huu sasa
 
Haa uzushi.
haya mabehewa yamenunuliwa na serikali ya mama Samia.mabehewa haya wamesema ni kwaajili ya safari ndefu au aukuwasikia?.
mpaka sasa reli imekamilika mpaka Morogoro.ili wapige hela wakaleta kwanza mabehewa ya masafa marefu wakaacha kuleta mabehewa ya masafa mafupi ya reli ilipofikia sasa hapo Morogoro.
 
WATU wanashangaa behewa moja kwa ajili ya SGR limenunuliwa Sh2.2 bilioni.

Wasichokijua, hiyo ndio michongo ya Magufuli. Alilazimisha kununua vitu kwa cash ili kutupiga matukio. Ndege zote zilinunuliwa kwa fedha taslimu ili kutakatisha fedha.

Wataalamu walishangaa na kuhoji; tangu lini Serikali ikawa na vitabia vya kununua kwa fedha taslimu? Mara nyingi Serikali ikiwa inang'ang'ania kununua cash, lengo huwa kutakatisha pesa. Wajanja wachache wachote. Watunze chumbani. Mwisho wanakufa bila kuzitumia. Halafu minoti inakutwa imejaa chumba. Mwizi mkubwa!

Ni kama ambavyo wahuni wachache kwenye Serikali ya Ben Mkapa, walipolazimisha kununua rada kwa cash. Serikali ya UK na Bunge, wakafanya uchunguzi na kubaini Tanzania ilipigwa matukio kwenye rada. Ikailazimisha kampuni ya BAE System iilipe Tanzania. Tukalipwa!

Masanja Kadogosa (DG wa TRC), amesema mabehewa yalilipwa miaka miwili iliyopita. Kwa maana hiyo, mchakato wote ulifanyika na kutekelezwa kipindi cha Magufuli. Watu walishaamua na pesa walishalipa. Samia alikuta vumbi tu!

Mbunge wa Nzega Vijijini, Hamisi Kigwangalla, amesema "Magufuli alipigwa". Hakuna ukweli hapa. Tabia ya Magufuli ilikuwa kila dili ya serikali sharti ipitie kwake. Halafu akafanya vitu siri. Magufuli hakupigwa. Yeye ndiye alitupiga matukio.

Ushahidi ni pale Kangi Lugola na Thobias Andengenye walipoingia mktaba na kampuni ya Romania kwa ajili ya vifaa vya Zimamoto na Uokoaji. Thamani ya mkataba ulikuwa Sh1 trilioni. Magufuli alichukia, aliwafukuza wote kwa sababu dili haikupita kwake.

Zitto Kabwe aliwahi kuonya bungeni tabia ya kuacha dili kubwa, zenye pesa nyingi, kwa Rais Magufuli, ingekuja kumchafua. Mwenyewe hakusikia.

Matokeo ndio haya; behewa moja la treni ya SGR Tanzania ni karibu mara tatu ya behewa bora zaidi la SGR Kenya. Mzigo wote wa kashfa unaelekea kwake.

Ukienda Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (Stiegler's Gorge), bei ambayo Rais Samia ameikuta ni kubwa kuliko uhalisia. Vivyo hivyo SGR.

Yule mwamba alijua kutupiga matukio aisee. Na hivi alitaka kubadili Katiba ili ang'ang'anie madaraka, angekwapua pesa zetu mpaka tungekoma.
Acha bangi ndege zimenunuliwa kiwandsni na bei za kila ndege zimeandikwa kule
 
Back
Top Bottom