ni PMunaweza pendekeza machache ya kuanzia
Wakuu pokeeni salamu zangu,
Kutokana na kuhangaika na maradhi sugu nilijikuta naenda katika haya makanisa ya kiroho kuombewa hiki ndicho nilichokiona huko.
1. Pesa kwanza; hufanyiwi maombi mpaka ulipishwe pesa tena ukifika siku ya kwanza unaulizwa kazi unayofanya kabisa alafu watakuambia roho mtakatifu kakuambia utoe shilingi ngapi.
2. Unatolewa unabii feki kabisa; nilienda mara ya kwanza nikaambiwa tatizo langu nimerogwa kuna binti niliahidi kumuoa nikamkimbia, kwa kijana kuahidi kuoa mtu na kukimbia ni jambo la kawaida nikakubali ila naenda kuombewa tena mara ya pili akawa kanisahau kwenye unabii akasema tatizo langu linasababishwa na vifungo ambazo wazee wangu waliingia hivyo nahitaji kutoa sadaka ya ukombozi kumbuka huyo ni mtumishi mmoja anatoa unabii tofauti kwa mtu mmoja na tatizo moja.
3. Maombi hayasaidii kupona; kila ugonjwa kuna uwekano wa kupona na kutokupona wanachofanya hawa watumishi ni kucheza na probability wale wakupona wakija kutoa ushuhuda wanawavuta na wengine waje kuombewa, wale wasiopona hawana nafasi ya kuja kushuhudia tena hivyo tunawasikia waliopona tu wasiopona hatuwasikii, hivyo kuonekana watu wanapona kweli ila si kwa ajili ya maombi ni natural selection tu.
Baada ya kusema hayo naomba kuwasisitiza msidanganywe na matangazo ya redion kuhusu uponyaji ni feki uponyaji ni suala la asili hata bila kuombewa kuna watu wanapona wengine hawaponi, kazi hata bila kuombewa kuna watu watapata wengine hawawezi pata na mafanikio yoyote yale ni hivohivo.
NB: Unaweza ongeza matatizo uliokumbana nayo ulivoenda kuombewa.
Mtoa mada unaweza ukawa na point lakini umeshindwa kufanya presentation vizuri. And I can only assume hii imetokana na ukweli kuwa umefanya conclusion based on kile kilichokutokea wewe na siyo kile ambacho Mungu anaongea juu ya manabii wa uongo. Manabii wa uongo hawapo kwasababu wewe ulienda kanisani ukatabiriwa mambo mawili tofauti na mtumishi mmoja. Manabii wa uongo wapo kwasababu Yesu alitabiri miaka 2000 iliyopita kuwa watatokea.
Mtu wa kwanza kutabiri kuwa kutatokea manabii wa uongo ni Yesu mwenyewe. Alisema katika Mathayo 24:5 kuwa wengi watakuja kwa jina lake wakisema wao ni Kristo. Lakini kwenye Mathayo 24:24 Yesu anarudia tena kuonya kuwa "watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo nao watatoa ishara kubwa na maajabu wapate kuwapoteza hata walio wateule". Kwenye Yohana 5:43 anaendelea kuonya tena kuwa "mimi nimekuja kwa jina langu wala hamnipokei mwingine akija kwa jina lake mtampokea".
Mifano hiyo michache kutoka kwa Kristo ni uthibitisho tosha kuwa suala la uwezekano wa kuwepo manabii wa uongo siyo habari mpya tena. Ni dhahiri kuwa lazima wawepo hata mtu asipotuambia kuwa wapo.
Kitu cha msingi ni kuelewa kuwa huwezi kuwa na NABII WA UONGO kama hayupo NABII WA UKWELI. Yaani neno uongo linatokana na neno ukweli. Huwezi kumwambia mtu anakudanganya kama hujui ukweli unafananaje. Kwa mfano, huwezi kusema simu hii ni FAKE ilihali hujui sifa za kuifanya simu kuwa ORIGINAL ni zipi. Hutaweza.
So Yesu aliposema tujihadhari na manabii wa uongo, alichokuwa anamaanisha wakati huohuo ni kuwa tujifunze ni sifa zipi zinamfanya mtu kuwa nabii wa ukweli. Alikuwa hana lengo la kutufanya kustick na kufocus kutafuta manabii wa uongo popote walipo halafu tuanze kudraw dangerous conclusions kuwa MANABII WOTE NI WAONGO TU, halafu hatufanyi jitihada zozote kuwatafuta wale walio wa ukweli. Huko kutakuwa ni kujidanganya na tutakuwa tunamsaidia Shetani kutupumbaza tu. Hatupaswi kutoa msaada wa aina yoyote kwa Shetani.
Sasa ili usitoe msaada wa aina hiyo kwa Shetani. Yaani ili uache kuhangaika kuishi kwa kutafuta makosa (faultfinding) ya watumishi na uanze kuconcentate on sifa nzuri zinazofanya mtumishi awe NABII WA KWELI, ni lazima uzame kwenye NENO LA MUNGU. Ukijifunza vizuri Neno la Mungu, utajua ni jinsi gani ufalme wa Mungu unafanya kazi na ni sifa zipi zinamqualify mtu kuwa mtumishi wa Mungu wa ukweli. In fact Biblia ina majibu ya matatizo yote binadamu anayokutana nayo kiasi kwamba ukiwa msomaji mzuri wa Neno, itafikia kipindi wala hautahitaji tena kwenda kuonana na nabii ili atatue tatizo lako. NENO la Mungu linatosha kabisa kumaliza matatizo yooooooooote unayokutana nayo makubwa au madogo. Kitu muhimu ni kuamini tu. PERIOD.
Kwahiyo anza leo kusoma Biblia yako kwa utulivu huku ukiomba uongozi wa Roho Mtakatifu ili uachane na habari za kwenda kutafuta msaada kwa manabii--wawe wa uongo au wa ukweli.
Ni kweii. Tofauti kubwa ni kuwa Yesu hakuwa anaomba sadaka ili awaponye.Yesu akamwambia 'inuka uende zako imani yako imekuponya'....ndugu kila kitu ni imani.
Umeeleza vizuri sanaAmini hili mkuu, kumjua nabii wa ukweli au wa uongo kunahitaji muda, kupona ugonjwa sio kipimo chakumjua nabii wa ukweli au uongo, na sio ukienda kuombewa lazima upone pia unaweza kufaa tu, chamsingi omba mapenzi ya Mungu juu yako. kama ugonjwa wako ni wa kufaa kwa mujibu wa Mungu lazima ufe hata ukiombewa na nabii vingenevyo ongea na MUngu mwenyewe msawazishe wewe na yeye.
Kumbuka hukuna tatizo linamkuta mtu pasipo dhambi, dhambi ndiyo kila sababu ya uovu wote. ukikuta uovu wowote umeingia kwako au kwa watu wako au kwa familia yako au kwa ukoo wako, cha kwanza omba toba, mpaka mahusiano yako na Mungu yarudi, usikimbilie kuombewa wakati una dhambi na roho yako inakushuhudia, nabii sio mganga wa kienyeji nae anatafuta connection na Mungu huyo huyo uliyemtenda dhambi ili wewe upone.
Kwa mujibu agano jipya kuponywa kwako hakumuhitaji mtumishi yeyote, kunahitaji roho ya toba na moyo uliotiyari kuacha uovu wako kwenda na Mungu. Kumbuka wewe kwa MUNGU ni muhimu kuliko kitu chochote, akikutaka urudi kwake baada ya dhambi yako, anaondo ulinzi wake ili uovu na taababu vikujie, na kadiri unavyo kuwa mgumu ndiyo vinaongezeka ili uombe toba na akupate tene kwake, dhambi ni uasi kwake, magonjwa na shida ni check and balance ya uhusiano wako na MUNGU. Kwahiyo ukipata shida ujue check and balance ipo kazini.
Kazi kubwa ya watumishi ni kuutangaza ufalme wa Mungu, na kukuunganisha wewe na Mungu, pia ni kukuonyesha kweli ya Mungu ili wewe uwe na misingi ya kujisimamia. Lakini wengi tumewafanya watumishi kama waganga wa kienyeji na ndiyo maana uovu umekuwa mwingi makanisani, shetani naye amegundua udhaifu wetu wa kushindwa kujisimamia na umetufunga humohumo.
Mambo muhimu kati yako na Uhusiano wako na Mungu.
- Ukiona uovu umeingia kwako tafuta sababu kwanini jambo hili limenikuta wakati huo omba toba kwani wote tumetenda na tunajua hakuna uganga juu ya yakobo wala uchawi juu ya israel, wakati unatafakari na kuomba toba yakufa na kupona, endelea kujitoa kwenye kila mlango wa dhambi. Kumbuka dhambi inayokusonga kwa kasi huo ndio mlango mkubwa. wengine ni uongo, wengine uizi,wengine uchawi, wengine uasherati nk
- Tafuta maarifaa juu ya dhambi na namana ya kuzishinda, tafuta ukuu na rehema ya Mungu juu ya wenye dhambi, soma maandiko na utaona kadili siku zinavyosonga mbele mzigo wako moyoni unapungua na hamu ya kumtafuta Mungu inaongezeka na utaanza kutojali sana juu ya tatizo ulilonalo, kama ulikuwa hulali usingizi kwa sababu ya tatizo utaanza kulala, ili litimie neno lililoandikwa hakika amechukua masikitiko yetu....... na kwakupigwa kwake tumepona (Isaya 53.4-5)
- Ukigundua uhusiano wako na Mungu umerudi anza kuomba tatizo lako likuondoke, na hata ukiomba wengine wakuombee ni sawa kwani uko online, hata ukienda kwa mtumishi akuombee hutakuwa na machukizo moyoni,na roho yako itakuongoza wapi pa kwenda hutakwenda kwa pressure ya ungonjwa bali uongozi wa roho aliyeko ndani yetu, hivyo ni rahisi kwenda kwa mtumishi sahihi, sio kila mtumishi ni sahihi kwa kila tatizo, hiyo ndiyo philosophy ya kwanini wawe wengi,wengine wako vizuri kwa kujenga imani, wengine kuondoa roho za umasikini, wengine magonjwa na miujiza, wengine neno la maarifaa na nk
- Pia fahamu nguvu ya kupona ipo kwetu wenyewe na sio kwa watumishi, ni rahisi mtumishi kutoa pepo na sio kuponya ugonjwa, pepo anakemewa na kuondoka kwa mamlaka, ugongwa huondoka baada ya sababu iliyosababisha kuondolewa na toba na kuomba rehema ya Mungu, japo magonjwa mengine yanaweza kuondoka kirahisi pamoja na mapepo kwani hao ndiyo husababisha magojwa hayo, yaani magonjwa ya uonevu. Lakini magonjwa mengine yapo kwa watu kwa sababu yanahaki kuwepo hivyo ondoa haki hiyo harafu omba rehema ya Mungu uondoke.
Ndiyo.Biblia ndiyo iliyosema Kanisa Katoliki la Mitume?
Kwa mfano............Nakushangaa Wewe mpaka leo unachelewa nini kuwa mwana freemason. Mkuu unakosa vitu vingi mno!
Si kweli, Katoliki ni wataalam wa mapokeoKanisa Ni moja tu takatifu katoliki la mitume. Mengine madhehebu.Chunguza.
Swali la msingi ila watu wanalipita..Kwan what makes one mhubiri wa kwel na the other mtumish wa uongo???
Nakushauri usiende kanisani kama unavyoenda kwa waganga,Wakuu pokeeni salamu zangu,
Kutokana na kuhangaika na maradhi sugu nilijikuta naenda katika haya makanisa ya kiroho kuombewa hiki ndicho nilichokiona huko.
1. Pesa kwanza; hufanyiwi maombi mpaka ulipishwe pesa tena ukifika siku ya kwanza unaulizwa kazi unayofanya kabisa alafu watakuambia roho mtakatifu kakuambia utoe shilingi ngapi.
2. Unatolewa unabii feki kabisa; nilienda mara ya kwanza nikaambiwa tatizo langu nimerogwa kuna binti niliahidi kumuoa nikamkimbia, kwa kijana kuahidi kuoa mtu na kukimbia ni jambo la kawaida nikakubali ila naenda kuombewa tena mara ya pili akawa kanisahau kwenye unabii akasema tatizo langu linasababishwa na vifungo ambazo wazee wangu waliingia hivyo nahitaji kutoa sadaka ya ukombozi kumbuka huyo ni mtumishi mmoja anatoa unabii tofauti kwa mtu mmoja na tatizo moja.
3. Maombi hayasaidii kupona; kila ugonjwa kuna uwekano wa kupona na kutokupona wanachofanya hawa watumishi ni kucheza na probability wale wakupona wakija kutoa ushuhuda wanawavuta na wengine waje kuombewa, wale wasiopona hawana nafasi ya kuja kushuhudia tena hivyo tunawasikia waliopona tu wasiopona hatuwasikii, hivyo kuonekana watu wanapona kweli ila si kwa ajili ya maombi ni natural selection tu.
Baada ya kusema hayo naomba kuwasisitiza msidanganywe na matangazo ya redion kuhusu uponyaji ni feki uponyaji ni suala la asili hata bila kuombewa kuna watu wanapona wengine hawaponi, kazi hata bila kuombewa kuna watu watapata wengine hawawezi pata na mafanikio yoyote yale ni hivohivo.
NB: Unaweza ongeza matatizo uliokumbana nayo ulivoenda kuombewa.
Ni YESU pekee angeweza kufafanua na kuchanganua zaidi ya ulivyofanya wewe. Ubarikiwe sana, nimetoka na mengi kutokana na bandiko hili. Na mleta mada pia ubarikiwe maana kwa namna moja umesababisha ufafanuzi huu utolewe kwa manufaa ya wengi.Mtoa mada unaweza ukawa na point lakini umeshindwa kufanya presentation vizuri. And I can only assume hii imetokana na ukweli kuwa umefanya conclusion based on kile kilichokutokea wewe na siyo kile ambacho Mungu anaongea juu ya manabii wa uongo. Manabii wa uongo hawapo kwasababu wewe ulienda kanisani ukatabiriwa mambo mawili tofauti na mtumishi mmoja. Manabii wa uongo wapo kwasababu Yesu alitabiri miaka 2000 iliyopita kuwa watatokea.
Mtu wa kwanza kutabiri kuwa kutatokea manabii wa uongo ni Yesu mwenyewe. Alisema katika Mathayo 24:5 kuwa wengi watakuja kwa jina lake wakisema wao ni Kristo. Lakini kwenye Mathayo 24:24 Yesu anarudia tena kuonya kuwa "watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo nao watatoa ishara kubwa na maajabu wapate kuwapoteza hata walio wateule". Kwenye Yohana 5:43 anaendelea kuonya tena kuwa "mimi nimekuja kwa jina langu wala hamnipokei mwingine akija kwa jina lake mtampokea".
Mifano hiyo michache kutoka kwa Kristo ni uthibitisho tosha kuwa suala la uwezekano wa kuwepo manabii wa uongo siyo habari mpya tena. Ni dhahiri kuwa lazima wawepo hata mtu asipotuambia kuwa wapo.
Kitu cha msingi ni kuelewa kuwa huwezi kuwa na NABII WA UONGO kama hayupo NABII WA UKWELI. Yaani neno uongo linatokana na neno ukweli. Huwezi kumwambia mtu anakudanganya kama hujui ukweli unafananaje. Kwa mfano, huwezi kusema simu hii ni FAKE ilihali hujui sifa za kuifanya simu kuwa ORIGINAL ni zipi. Hutaweza.
So Yesu aliposema tujihadhari na manabii wa uongo, alichokuwa anamaanisha wakati huohuo ni kuwa tujifunze ni sifa zipi zinamfanya mtu kuwa nabii wa ukweli. Alikuwa hana lengo la kutufanya kustick na kufocus kutafuta manabii wa uongo popote walipo halafu tuanze kudraw dangerous conclusions kuwa MANABII WOTE NI WAONGO TU, halafu hatufanyi jitihada zozote kuwatafuta wale walio wa ukweli. Huko kutakuwa ni kujidanganya na tutakuwa tunamsaidia Shetani kutupumbaza tu. Hatupaswi kutoa msaada wa aina yoyote kwa Shetani.
Sasa ili usitoe msaada wa aina hiyo kwa Shetani. Yaani ili uache kuhangaika kuishi kwa kutafuta makosa (faultfinding) ya watumishi na uanze kuconcentate on sifa nzuri zinazofanya mtumishi awe NABII WA KWELI, ni lazima uzame kwenye NENO LA MUNGU. Ukijifunza vizuri Neno la Mungu, utajua ni jinsi gani ufalme wa Mungu unafanya kazi na ni sifa zipi zinamqualify mtu kuwa mtumishi wa Mungu wa ukweli. In fact Biblia ina majibu ya matatizo yote binadamu anayokutana nayo kiasi kwamba ukiwa msomaji mzuri wa Neno, itafikia kipindi wala hautahitaji tena kwenda kuonana na nabii ili atatue tatizo lako. NENO la Mungu linatosha kabisa kumaliza matatizo yooooooooote unayokutana nayo makubwa au madogo. Kitu muhimu ni kuamini tu. PERIOD.
Kwahiyo anza leo kusoma Biblia yako kwa utulivu huku ukiomba uongozi wa Roho Mtakatifu ili uachane na habari za kwenda kutafuta msaada kwa manabii--wawe wa uongo au wa ukweli.
Hata wewe ungeweza kulijibu ila pia umeamua kulipitaSwali la msingi ila watu wanalipita..
Mkuu pamoja na maelezo yako mazuri, ila sikubaliani na wewe katika hii sehemu.. Naomba ninukuu..Amini hili mkuu, kumjua nabii wa ukweli au wa uongo kunahitaji muda, kupona ugonjwa sio kipimo chakumjua nabii wa ukweli au uongo, na sio ukienda kuombewa lazima upone pia unaweza kufaa tu, chamsingi omba mapenzi ya Mungu juu yako. kama ugonjwa wako ni wa kufaa kwa mujibu wa Mungu lazima ufe hata ukiombewa na nabii vingenevyo ongea na MUngu mwenyewe msawazishe wewe
Kumbuka hukuna tatizo linamkuta mtu pasipo dhambi, dhambi ndiyo kila sababu ya uovu wote. ukikuta uovu wowote umeingia kwako au kwa watu wako au kwa familia yako au kwa ukoo wako, cha kwanza omba toba, mpaka mahusiano yako na Mungu yarudi, usikimbilie kuombewa wakati una dhambi na roho yako inakushuhudia, nabii sio mganga wa kienyeji nae anatafuta connection na Mungu huyo huyo uliyemtenda dhambi ili wewe upone.
Kwa mujibu agano jipya kuponywa kwako hakumuhitaji mtumishi yeyote, kunahitaji roho ya toba na moyo uliotiyari kuacha uovu wako kwenda na Mungu. Kumbuka wewe kwa MUNGU ni muhimu kuliko kitu chochote, akikutaka urudi kwake baada ya dhambi yako, anaondo ulinzi wake ili uovu na taababu vikujie, na kadiri unavyo kuwa mgumu ndiyo vinaongezeka ili uombe toba na akupate tene kwake, dhambi ni uasi kwake, magonjwa na shida ni check and balance ya uhusiano wako na MUNGU. Kwahiyo ukipata shida ujue check and balance ipo kazini.
Kazi kubwa ya watumishi ni kuutangaza ufalme wa Mungu, na kukuunganisha wewe na Mungu, pia ni kukuonyesha kweli ya Mungu ili wewe uwe na misingi ya kujisimamia. Lakini wengi tumewafanya watumishi kama waganga wa kienyeji na ndiyo maana uovu umekuwa mwingi makanisani, shetani naye amegundua udhaifu wetu wa kushindwa kujisimamia na umetufunga humohumo.
Mambo muhimu kati yako na Uhusiano wako na Mungu.
- Ukiona uovu umeingia kwako tafuta sababu kwanini jambo hili limenikuta wakati huo omba toba kwani wote tumetenda na tunajua hakuna uganga juu ya yakobo wala uchawi juu ya israel, wakati unatafakari na kuomba toba yakufa na kupona, endelea kujitoa kwenye kila mlango wa dhambi. Kumbuka dhambi inayokusonga kwa kasi huo ndio mlango mkubwa. wengine ni uongo, wengine uizi,wengine uchawi, wengine uasherati nk
- Tafuta maarifaa juu ya dhambi na namana ya kuzishinda, tafuta ukuu na rehema ya Mungu juu ya wenye dhambi, soma maandiko na utaona kadili siku zinavyosonga mbele mzigo wako moyoni unapungua na hamu ya kumtafuta Mungu inaongezeka na utaanza kutojali sana juu ya tatizo ulilonalo, kama ulikuwa hulali usingizi kwa sababu ya tatizo utaanza kulala, ili litimie neno lililoandikwa hakika amechukua masikitiko yetu....... na kwakupigwa kwake tumepona (Isaya 53.4-5)
- Ukigundua uhusiano wako na Mungu umerudi anza kuomba tatizo lako likuondoke, na hata ukiomba wengine wakuombee ni sawa kwani uko online, hata ukienda kwa mtumishi akuombee hutakuwa na machukizo moyoni,na roho yako itakuongoza wapi pa kwenda hutakwenda kwa pressure ya ungonjwa bali uongozi wa roho aliyeko ndani yetu, hivyo ni rahisi kwenda kwa mtumishi sahihi, sio kila mtumishi ni sahihi kwa kila tatizo, hiyo ndiyo philosophy ya kwanini wawe wengi,wengine wako vizuri kwa kujenga imani, wengine kuondoa roho za umasikini, wengine magonjwa na miujiza, wengine neno la maarifaa na nk
- Pia fahamu nguvu ya kupona ipo kwetu wenyewe na sio kwa watumishi, ni rahisi mtumishi kutoa pepo na sio kuponya ugonjwa, pepo anakemewa na kuondoka kwa mamlaka, ugongwa huondoka baada ya sababu iliyosababisha kuondolewa na toba na kuomba rehema ya Mungu, japo magonjwa mengine yanaweza kuondoka kirahisi pamoja na mapepo kwani hao ndiyo husababisha magojwa hayo, yaani magonjwa ya uonevu. Lakini magonjwa mengine yapo kwa watu kwa sababu yanahaki kuwepo hivyo ondoa haki hiyo harafu omba rehema ya Mungu uondoke.
"Kumbuka hukuna tatizo linamkuta mtu pasipo dhambi, dhambi ndiyo kila sababu ya uovu wote. ukikuta uovu wowote umeingia kwako au kwa watu wako au kwa familia yako au kwa ukoo wako, cha kwanza omba toba, mpaka mahusiano yako na Mungu yarudi, usikimbilie kuombewa wakati una dhambi na roho yako inakushuhudia, nabii sio mganga wa kienyeji nae anatafuta connection na Mungu huyo huyo uliyemtenda dhambi ili wewe upone."
Hivi kuna kanisa linatafunwa na viongozi kama kanisa Catholic?Kuna huyu bwana wa Mwanza anajiita sijui nabii Malisa,siku hiyo nyumbani sina kazi nikaona nipoteze muda kwenye tv..anawahubiria waamini kwamba watoe sadaka mpaka ziwaume na kila atakayetoa sadaka yake itarudi kwake maradufu kupitia tigopesa,m-pesa na airtel money sikuamini nilichokisikia nikajiuliza kwanini yeye asiziombee zaka zake zikarudi kwake,na watu wanaamini,muhubiri ibada nzima anasisitiza toeni sadaka toeni sadaka,zinakoenda hapajulikani wala matumizi yake hamsomewi watu hawashtuki tu.mie ni RC tukitoa sadaka zinaelezwa matumizi yake,tukiambiwa mchango kwa ajili ya kuongeza sehemu either darasa la watoto,may be kununua chochote kwa matumizi ya Parokia mahalia tukishachanga tunaelezwa zimetumikaje,salio lililobaki na litatumika wapi na kama mtu una wasiwasi unaruhusiwa kuhoji na mwisho wa mwaka tunasomewa mapato,matumizi,balance iliyobaki siyo watu wanatoa sadaka mchungaji ananunua Hummer anaishi kwenye kighorofa na hamuwezi kuhoji,ukihoji unaambiwa una pepo,nitake kuujua ukweli uniambie nina pepo?hapo juu kuna mtu kasema kwamba Catholics tunasali kwa mapokeo,nakuhakikishia mkuu wewe hujapata kuufahamu Ukatoliki umehadithiwa tu.
Kanisa ni mwili wa mkristo sio jengo sababu RohoMtakatifu hakai kwenye jengo.Kanisa Ni moja tu takatifu katoliki la mitume. Mengine madhehebu.Chunguza.