inafurahisha sana jamaa yako anapoku-suprize na zawadi ya "Range Rover".....
Mvivu wewe!
inasikitisha unaposema unapitia commend wakati ni comment.Inafurahisha sana pale ninapopitia commend moja hadi nyingine kwenye jukwaa hili
dada hii ilimtoke arafiki yangu yaani anaanza kazi j3 akafariki jmosi na alikuwa amekaa mtaani 2yrsinahuzunisha pale unapofariki kwenye folen ya mshahara wako wa kwanza toka uanze kazi.
inafurahisha sana unapokutana na mpenzi wako wa zamani aliyekutosa kwa mbwembwe na matarumbeta akiwa choka mbaya hata nauli ya daladala hana
unagundua bado una masaa mawili zaidi ya kuendelea kulala kabla ya muda wa kuamka
inahuzunisha pale unapofariki kwenye folen ya mshahara wako wa kwanza toka uanze kazi.
Inaburudsha kutongozwa na men ambaye ulikuwa unashndwa jinsi ya kumwambia kuwaunampenda