we si unajua interview za kuomba kazi halafu ukute umefoji vyeti halafu katika wanaokuhoji mmoja ni kova na jicho lake na muda huo awe hana uhakika wa futari.
{1}Inaburudisha sana pale unapoamka usiku unaangalia saa unagundua bado una masaa mawili zaidi ya kuendelea kulala kabla ya muda wa kuamka kwenda kazini/shuleni/chuoni kufika.
inasononesha sana,unaandika status fb ya "mwisho wa mwezi umefika"-alafu baba mwenye nyumba ana "like".
inahuzunisha sana unapoota unaokota mihela mingi, kuamka 2 unakuta huna hata sen tano.