Usibishe,inaburudisha sana.

Usibishe,inaburudisha sana.

Inasikitisha sana Robin van Persie anpokwenda Manchester United kwa million 22 tu
 
Inaburudisha sana pale unapokuwa umeishiwa halafu unakumbana na noti ya elfu kumi uliyoisahau kwenye mfuko wa suruali ambayo hukuivaa kwa muda mrefu.
 
Inasikitisha sana mshaara unapochelewa kuingia na sikukuu ndio hyo(tar20)!
 
Inafurahisha sana pale ninapopitia commend moja hadi nyingine kwenye jukwaa hili
 
Inasikitisha sana kijana Mdogo kuangukia penzi la mama ambaye ni mkubwa hata kwa ***** eti kisa pesa!!!!
 
inasikitisha sana unapomfukuzia demu mkali kwa muda mrefu,unafika nae kitandani baada ya ubishi mwingi,mvutano wa hapa na pale,ile umemvua tu chupi bwana mkubwa akasinzia fofofoooo!

heee yamekuwa hayo tena..
 
Na inasikitisha pale unapo jua demu ni bikra siku ya gwaride hadi kengele ndani!!!!
 
Inafurahsha sana pale unapokua class ukaskia teach haingii kweny kipind dah ful umbea clas
 
Inasikitisha sana mshaara unapochelewa kuingia na sikukuu ndio hyo(tar20)!

ina furahisha sana pale unapo cheleweshewa Mshahara alafu una ingiziwa baada ya sikukuu wakati huo wenzako ote wameisha kua WAPOLE ki Afya na ki Mawazo
 
Inasikitisha sana nikiangalia juu mawinguni naziona nyota tu,MWEZI hauonekani.
 
inasikitisha saana pale unaposhikwa na 2mbo la kuendesha afu upo mbali na msalani.
 
Inashikitisha unakunywa SUPA SHAFT ili kujiandaa kwa libeneke halafu shori hatokei!!
 
Inasikitisha pale unapoachwa na basi kwa kuchelewa kutoka hotelini
 
Back
Top Bottom