Usibishe,inaburudisha sana.

Inafurahisha kujua nini unatakiwa kufanya kwa ajili ya maisha yako
 
Inasikitisha sana pale mademu wawili wanapopigana kwa ajili yako halafu demu mbaya anaelekea kushinda pambano!
 
Unajua inaburudisha pale mshkaj anapofukuzia dem mwaka na nusu alaf mwingne anakuja kumchukua kiuraini 2.
 
Usibishe inaburudisha sana pale ninapokataa kukupa mkono sababu nimekuona unatoka chooni na ujanawa!!
 
inakera na kuburudisha mpo chuo wote mnajiona ni watu wazima mmoja wenu anaachia ushuzi mkali wa kupalia halafi anajikausha na watu kumdhania aliye dhaifu ndio kachafua hali ya hewa
 
Inafurahisha.....
Dah...inafurahisha...
Khaa..inafurahisha...
Kwa kwel nimesahau nikikumbuka nitarudi.

Near by Simike Mbeya
 
Back
Top Bottom