Usibishe,inaburudisha sana.

Usibishe,inaburudisha sana.

Inasikitisha sana unapokuwa unaota upo sehemu unakojoa kumbe unakojoa kitandani usingizini!!
 
Inasikitisha sana jamani,umempa lift demu mkali halafu gari inakata mafuta njiani.
 
inafurahisha sana pale demu mkali anapokutokea na kukupiga kirungu wakati una jipu!
 
inafurahisha sana linapokutokea jambo baya na hakuna anayeweza kukusaidia kwa namna yyote,lakini unapostuka lo!kumbe ulikuwa ndotoni.
 
Inaburudisha sana kusoma jukwaa la jokes unapokuwa na uchovu
 
Inafurahisha sana..unataka kuingia clas ya mchana alafu umechokaaa!! Jua kali alafu umeshiba unatamani kupumzika!! Gafla unapigiwa cm mwalimu haingii anamatatizo ivyo haji class!!

hahaha hii inakuwaga tamu sana...
 
inafurahisha unapomfumania demu unayetafuta 7bu za kumtosa akiwa na mchizi sita kwa sita.


mie nilitoka hapo nikaenda kununua very expensive champeign...nirifurahijee!
 
inafurahisha sana jamaa yako anapoku-suprize na zawadi ya "Range Rover".....
 
Inafurahisha mwana kondoo mmoja aliyepotea anapopatikana.
 
Inasikitisha kumwona Arsene Wenger akiwa ameshika pua yake while ni dk ya 89 na man u wanaongoza 2-0!
 
inafurahisha sana unapokutana na mpenzi wako wa zamani aliyekutosa kwa mbwembwe na matarumbeta akiwa choka mbaya hata nauli ya daladala hana
 
Inafurahisha pale mwanafunzi anapopata taarifa za mwalimu mnoko kuhamishwa!!!
 
Inasikitisha kumwona Arsene Wenger akiwa ameshika pua yake while ni dk ya 89 na man u wanaongoza 2-0!
Inasikitisha sana kumwona fergie anavyotetemeka wakati washambuliaji wa barca wakichanja mbuga kuelekea golini kwake!
 
Inafurahisha unafanya kazi na Boss ambaye ni bwe"""""""ge huku unamlamba mtoto wake kiulainiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom