Ushuhuda wenye kuumiza mno

Mungu mwenye uwezo wote kashindwaje kubadilisha io fate wanae wapendwa wasiteketee na moto?

Wewe kwanini unataka auzie wakati viumbe wake wanarejea kwake ?

Mola muumba ana vitu vitatu kwa waja wake kwa kuzingatia ufanyaji wa matendo,navyo ni :

1. Mashi'a (Wills) 2. Iraadah (Wants) 3. Mahabah (Love)

Ukivielewa vitatu hivi hutapata shida kamwe juu ya haya yanayotokea ulimwenguni.
 
Na usisahau kwamba dereva wa lori alikua anamkwepa boda boda asimgonge na yeye yamemkuta
 
Tukio la kuokoa na wewe kifa imetokea mara nne katika maisha yangu ya kivuvi ila imetokea tena mara nne wakuokolewa anapona na muokoaji anakufa kisiwani kerebe. Hadi ilifika sehemu mwaka huu watu tukaogopa kusaidiana kwenye majanga. Ila wote tuko sekta moja
 
Kifo chake ni faida kivipi ?
Angalau abiria wa bodaboda amekutwa na kifo wakati wa kutenda mema. Kufa kwake ni faida...maandiko yanasema.

Wengine sijui tutakutwa na vifo vyetu katika mazingira gani!
 
[emoji115][emoji115][emoji123][emoji120][emoji109]
 
Jamaa amekufa kifo kimoja cha kishujaa sana, amepigana vyema vita yake na as long as maisha ni safari, atakuwa na mwanzo mwema after-life! Japo inakuwa vigumu binadamu kukubaliana na ukweli, death is just the beggining of another journey! Death is not a mess na haijawahi kuwa mess! Swali ni kwamba, tutakufaje? Get prepared, tommorow isn't promised!
 
 
Unapotoa msaada ,usiangalie wengine wanatoa au hawatoi.
As long as unafanya Jambo jema,wewe fanya tu..bila kujali Ni wangapi hawajafanya..na kila mmoja atatoa hesabu zake kwa nafasi yake aliyopewa.
umenielewa vibaya Anne.

Kwenye mazingira ya hatari ambayo unajua kutakua na mlipuko mda wowote, huna budi kuwepo hapo.

Mkishakua wengi sehemu yenye mafuta yaliyozagaa vile, unawaanije wenzako kwamba hawatasababisha ajali ya moto mfe??

Kwahiyo, nililenga kusema yangekuwepo mazingira kwamba kuna uwezekano mdogo wa mlipuko, kwamba wote tuliopo hapo timejikita kuokoa wengine na hakuna anayevuta fegi, kuchakachua betri n.k hapo ningeweza kutoa msaada wangu.
 
Kwa imani rahabu yule kahaba alinusulika kwa yule mtenda wema atalipwa kutokana na iman yak na moyo wake mungu atampa fadhila uko aendako really sad moment
 
Kifo chake ni faida kivipi ?
Kwa sababu ya nia yake njema ya kumsaidia mwenzake na kitendo kile kitaongeza katika uzani wa mambo yale mema,kwahiyo atalipwa kwa kitendohicho ama kujua hatima yake ya kuwa ni wa motoni au peponi hilo anajua yeue mwenyewe Muumba.
 
Kwa imani rahabu yule kahaba alinusulika kwa yule mtenda wema atalipwa kutokana na iman yak na moyo wake mungu atampa fadhila uko aendako really sad moment
[emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
 
Hilo Pengine Hilo wazo halikuwepo
 
Viumbe vyake vinajerea kwake kwa mateso??
Wewe unaweza kumchoma moto mtoto wato kipenzi ili arejee kwako?
 
Viumbe vyake vinajerea kwake kwa mateso??
Wewe unaweza kumchoma moto mtoto wato kipenzi ili arejee kwako?
Arejee kwangu wapi ? Unatakuwa uwe unatoa mfano wenye kuwiana na jambo husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…