Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 28,339
- 73,697
Wawili, mmoja alinyanyua mkono kabla haujanifikia akawa kashakula banzi zito haswa. Sina ufilipinoUshawahi mpiga mtoto wa mtu?
Utakuwa mchawi weweWewe naye ni lijinga sana sasa mambo ya dada yako yanakuhusu nini ?
Tafuta demu uende uoe ili ujue ukweli wa mambo sio kuishi kwenye nadharia mshenzi .
Mkuu nisamehe tu ila ni vile sipendi watu wambea kama wewe .
Vipi lakini Yanga atashinda kweli ?
Huezi m-treat vibaya anybody ukitegemea atakupamba somewhere even if you were too good.l
Huyo bwana apart na hizo hela alipaswa amsaidie mkewe ahakikishe mkewe achoki sana
Kuna baadhi ya majukumu angegawa kwa housegirl mfano usafi wa nyumba in general huko room kwake ilibidi ndo awe anafanya mkewe
Kuhusu nguo zake hata housegirl anafua mbona ukitoa nguo sensitive ziingine apewe housegirl afue, mama akiwa home basi ndo walau afanye fanye kazi
Alichokosea ni kumfanyisha makazi mkewe ili hali sio a 'housewife'ltitude yako
Tena wewe ndio utafua mpaka kucha zikuume, ukinyanyua tu mdomo umeisha
Mpaka pale tutakapo jua the true definition of a woman ndo wanaume tutapata amani........a womon is the most complicated animal on earth......awe wa aina gani atakusumbua tu solution ziko 3 either unasalimu amri, au unaishi nae maisha ya kuviziana na kero, au kukataa ndoaSioi wala siwi na mahusiano na mwanamke asie jishughulisha na sio kujishughulisha tu bali na kazi yenyewe iwe na changamoto nyingi na ikiwezekana iwe kazi ngumu, lakini eti katoka kwao alafu akalipiwa hostel alafu nikamzoe huko nimlete nyumbani! Hilo ni bomu! Samaki wa mapambo haliwi
Mkanyeni mwenzenu kabla halijamkuta jambo 😂
Wewe naye ni lijinga sana sasa mambo ya dada yako yanakuhusu nini ?
Tafuta demu uende uoe ili ujue ukweli wa mambo sio kuishi kwenye nadharia mshenzi .
Mkuu nisamehe tu ila ni vile sipendi watu wambea kama wewe .
Vipi lakini Yanga atashinda kweli ?
Samahani;.Hehe..hatari lakini salama
Ancle Bright elewa hili... Mimi nimesogeza mdada 4m 4 leaver failure.. sio mrembo anachapa kaz izo ulizosema lakini ana mdomo sana ni mgomvi mno.. Najuta kuwa nae maana hua sipend kelele na ugomvi..natoa hii hoja kukuelewesha mahusiano ya hawa wadada wa siku hizi ni kubet tu chukua hata asie soma akija mjini siku 2 anakua msomi na ujeuri juu.. inapaswa kumuomba sana Mungu..
Huyu nina hakika tutaachana na sintathubutu tena kuish na hawa wadudu and i can say the thing i feared most has happened... najickia vibaya sana cz mimi najijua vzur
Nipe jinsia au ujinsia utakaokupendezaWe MBWA ni ME, KE au SHOGA?
#YNWA
Mpaka pale tutakapo jua the true definition of a woman ndo wanaume tutapata amani........a womon is the most complicated animal on earth......awe wa aina gani atakusumbua tu solution ziko 3 either unasalimu amri, au unaishi nae maisha ya kuviziana na kero, au kukataa ndoa
Nyumba zenye washing machine hazifiki 1% bongo?Kwa hapa kwetu nyumba zenye mashine hizo hazifikii hata 1%,
Ni vema kujua kuishi katika maisha general ya watanzania wengi, huku si marekani kwamba hata magereza kuna mashine za kufua.
Mwanamke kumfulia mwanamme wake ni moja katika majukumu yake ya usafi kama ilivyo kwa mwanaume kutekeleza majukumu yake ya kuilisha familia hata kama atatembea kwenda kazini kilometa mbili ili abane hela ya kulisha.
Vi - Degree vya chupiHivi huyo anaesema mwanaume amsaidie mkewe anajua majukumu ya mke na mume ktk nyumba. Kwa hiyo hata kufua mume afue mke akiwa amekaa anaangalia tamthilia kisa unamsaidia kazi yeye kachoka.
Mimi nakushukuru mleta mada kwa kutambua kuwa dada yako ni hovyo kabisa hafai kuwa mke bora kwa kujifanya kasoma. Analeta vidigrii vyake vya vyeti ktk ndoa. Tena km mmegundua yeye ndiyo ana makosa mtimueni hapo haraka aende kwa mumewe.
Mada za wanawake wasomi kuwa wasumbufu zilishaletwa hapa nyingi sijui kwa nini hawapitii humu. Wanajiona wasomi mwisho wa siku wanazeeka bila ndoa au ndoa zao kutodumu kwa sababu ya u-much know kisa vidigrii vyao vya kumeza madesa. Hovyo sana hawa. Mbona wanaume hawako hivyo hata km amesoma vipi bado ataoa darasa la saba na watazeeshana. Ubinafsi na jeuri ya haki sawa kwa jinsia ya KE vitawamaliza.