Ushuhuda: Nani kishawainunua bidhaa deep web

kule ukitaka hata dawa ya ukimwi unapata ni wewe ujanja wako tuu.. yaani kule kuna vitu ambavyo katika biashara za kawaida huwezi kuzipata.... mimi nina mpango wa kununua mguu wa kuku maana ile njia ya kibiti bila self defence sio salama siku hizi kwa sisi wakazi wa kule...
 
Deepweb sio sehem ambayo ambayo inahusisha biashara haramu pekee kama mmoja alivyoandika hapo juu, Deepweb inajumuisha internet ambayo haiwezi kuperuziwa na btowser za kawaida na hata haipo indexed kwenye search enginea kama google.

Kwenye deepweb kuna kipengere kinachofahamuka kama darknet ambayo ndio huko sasa kuna sites ambazo zinauza vitu haramu kama madawa, silaha, malaya, software zilizodukuliwa na kwenda mbali zaidi hadi kufundisha njia za kupata hela kiharamu kwa mfano kwa kutumia kadi za benki zilizodukuliwa, atm hacking, n.k

Kununua kitu deepwweb ni halali kabisa but to the extent tu kwamba hujanunua kitu haramu kutoka kwenye darknet.

Manunuzi hufanyika kwa crypto currency(hela ya kielekriniki) mfano kwa kutumia bitcoins, Watu wanaojali usalama wao hawaishii hapo bali hutumia system ya bitcoin washer ama helix ili uboreshe usiri wako katika manunuzi yako.

Huwezi kuingia deepweb kwa browser ya kawaida, Inabidi utumie browser ya T.O.R kama utataka kutumia deepweb lakini itakupasa uwe na V.p.n nzuri kama Ipvanish ili uweze kuficha identity vizuri zaidi na hasa kama unatumia deepweb kwa kuperuzi na kununua vitu darknet.

N.B Kwa usalama wako achana na hii deepweb maana kuna matapeli kama ilivyo kule kupatana.com na mbaya zaidi unayemplia humjui, Pia kuna mashirika ya kuusalama kama F.b.i na wenyewe wanajifanya wanauza vitu haramu ili nao waweze kukamata wahalifu wanaonunua vitu haramu mtandaoni, Pia unaweza kununa kitu fulani kwa mfumo wa soft copy lakini wamekuwekea kirusi cha kukuchunguza ama cha kukuibia data na mbali zaidi wanaweza kutumia data zako kuku black mail so kwa ushauri wangu shughuli zako zote za deepnet angalau zifanyie kwenye kompyuta ambayo huitumiagi kwa shughuli nyingine isipokuwa kuperuzi deep web tu.

.STAY SAFE DONT USE THE DEEPWEB
 
Shukrani kwa tahadhari yako njema
 
Back
Top Bottom