Biashara ya kuuza bidhaa za kidigital kupitia whatapp

Mechanic 97

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
1,093
Reaction score
1,503
Wakuu naombeni maoni, biashara niliokua nimeeinza Sina uzoefu nayo vizuri. Hivyo nimeamua kurudi kwenye biashara ambayo nilishawahi kuifanya ila Sasa nataka niifanyie online kupitia whatsapp. Hivyo wakuu naombeni ushuhuda mliowahi kufanya biashara za bidhaa za kidigital mfano movie, mikeka kupitia WhatsApp naombeni ABC
 
Kama unajua namna ya kutumia AI , movie clip au recap ndio biashara ya kufanya kwa sasa kama huna haraka ya pesa, ila kama una haraka ya pesa uza simulizi za kijasusi kwa kupost vipande insta na facebook ukiwavuta wasomaji whastapp ili uje kuwauzia full PDF. Hii inafanya vizuri kama una simulizi za series mfano season 1---10, ukatengeneza kava vizuri kwa kutumia AI then ndio ikawa business yako ya online.

Biashara nyingine unaweza kuwa WINGA wa nguzo za kike za mtumba au dukani ila ukafanya ubunifu kwa kuvalisha hayo mavazi kwa kutumia Ai na kupost inst au ukaenda mbali zaidi kwa kutengeneza video clip ya 1mins kwa kutumia AI. Ukaenda mbali zaidi ukawa unatengeneza contents za mavazi based on events kwa kutumia AI.

Mfano una machimbo ya nguo za usiku(wedding/send off /birthday etc) , unakuwa kwenye magroup ya hizo nguo kazi yako kubwa ni kudownload picha na kuzigeuza kuwa video clip ambayo una post tiktok na insta/fb reels kila siku kuanzia saa 09:00AM, 17:00PM na 21:00PM tiktok, insta na facebook reels. Unakuwa una post nguo tofauti tofauti kutokana na events, unaweza kupost official/casual mon-fri, sat-sun unapost nguo za usiku(wedding invites, birthday, send-off etc).

Ukiamua kwenda mbali zaid badala ya kuuza nguo , wewe unauza muonekano: hapa ndipo miracle inapoanzia wengi wanauza nguo ila wewe unauza muonekano, swali ni HOW?. Unajiunga kwenye magroup yote wanayouza bidhaa za wanawake mfano mawigi, watch, elen, chain, miwan, viatu na handbag mathalani, baada ya kupata resources zote za bidhaa penda na wanawake unawafundisha namna ya kuvaa kwa kupost video clips za nguo za ofisini namna ya kuvaa kwa kuchanganya picha zote za bidhaa na kumpa AI amvalishe mwanamke mrembo kwa bidhaa zote unazouza na mwisho kuweka bei ya pamoja, mfano miwani 25k, chain 30k, elen 5k, mosimo 15k, handbag 45k, chain 35k, wigi ni 70k , nimeweka roughly sijui bei yake. Niseme total inakuja 250k kwa casual wear.

Nguo za mtumba ni poa sana kwasababu ya UNIQUENESS YAKE na unaweza ukatengeneza DEMAND KUBWA kwa kutumia FOMO kuuza sana kutumia social media platform.

Mteja akihitaji unaenda kukusanya na kumfanyia delivery , make sure analipia kwanza ndio unafanya delivery. Ukiwa winga wa kkoo huu ni mchongo wa kibepari sana na unafaa kuishi nao kizalendo.
 
Shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom