- Thread starter
- #41
AsanteNa uzinzi uache umrudie Mungu kama huwezi kuimili mwili wako tafuta mke uoe tamaa yako iwe juu ya mkeo zina ni mbaya sana ila vijana hatuelewi sijui tumekumbwa na kitu gani
AsanteNa uzinzi uache umrudie Mungu kama huwezi kuimili mwili wako tafuta mke uoe tamaa yako iwe juu ya mkeo zina ni mbaya sana ila vijana hatuelewi sijui tumekumbwa na kitu gani
Miezi mitatu ya nini wakati nina kitambo kirefu bila kujamiiana ?Mkuu unamhusishaje Mungu na condom unazozipigia debe? Ninachoshangaa pia ni kuwa umepima mara moja halafu unashangilia! Rudi tena baada ya miezi mitatu ukapime tena.
Ninamshukuru Mungu kwa kuninusuru,condom ni kwa wale wasioweza kujizuia.Mkuu unamhusishaje Mungu na condom unazozipigia debe? Ninachoshangaa pia ni kuwa umepima mara moja halafu unashangilia! Rudi tena baada ya miezi mitatu ukapime tena.
Asante mkuuWakati mwingine Mungu anatupa nafasi ingine kwa Makusudi yake.
Mkuu iyo nafasi uliyozawadiwa itumie vizuri, usisahau kutoa sadaka.
AsanteHongera mtoa mada! Mnadanganyika na ganda la kitabu ndio maana
Wapi Mungu aliruhusu uzinzi ?ebu niambie wapi Mungu alipo tuambia tutumie kondom
Sio kila mtu anaweza kujuzuia kufanya ngono kabla ya ndoa ndio maana tunawashauri watumie condom. Mungu nimemtaja kwa shukrani ya kuniepusha na maambukizi.tatizo liko wapi mkuu ?
Bro Mungu anakupenda haitoshi kutuandikia mistari ya zaburi bado neema ya wokovu ipo, MPOKEE YESU AWE BWANA NA MWOKOZI WAKO.. mathayo,11:28-30Wakuu salaam,
Napenda kutumia fursa hii kumtukuza Mungu na pia kushare nanyi furaha niliyonayo moyoni mwangu kwa kuwa Mungu amenitendea mambo makuu sana.
Ndugu zangu, katika maisha ya ujana vijana wengi tumekuwa tukiishi katika maisha ya starehe na anasa hasa uasherati.Mimi ni mmoja kati ya kundi hilo.
Miaka mitatu iliyopita nilikutana na binti mmoja mrembo udenda ukanitoka nikaishia kumtongoza ,akakubali.
Baada ya kukwichi kwichi naye mara kadhaa binti akanasa ujauzito.
Baada ya miezi 9 mtoto akazaliwa kuangalia kadi ya kriniki nakutana na sehemu inayoonesha tarehe mama wa mtoto alipoanza kutumia ARV.Kwa kweli nilichanganyikiwa sana kusoma neno ARV kwenye kadi ya mwanangu kwani nilijua wazi binti yule atakuwa anaishi na virusi vya ukimwi na atakuwa ameniambukiza.
Kumuuliza kama kweli anaishi na virusi vya ukimwi akaniambia ni kweli na anatumia ARV. (Lakini namshukuru MUNGU binti yangu hajaambukizwa VVU).
Baada ya hapo nimekuwa nikiishi maisha ya kukata tamaa kwa kudhani kuwa nami nitakuwa nimeambukizwa virusi vya ukimwi bila hata kupima kwa kuwa nimekwichi kwichi mara nyingi na huyo mzazi mwenzangu.
Kutokana na taarifa hizo; nikawa ninaishi kwa stress sana,kazini ufanisi wa kazi ukawa unashuka siku hadi siku ,kuna wakati nikawa siendi kazini natoa visingizio tu.Mbaya zaidi nikadevelope tabia ya kunywa pombe kupita kiasi suala lililonipunguzia umakini kwa wanawake.Mara kadhaa nimejikuta nikikwichi kwichi kavukavu na wanawake ambao nina uhakika wanaishi na VVU zaidi ya wawili na zaidi ya mara moja kwa kujua nimeathirika.
Juzi nimekwenda kupima nikaambiwa sijaambukizwa virusi vya ukimwi.Sikuamini masikio yangu kwa taarifa za vipimo
Wakuu, hili lililonitokea mimi ninaliona ni MUUJIZA na ninaamini MUNGU kanipa the second chance. Hivyo, sina budi kumshukuru MUNGU kwa wema wake na pia nishare na nyie mambo niliyojifunza kwenye kadhia hii:-
1.Tumia condom
2.Tumia condom
3.Tumia condom
4. Msianze kukwichi kwichi mbichi na mwenza wako kabla ya kupima.
5. Sio kila ukigundua umekwichi kwichi na muathirika wa VVU ujihesabu ameathirika. Pima kwanza vinginevyo utaishia kuwa frustrated, utakuwa kitombi hadi kuambukizwa VVU au hata kupoteza mwelekeo wa maisha.
6.Fanya ufanyayo lakini omba sana MUNGU. Hayo yote niliyoyaorodhesha hapo juu hayana maana wala msaada kama huombi ulinzi na neema za MUNGU.MUNGU pekee ndie amezihuisha ndoto zangu tena.
ZABURI 30:1-3
Nakutukuza ,ee Mwenyezi-Mungu ,maana umeniokoa ,wala hukuwaacha adui zangu wanisimange.Ee Mwenyezi-Mungu wangu nilikulilia msaada ,nawe ukaniponya .Ee Mwenyezi-Mungu, umeniokoa kutoka kuzimu; umenipa tena uhai ,umenitoa miongoni mwa waendao kuzimu.
Ili iweje?,, Mbona mnaishi kwa kukariri mambo?,, Inatosha kwa yeye kuset akili yake kuwa hana,, ataishi vzuri,, sometimes ukimwi ni msongo wa mawazo uliozidi kiwango,,,Umepima mara moja unakuja kujisifu E?? Vipimo vinakoseaga nenda tena na tena
Nashukuru mkuu,mie ni mkristu na ninamuamini YESU kama Bwana na Mwokozi wangu.Bro Mungu anakupenda haitoshi kutuandikia mistari ya zaburi bado neema ya wokovu ipo, MPOKEE YESU AWE BWANA NA MWOKOZI WAKO.. mathayo,11:28-30
Mtoto yupo salama na analelewa katika hali ya taadhari kubwa.Na hivi sasa ana 2 years.
[Wakuu salaam,
Napenda kutumia fursa hii kumtukuza Mungu na pia kushare nanyi furaha niliyonayo moyoni mwangu kwa kuwa Mungu amenitendea mambo makuu sana.
Ndugu zangu, katika maisha ya ujana vijana wengi tumekuwa tukiishi katika maisha ya starehe na anasa hasa uasherati.Mimi ni mmoja kati ya kundi hilo.
Miaka mitatu iliyopita nilikutana na binti mmoja mrembo udenda ukanitoka nikaishia kumtongoza ,akakubali.
Baada ya kukwichi kwichi naye mara kadhaa binti akanasa ujauzito.
Baada ya miezi 9 mtoto akazaliwa kuangalia kadi ya kriniki nakutana na sehemu inayoonesha tarehe mama wa mtoto alipoanza kutumia ARV.Kwa kweli nilichanganyikiwa sana kusoma neno ARV kwenye kadi ya mwanangu kwani nilijua wazi binti yule atakuwa anaishi na virusi vya ukimwi na atakuwa ameniambukiza.
Kumuuliza kama kweli anaishi na virusi vya ukimwi akaniambia ni kweli na anatumia ARV. (Lakini namshukuru MUNGU binti yangu hajaambukizwa VVU).
Baada ya hapo nimekuwa nikiishi maisha ya kukata tamaa kwa kudhani kuwa nami nitakuwa nimeambukizwa virusi vya ukimwi bila hata kupima kwa kuwa nimekwichi kwichi mara nyingi na huyo mzazi mwenzangu.
Kutokana na taarifa hizo; nikawa ninaishi kwa stress sana,kazini ufanisi wa kazi ukawa unashuka siku hadi siku ,kuna wakati nikawa siendi kazini natoa visingizio tu.Mbaya zaidi nikadevelope tabia ya kunywa pombe kupita kiasi suala lililonipunguzia umakini kwa wanawake.Mara kadhaa nimejikuta nikikwichi kwichi kavukavu na wanawake ambao nina uhakika wanaishi na VVU zaidi ya wawili na zaidi ya mara moja kwa kujua nimeathirika.
Juzi nimekwenda kupima nikaambiwa sijaambukizwa virusi vya ukimwi.Sikuamini masikio yangu kwa taarifa za vipimo
Wakuu, hili lililonitokea mimi ninaliona ni MUUJIZA na ninaamini MUNGU kanipa the second chance. Hivyo, sina budi kumshukuru MUNGU kwa wema wake na pia nishare na nyie mambo niliyojifunza kwenye kadhia hii:-
1.Tumia condom
2.Tumia condom
3.Tumia condom
4. Msianze kukwichi kwichi mbichi na mwenza wako kabla ya kupima.
5. Sio kila ukigundua umekwichi kwichi na muathirika wa VVU ujihesabu ameathirika. Pima kwanza vinginevyo utaishia kuwa frustrated, utakuwa kitombi hadi kuambukizwa VVU au hata kupoteza mwelekeo wa maisha.
6.Fanya ufanyayo lakini omba sana MUNGU. Hayo yote niliyoyaorodhesha hapo juu hayana maana wala msaada kama huombi ulinzi na neema za MUNGU.MUNGU pekee ndie amezihuisha ndoto zangu tena.
ZABURI 30:1-3
Nakutukuza ,ee Mwenyezi-Mungu ,maana umeniokoa ,wala hukuwaacha adui zangu wanisimange.Ee Mwenyezi-Mungu wangu nilikulilia msaada ,nawe ukaniponya .Ee Mwenyezi-Mungu, umeniokoa kutoka kuzimu; umenipa tena uhai ,http://umenitoa miongoni mwa waendao kuzimu.
Mkuu ulitaka upewe wewe?,kumbuka kile unachooa ni kidogo lkn kunamwingine anaona kikubwa,wakati wewe unaona kulala na kuamka ni haki yako kuna mwingine anaona ni muujiza,wakati wewe unaona kula ni kwa nguvu na uwezo wako kuna mwingine anaomba Mungu apate wa kula hata mlo mmoja....ndo maana anaona muujiza hata kwa kile ww unaona ni kidogosasa hapo miujiza ipo wapi? mbona mnapenda kumpa Mungu sifa asizostahili!!
Kiongozi pole sana kwa kuitafsiri biblia vibaya.Quotation ya zaburi niliyoibandika hapo inaonesha ukuu wa MUNGU katika kuokoa.Ukiisoma biblia huta pata sehemu iliyoandikwa specifically kumsukuru MUNGU kwa kukuokoa na HIV.Hivyo ilinibidi nitafute mstari wowote wa kumshukuru MUNGU kwa kuniokoa.Biblia haihitaji tafsiri sisisi.[
Nani aliokuambia wanaoishi na vvu ndo wanaenda kuzimu tayari ,acha
Kutukana mamba kabla ujavuka mto , unaweza kutangulia wewe na ukamuacha mwenye vvu anadunda , wapo watu toka miaka ya 80 na bado wanaishi vizuri tu ,
Hebu piga hesabu toka mwaka 80 ndugu zetu waliokwisha kutangulia
Ni wangapi? Unataka kuniambia wamekufa na ngoma ? Narudia tena tafsiri ya maneno uliyotumia sio nzuri hata kidogo ....
Umenena vema mkuu.ubarikiwe sanaMkuu ulitaka upewe wewe?,kumbuka kile unachooa ni kidogo lkn kunamwingine anaona kikubwa,wakati wewe unaona kulala na kuamka ni haki yako kuna mwingine anaona ni muujiza,wakati wewe unaona kula ni kwa nguvu na uwezo wako kuna mwingine anaomba Mungu apate wa kula hata mlo mmoja....ndo maana anaona muujiza hata kwa kile ww unaona ni kidogo
AminaMungu ni mwema