Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,287
- 72,512
Umeponea chupuchupu kudadeki...Uasherati uuache sasa
naWakuu salaam,
Napenda kutumia fursa hii kumtukuza Mungu na pia kushare nanyi furaha niliyonayo moyoni mwangu kwa kuwa Mungu amenitendea mambo makuu sana.
Ndugu zangu, katika maisha ya ujana vijana wengi tumekuwa tukiishi katika maisha ya starehe na anasa hasa uasherati.Mimi ni mmoja kati ya kundi hilo.
Miaka mitatu iliyopita nilikutana na binti mmoja mrembo udenda ukanitoka nikaishia kumtongoza ,akakubali.
Baada ya kukwichi kwichi naye mara kadhaa binti akanasa ujauzito.
Baada ya miezi 9 mtoto akazaliwa kuangalia kadi ya kriniki nakutana na sehemu inayoonesha tarehe mama wa mtoto alipoanza kutumia ARV.Kwa kweli nilichanganyikiwa sana kusoma neno ARV kwenye kadi ya mwanangu kwani nilijua wazi binti yule atakuwa anaishi na virusi vya ukimwi na atakuwa ameniambukiza.
Kumuuliza kama kweli anaishi na virusi vya ukimwi akaniambia ni kweli na anatumia ARV. (Lakini namshukuru MUNGU binti yangu hajaambukizwa VVU).
Baada ya hapo nimekuwa nikiishi maisha ya kukata tamaa kwa kudhani kuwa nami nitakuwa nimeambukizwa virusi vya ukimwi bila hata kupima kwa kuwa nimekwichi kwichi mara nyingi na huyo mzazi mwenzangu.
Kutokana na taarifa hizo; nikawa ninaishi kwa stress sana,kazini ufanisi wa kazi ukawa unashuka siku hadi siku ,kuna wakati nikawa siendi kazini natoa visingizio tu.Mbaya zaidi nikadevelope tabia ya kunywa pombe kupita kiasi suala lililonipunguzia umakini kwa wanawake.Mara kadhaa nimejikuta nikikwichi kwichi kavukavu na wanawake ambao nina uhakika wanaishi na VVU zaidi ya wawili na zaidi ya mara moja kwa kujua nimeathirika.
Juzi nimekwenda kupima nikaambiwa sijaambukizwa virusi vya ukimwi.Sikuamini masikio yangu kwa taarifa za vipimo
Wakuu, hili lililonitokea mimi ninaliona ni MUUJIZA na ninaamini MUNGU kanipa the second chance. Hivyo, sina budi kumshukuru MUNGU kwa wema wake na pia nishare na nyie mambo niliyojifunza kwenye kadhia hii:-
1.Tumia condom
2.Tumia condom
3.Tumia condom
4. Msianze kukwichi kwichi mbichi na mwenza wako kabla ya kupima.
5. Sio kila ukigundua umekwichi kwichi na muathirika wa VVU ujihesabu ameathirika. Pima kwanza vinginevyo utaishia kuwa frustrated, utakuwa kitombi hadi kuambukizwa VVU au hata kupoteza mwelekeo wa maisha.
6.Fanya ufanyayo lakini omba sana MUNGU. Hayo yote niliyoyaorodhesha hapo juu hayana maana wala msaada kama huombi ulinzi na neema za MUNGU.MUNGU pekee ndie amezihuisha ndoto zangu tena.
na uzinzi uache umrudie Mungu kama ni mwanamke oa wakwako tamaa yako iwe juu yake.
ZABURI 30:1-3
Nakutukuza ,ee Mwenyezi-Mungu ,maana umeniokoa ,wala hukuwaacha adui zangu wanisimange.Ee Mwenyezi-Mungu wangu nilikulilia msaada ,nawe ukaniponya .Ee Mwenyezi-Mungu, umeniokoa kutoka kuzimu; umenipa tena uhai ,umenitoa miongoni mwa waendao kuzimu.
Mkuu unamhusishaje Mungu na condom unazozipigia debe? Ninachoshangaa pia ni kuwa umepima mara moja halafu unashangilia! Rudi tena baada ya miezi mitatu ukapime tena.Wakuu salaam,

Amen[emoji122]haleluya
AsanteHongerA na pole
Ni kweli, lakini tunajaribu kuwasaidia wasioweza kujizuiaUsihamasishe kutumia condom..hamasisha kuacha uzinzi
Nina zaidi ya miezi sita sijashiriki ngono.Hiyo miezi mitatu ya nini ?Urudi kwa Mara ya pili baada ya miezi mitatu ukahakiki afya yako. Then baada ya miezi sita malizia vipimo kwa mara ya tatu. Ukimaliza njoo JF haraka utoe ushuhuda tena. Hapo bado upo kwenye kipindi cha matazamio. Asante
AmenUnatakiwa kuwa muhubiri wa injili ya kweli.
AsanteHongera Mkuu... Mungu Ni Mwema Siku Zote Na Ni Mwingi Wa Huruma
AminaMungu ni mwema
Kwa imani yako.sasa hapo miujiza ipo wapi? mbona mnapenda kumpa Mungu sifa asizostahili!!
Asante mkuuSonga mbele na Mungu mkuu usimuache kamwe, naye hawezi kukuacha.
Atakuepusha na mengi sana zaidi ya hilo.
Mungu huwa ni mwema sana, na anawajali sana watu, Tatizo wanadamu tuna akili za usiku muda wote.
Mkuu ishu hapa sio mtoto kuwa wangu au la, wala ishu si kuhusu nani alimpa HIV.Ishu ni kitendo cha kufanya mapenzi mara nyingi na watu wenye HIV bila kuambukizwa.That's it.Hayo maswali yako mengine ni out of topic.Story nzuri sana. Ila sijaona miujiza hapo. Una uhakika asilimia ngapi kama huyo mtoto ni wako? Ulishamuuliza huo ugonjwa aliupatia wapi,kabla ya kuwa na wewe au baada?
Amina na asante mkuuWindow period haipo hapo. Amekwichi hadi mtoto. Viral load ya mama ilikiwa chini sana kiasi kwamba hakuambukizwa. Baba imba mapamnio ya sifa na kuabudu hadi sauti ikauke. Bwana apewe sifa sana.
Sawa mkuuUmeponea chupuchupu kudadeki...Uasherati uuache sasa