Hongera sana, mkuu umetumia njia gani nami natamani sana niwe na wa kiume?
Njoo nikufundisheHongera sana, mkuu umetumia njia gani nami natamani sana niwe na wa kiume?
Sasa fanya maombi na toba kwa Mungu, usije ukawa unajisifia umepata kidume kumbe umewaletea wanaume chakula haramu...Habari wakuu. Niliwahi kuomba ushauri hapa kuwa nimehangaika sana kutafuta mtoto wa kiume bila mafanikio. Nashukuru sana kwamba nimefanikiwa baada ya kufuata ushauri wenu hasa ule wa kalenda ya kichina. Nafuraha sana kwani nilikuwa na watoto 6 wa kike na wingi huo ulitokana na jitihada za kutafuta mtoto wa kiume. Asanteni sana.
Hatuwezi kumuigiliza Obama na maisha anayoishi. Ndo mana akaitwa Obama. So usi force mambo mkuu... Maisha ya watu na maamuzi yao.. Kwani wewe ndo unamsaidia kulisha familia yake?Obama ana mali za kila aina ana watoto wawili wa kike.
Mwenzangu na mimi wa Mabibo Mpakani na kibanda chako cha vyumba vitatu unazaa watoto sita ili utafute wa kiume.
Ukiulizwa utajibu unataka kuendeleza ukoo. Sasa wewe na Obama wa kuendeleza ukoo ni nani? Aliyetuloga alishafariki.
Hongera hata hivyo kwa kupata haja ya moyo wako.
COUNT ME INNjoo nikufundishe
Allah atulindie watoto wetuSasa fanya maombi na toba kwa Mungu, usije ukawa unajisifia umepata kidume kumbe umewaletea wanaume chakula haramu...
Mtoto wa kiume huwa tunajivunia pale tunapothibitisha yu rijali.
Salim sana
Akili na Mawazo ya kiobama hayajawahi kuwa acha wamama wa kiafrika salama, ukizaa wa kike tupu lazima litakuangukia tu wakati msababishi ni babaObama ana mali za kila aina ana watoto wawili wa kike.
Mwenzangu na mimi wa Mabibo Mpakani na kibanda chako cha vyumba vitatu unazaa watoto sita ili utafute wa kiume.
Ukiulizwa utajibu unataka kuendeleza ukoo. Sasa wewe na Obama wa kuendeleza ukoo ni nani? Aliyetuloga alishafariki.
Hongera hata hivyo kwa kupata haja ya moyo wako.
watu wengine mavumbi....Hatuwezi kumuigiliza Obama na maisha anayoishi. Ndo mana akaitwa Obama. So usi force mambo mkuu... Maisha ya watu na maamuzi yao.. Kwani wewe ndo unamsaidia kulisha familia yake?
Watu wengine sijui vipi
Namna Ya Kuisoma Hiyo Kalendainasomwaje naona B na G