Utakuta mtu hiyo Mil 80 ndo mshahara wake wa zaidi ya miaka mitano..Anaanzaje kukataaDo hii ni hatari.... yaani mpaka nimeogopa.... 80m
kila mmoja cash! !..... inahitaji moyo kuzikataa.... na hawa wanajua hakuna atakae kataa.... inahitajika total overhaul ya utaratibu wa mafuta hapa nchini....
nimesisimkaDo hii ni hatari.... yaani mpaka nimeogopa.... 80m
kila mmoja cash! !..... inahitaji moyo kuzikataa.... na hawa wanajua hakuna atakae kataa.... inahitajika total overhaul ya utaratibu wa mafuta hapa nchini....
Nitashangaa kama Rais hana timu ya watu wake kupitia mitandao ya jamii kama hii na kumalert juu ya maissue muhimu kama haya.mkuu nitakupa namba ya simu au email ya Mh. Rais ili umfafanulie vizuri na kwa lugha rahisi zaidi ili ajue pa kuanzia.
Asante.
ya alqaidaWajenga misikiti hao
Sheria zetu za kuwapa kazi ya kuzoa mavi wezi wa mabilion pale Sinza???Na ikifika mahali mtu kama huyu akashughulikiwa kwa mujibu wa sheria zetu tu.... italeta heshima .... maana mpaka sasa inaonekana ukiwa na hela Tz ni untouchable....
Hebu tusaidie huyo bulky importer mmoja wapo ni nani?
bopwe wacha kutufanya wote tu wajinga,we unaambiwa wizi huu ulikuwa unamuhusisha mpaka Masamaki mwenyewe mkuu wa ushuru wa forodha halafu we unataka kuleta maneno yako??
Kwamba jamaa ana wivu na waarabu sijui wahindi??There is a thin line btn racism and patriotism!!OILCOm si ndio yule mbunge wa kanda ya Ziwa?mwenye asili ya Asia?nyie acheni kutuletea mchezo nyie,watu wamezima pump miaka 5 iwe hiyo ya kukwepa utaratibu?unadishi wako tu unaonyesha umetumwa uje utetee,thread toka asubuhi ndio mnajipanga kuleta utetezi saa hizi
Hivi kuna shule inayozidi hapa JF? MleMleta uzi ametuhabarisha hata kuzidi hizo Internet search zako, hivi ukiingia Google uka type wizi KOJ kama alivyodadavua mleta uzi utapata jibu? Acha kukariri na pia umesema kilichosemwa ni uongo, kuna bulky importers sasa tumekuambia tutajie wewe unaleta longo longo.NENDA SHULE TENA HALAFU KUNA KITU KINA ITWA GGOLE SEARCH ..UTASOMA MENGI SANA KWENYE SITES ZA MAANA . WAZUNGU WALIPO VUMBUA INTERNET AIM ILIKUA ISAIDIE KUPATA INFORMATION KWA URAHISIA WAKE..SIO KUUZA SURA FACEBOOK