USHUHUDA: Hivi ndivyo mafuta yanavyoibiwa Bandarini Dar...

Status
Not open for further replies.
Rais na Waziri wake mkuu watapata kazi sana kusafisha hii nchi,Ningewashauri kitu kimoja kama kweli wanataka kusafisha nchi hii na siyo "kuonekana wanasafisha" wakati ukweli hakuna kitu wanachofanya.

Wapo watu katika nchi hii wanazo taarifa za mifumo ya wizi katika sehemu mbalimbali jinsi inavyofanya kazi, either wao walishiriki na sasa hawapo kwenye hiyo mirija au wanashuhudia jinsi wizi unavyoendelea ingawa wao hawausiki. Rais angetengeneza utaratibu wa watu wema wenye taarifa ya madudu yanayofanyika katika taifa hili kupeleka hizo taarifa in details wakiwa wanajulikana au hawajulikani, iwe ni choice ya mtoa taarifa.

Nina uhakika wapo watu wangejitokeza kutoa hizo taarifa nikiwapo mimi.

Mimi nina uzoefu wa jinsi mafuta yanavyoibiwa bandarini:

Kwanza niweke wazi, mafuta hayaibiwi bandarini kwa kukadiria au sijui kwa sababu ya flow meters. Hakuna kitu kama hicho. Tena zile flow meter zilikuwa na capacity ndogo na zinaharibika mara kwa mara hivyo zikiharibika inabidi ku-bypass. Meli ikiwa inashusha mafuta inaweza kushusha kwa presha ya bar 16, zile flow meter zilikuwa hazihimili presha kubwa.

Mafuta yakishashushwa, kiwango cha mafuta kilichopokelewa kina pigiwa hesabu na ma-surveyor na wanatengeneza taarifa yao. Mchezo unaanzia hapo TRA, Mafuta yanayotakiwa kulipiwa ushuru ni ya local (yanayotumika humu nchini), na ya transit hayalipiwi ushuru. Sasa figure zinazoingizwa kwenye system ya TRA kwa ajili ya kulipiwa ushuru ndiyo hapo serikali inapoibiwa.

Na anayefanya mchezo huu ni afisa wa TRA kitengo cha mafuta akishirikiana na kampuni husika. Kuna makampuni ambayo yamekubuhu kwa mchezo huo. Makampuni ya watu binafsi yakiongozwa na yanayomilikiwa na waarabu. OILCOM ndio kinara, Lake oil, World oil, CAMEL Oil, etc.

Ipo mifano mingi ila natoa mmoja.

Kuna siku ilikuwa meli na mzigo mkubwa tu kana tani laki moja na nusu, Huo mzigo ulikuwa wa OILCOM. Kwenye Cargo manifesto ya meli ulikuwa umekuwa declared kama JET A1, (mafuta ya ndege) ya transit ya kwenda Zambia. Haya yana tax exemption.

Surveyor wa mzigo alikuwa kijana mmoja anaitwa ANDERSON kutoka Intertek. Akaenda kwenye meli akapima mzigo akaambiwa na wenye mzigo kuwa aandike kuwa ni JET A1 kwenye documents zake, ingawa mzigo ulikuwa ni diesel (GO), akaahidiwa dili ikishakamilika atapewa chake. Basi Anderson machale yakamcheza akaamua kutengeneza ducument set 2, moja akadiclare ule mzigo kuwa ni JET na nyingine kuwa ni GO.

Sasa kosa ambalo walilifanya hawakumuhusisha loading master wa pale manifold. Alipoambiwa afungue line ya kwenda oilcom, Yule mzee akafungua line ya JET ya kwenda OIL com. Sasa pale KOJ manifold kuna chujio za mafuta (Strainers) kwa ajili ya kila aina ya mafuta, na zina ukubwa tofauti kwaajili ya kuchuja mafuta. Mafuta yalipoanza kusukumwa, ile strainer ya JET ikaanza kupiga kelele yaani ikawa inapitisha mafuta kwa tabu.

Loading master akaamua kuangalia kwa nini inapiga kelele, akakuta mafuta yanayopita ni diesel tena ile diesel ya high sulphur (5000ppm). Akaita kwenye radio call, " We Anderson, hiyo mnayosukuma ni JET au DIESEL?", Hakuna mtu aliyejibu kenye radio, ikabidi pump za meli zizimwe washuke kwenye meli kwenda kuongea na loading master.

Sasa ile channel ya radio inayotumiwa kwa mawasiliano inasikiwa na watu wengi wakiwemo TRA, Usalama wa Taifa, Maofisa wa Bandari, n.k, baada ya kama nusu saa, watu zaidi ya 9 wakawa wamefika pale KOJ, wakiwemo maafisa wa usalama wa Taifa.

Kuona hivyo Underson akatoka na gari akakimbia, akamwacha Depot supervisor wa OILCOM, yule kijana wa oilcom ikabidi amtaarifu mzee ISLAM mwenyewe mwenye OILCOM kuwa kimesanuka. Ilikuwa ni Jumamosi, mzee Islam akaagiza watu wote walioenda kushuhudia ile saga waende OILcom, inavyosemekana kila mtu alipewa mil 80 cash palepale kwenye mifuko ya rambo. Na mzigo baadae ukashushwa kwenye line ya diesel.

Sasa ukiangalia wizi unaofanyika kwenye mafuta siyo wizi wa mafuta ila ni ukwepaji kodi, mafuta yanakuwa declared kama transit hayalipiwi ushuru ila yanauzwa local kwa bei ile ile. Na biashara hii ya kukwepa ushuru ilikuwa inasimamiwa na mwenyewe kamishna wa kodi ya forodha Bwana Masamaki.

Mafuta yakishaingiza kama transit yanatengenezewa document zote kuanzia za loading, Checkpoint zote za TRA, clearance ya Tunduma hadi upande wa pili wa boarder, na offloading documents na documents za ZRA(Zambia Revenue Authority). Na Bond clearance.

Hizi taarifa zote Usalama wa taifa wanazijua fika, kama Magufuli akitaka kusafisha, anatakiwa apate watu wa usalama wenye mtazamo kama wake. Laa sivyo, na wao watakuwa wanawashtua waalifu kwa meseji kama prof. Muhongo.

OIL COM ndio kinara.
Duh! Kazi IPO.
 
Ivi hii panone inakwepa vipi hizi tuhuma za ukwepaji kodi kwenye mafuta,
 
S
Hi stori ina walakini sana. Ni stori ya kusadikika zaidi.
Sasa hivi Hizi kampuni hazileti meli za mafuta.
Utaratibu unaotumika ni kuwa kila quarter kuna bulk importer mmoja ambaye analeta mafuta. Sio oil com wala world oil au babake yoyote anae agiza mafuta kutoka nje.
Utaratibu uliopo ni kuwa bulk impoerter analeta mafuta na yanashushwa yote kwenye deport ya tipper.
Huyu anaye shunda tenda ndie anaelipa ushuru kwa mafuta yote ysnayo ingia.
Na tangu utaratibu huu kutumika hakuna local company ilo shinda tenda hii..
Makampuni ya ndani yananua mafuta kutoka muagizaji mafuta ambayo yameshalipiwa ushuru wa kuingiza wao hawahusiki na hizo taratibu za kubadilisha Jet na diesel.
Utaratibu huu ndio ulowezesha EWURA kuweza kuweka bei ya mafuta kwa mlaji kwa sababu wote hawa wananunua bei ile ile kutoka kwa bulk importer...serikali inachukua chake yakkingia tu.
Hivyo ni uongo wa mchana kusema kuna meli imeagizwa na oil com au babako nani...
Hizi ni chuki kwa warabu kwa sababu ndio umetanguliza hayo.
Na world wenyewe ni wwswahili walo amka wachapa kazi.
Mafuta yanayo enda nje ya nchi huagizwa na nchi husika na makampuni ya hapa hushughulika na usafirishaji tu.
Hivyo stori sijui alikua ashushe meli diesel lakini imeandikwa jet 1 ni yauongo.

Kama kuna ulaji katika mita basi mchezo anacheza bulk importer ..usiootoshe watu kwa sababu za chuki binafsi
Soma riport yake vizuri. Unachokisema kuwa kuna bulk importer ni sawa lakin kabula ya bulk importer utaratibu ulikuwa ndo kama alivyo elezea. Jinsi wizi ulivyokuwa ukifanyika hata mtu usie na taalum ya mafuta ataelewa kuwa huu ni wizi. Hapo kwenye tax exemption ya transit cargo ndo sijamuelewa wenye uelewa waweza tuelewesha.
 
Booh! Hivi hii nchi ina nini? Hawa jamaa ni zaidi ya poachers Wa Tembo
 
Wanaotakiwa kujua wa kwanza ni taasisi zote zinazo inforce sheria ya ushindani pamoja na sheria inayomlinda mlaji..kuna idara ya ukiritimba na idara ya CARTEL iliyopo tume ya ushindani(FCC). Walitakiwa wawe wame confront hii notorious cartel. Japo si kazi rahisi sana, this reflect weakness in our institutional framework
Mkuu kumbe upo? Aisee umepotea sana
 
Aisee hivi Jakaya amepewa ukuu wa UDSM kwa kipi ?? Kuna kila sababu ya kubadilisha sheria inayokataza Rais wa Nchi asifunguliwe mashtaka ,huyo alitakiwa awepo kwenye house of arrest mpaka tunapo ongea hivi sasa,kama Magufuli dhamira yake ni ya dhati aanze na kufuta hiyo sheria then anyonge watu kama kumi hivi ndio mambo mengine yaendelee ,vinginevyo anampigia mbuzi gitaa
Na wewe unapopoma tu. Sasa kikwete na udsm wanaingia vp hapa?
 
Rais na Waziri wake mkuu watapata kazi sana kusafisha hii nchi,Ningewashauri kitu kimoja kama kweli wanataka kusafisha nchi hii na siyo "kuonekana wanasafisha" wakati ukweli hakuna kitu wanachofanya.

Wapo watu katika nchi hii wanazo taarifa za mifumo ya wizi katika sehemu mbalimbali jinsi inavyofanya kazi, either wao walishiriki na sasa hawapo kwenye hiyo mirija au wanashuhudia jinsi wizi unavyoendelea ingawa wao hawausiki. Rais angetengeneza utaratibu wa watu wema wenye taarifa ya madudu yanayofanyika katika taifa hili kupeleka hizo taarifa in details wakiwa wanajulikana au hawajulikani, iwe ni choice ya mtoa taarifa.

Nina uhakika wapo watu wangejitokeza kutoa hizo taarifa nikiwapo mimi.

Mimi nina uzoefu wa jinsi mafuta yanavyoibiwa bandarini:

Kwanza niweke wazi, mafuta hayaibiwi bandarini kwa kukadiria au sijui kwa sababu ya flow meters. Hakuna kitu kama hicho. Tena zile flow meter zilikuwa na capacity ndogo na zinaharibika mara kwa mara hivyo zikiharibika inabidi ku-bypass. Meli ikiwa inashusha mafuta inaweza kushusha kwa presha ya bar 16, zile flow meter zilikuwa hazihimili presha kubwa.

Mafuta yakishashushwa, kiwango cha mafuta kilichopokelewa kina pigiwa hesabu na ma-surveyor na wanatengeneza taarifa yao. Mchezo unaanzia hapo TRA, Mafuta yanayotakiwa kulipiwa ushuru ni ya local (yanayotumika humu nchini), na ya transit hayalipiwi ushuru. Sasa figure zinazoingizwa kwenye system ya TRA kwa ajili ya kulipiwa ushuru ndiyo hapo serikali inapoibiwa.

Na anayefanya mchezo huu ni afisa wa TRA kitengo cha mafuta akishirikiana na kampuni husika. Kuna makampuni ambayo yamekubuhu kwa mchezo huo. Makampuni ya watu binafsi yakiongozwa na yanayomilikiwa na waarabu. OILCOM ndio kinara, Lake oil, World oil, CAMEL Oil, etc.

Ipo mifano mingi ila natoa mmoja.

Kuna siku ilikuwa meli na mzigo mkubwa tu kana tani laki moja na nusu, Huo mzigo ulikuwa wa OILCOM. Kwenye Cargo manifesto ya meli ulikuwa umekuwa declared kama JET A1, (mafuta ya ndege) ya transit ya kwenda Zambia. Haya yana tax exemption.

Surveyor wa mzigo alikuwa kijana mmoja anaitwa ANDERSON kutoka Intertek. Akaenda kwenye meli akapima mzigo akaambiwa na wenye mzigo kuwa aandike kuwa ni JET A1 kwenye documents zake, ingawa mzigo ulikuwa ni diesel (GO), akaahidiwa dili ikishakamilika atapewa chake. Basi Anderson machale yakamcheza akaamua kutengeneza ducument set 2, moja akadiclare ule mzigo kuwa ni JET na nyingine kuwa ni GO.

Sasa kosa ambalo walilifanya hawakumuhusisha loading master wa pale manifold. Alipoambiwa afungue line ya kwenda oilcom, Yule mzee akafungua line ya JET ya kwenda OIL com. Sasa pale KOJ manifold kuna chujio za mafuta (Strainers) kwa ajili ya kila aina ya mafuta, na zina ukubwa tofauti kwaajili ya kuchuja mafuta. Mafuta yalipoanza kusukumwa, ile strainer ya JET ikaanza kupiga kelele yaani ikawa inapitisha mafuta kwa tabu.

Loading master akaamua kuangalia kwa nini inapiga kelele, akakuta mafuta yanayopita ni diesel tena ile diesel ya high sulphur (5000ppm). Akaita kwenye radio call, " We Anderson, hiyo mnayosukuma ni JET au DIESEL?", Hakuna mtu aliyejibu kenye radio, ikabidi pump za meli zizimwe washuke kwenye meli kwenda kuongea na loading master.

Sasa ile channel ya radio inayotumiwa kwa mawasiliano inasikiwa na watu wengi wakiwemo TRA, Usalama wa Taifa, Maofisa wa Bandari, n.k, baada ya kama nusu saa, watu zaidi ya 9 wakawa wamefika pale KOJ, wakiwemo maafisa wa usalama wa Taifa.

Kuona hivyo Underson akatoka na gari akakimbia, akamwacha Depot supervisor wa OILCOM, yule kijana wa oilcom ikabidi amtaarifu mzee ISLAM mwenyewe mwenye OILCOM kuwa kimesanuka. Ilikuwa ni Jumamosi, mzee Islam akaagiza watu wote walioenda kushuhudia ile saga waende OILcom, inavyosemekana kila mtu alipewa mil 80 cash palepale kwenye mifuko ya rambo. Na mzigo baadae ukashushwa kwenye line ya diesel.

Sasa ukiangalia wizi unaofanyika kwenye mafuta siyo wizi wa mafuta ila ni ukwepaji kodi, mafuta yanakuwa declared kama transit hayalipiwi ushuru ila yanauzwa local kwa bei ile ile. Na biashara hii ya kukwepa ushuru ilikuwa inasimamiwa na mwenyewe kamishna wa kodi ya forodha Bwana Masamaki.

Mafuta yakishaingiza kama transit yanatengenezewa document zote kuanzia za loading, Checkpoint zote za TRA, clearance ya Tunduma hadi upande wa pili wa boarder, na offloading documents na documents za ZRA(Zambia Revenue Authority). Na Bond clearance.

Hizi taarifa zote Usalama wa taifa wanazijua fika, kama Magufuli akitaka kusafisha, anatakiwa apate watu wa usalama wenye mtazamo kama wake. Laa sivyo, na wao watakuwa wanawashtua waalifu kwa meseji kama prof. Muhongo.

OIL COM ndio kinara.

Vapour, empty bravado, utter nonsense!
 
ITUNGU SHERIA HARAKA SANA, KAMPUNI YEYOTE HASA HIZI KUBWA IKIKWEPA USHURU NA IKATHIBITIKA, INAKUWA NATIONALISED NA KUWA MALI YA UMMA FULL STOP. BILA HIVYO WATU WATAENDLEA KUUCHEZEA ZAIDI.
 
Naangalia uwezekano wa kuiprint hii na kuwapa DHL ili wafanye dispatch and delivery kwa ghalama zangu.
Alone JPM hawezi mudu majipu ya hii inchi tumsaidie kama hivi
 
Sikiliza bwana usituone sisi wapuuzi kama wameweza kuzima flow meter kwa miaka mitano itashindikaa hao kuleta huo mzigo na kufanya figisu figisu hii taarifa ifanyiwe kazi kama na wewe ni sehemu ya wizi jiandae Magufuli atakufunga
Umeandika siku ya deal kulikua na meli ya Oil com(Uongo oil com hawaleti meli siku hizi) halafu unasema huu mzigo umekua declared kama Jet1 ..ati hiya yana Tax excemption ! Kwa Diesel ya transit ina lipa ushuru..wacha ujinga wewe kama huna kitu wacha choyo piga kazi upate..chuki kwa waarabu haikufikishi mahali utakufa na kijiba bure.
Na inshangaza watu humu waingia kichwa kichwa kila kinacho andikwa humu..watu wajabu kabisa
 
Daaah yaaan ukisoma hii post kwa jcho la uzalendo unaeza lia hata kabla hujamalza kusoma.
 
Nimekupata mkuu, Hii nchi narudia kusema kama magufuli nia yake nchi ikae sawa.fukuza TRA wote maafisa na pale TPA ondoa kabisa kizazi cha panya tuanze upya tu,lakini kuondoa mmoja mmoja wakati walioshika system ni wale wale tunacheza tu
Kuondoa wote TRA sio suluhisho ni kuhusisha waliomo na wasiokuwamo. Serikali inaweza kushtakiwa kwa kusitisha mikataba ya ajira bila sababu za kisheria. Waendelee kuwasaka wahusika ama kwa usimamizi mbovu au kuhusika na wizi moja kwa moja.
 
Majukwaa kama haya ni mhimu sana kwa kufichuo maovu yanayofanywa na watumishi wa umma pamoja na viongozi wasio waadilifu, maan hii ndo njia pekee ya Mnyonge kufikisha taarfa, lakini Serikali yetu kupitia Akina JANUARY WAKALETA SHERIA ZA KUMINYA UHURU WA WATU KUSEMA (SHERIA YA MAKOSA YA KIMTANDAO) KWA HILI WALIFANYA KOSA KUBWA SANA NI BORA UKAWAACHA WATU WAKASEMA LAKINI VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA NDO VIKAFANYA KAZI YA KUFATILIA TAARFA ZILIZO ANDIKWA JE NI ZA KWELI AU LA...
 
Meli za Mafuta nitakuwa nazishtukia na kuzikagua mwenyewe..This is too much
 
Do hii ni hatari.... yaani mpaka nimeogopa.... 80m
kila mmoja cash! !..... inahitaji moyo kuzikataa.... na hawa wanajua hakuna atakae kataa.... inahitajika total overhaul ya utaratibu wa mafuta hapa nchini....
Sasa jiulize hii kwenye books zake za accounts aliandkiaje!
Tanzania was DEAD...!
 
Nadhani wananchi tuanze kususia bidhaa za makampuni haya yaliyotuibia muda mrefu ili tuonyeshe jinsi tulivyochukia.

Wazo Lako ni zuri na la kizalendo. Solidarity inaweza kaongeza kasi ya kuvunja nguvu za wachache walioharibu taifa.
 
S

Soma riport yake vizuri. Unachokisema kuwa kuna bulk importer ni sawa lakin kabula ya bulk importer utaratibu ulikuwa ndo kama alivyo elezea. Jinsi wizi ulivyokuwa ukifanyika hata mtu usie na taalum ya mafuta ataelewa kuwa huu ni wizi. Hapo kwenye tax exemption ya transit cargo ndo sijamuelewa wenye uelewa waweza tuelewesha.
Mkuu hapo ilichofanya iwe exempt ni kwasababu ilikuwa declared kuwa ni ya Jet sasa ukisoma VAT ACT angalia pale kwenye exempt schedule utaona
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom