Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,527
- 3,650
Hii comment iandikwe kwenye kibao cha chuma kisha iwekwe kwenye kila ofisi ya kila wizaraIshu ya utajiri ni complexity factor maana utajiri ni matokeo ya jitihada utajiri unakuja auvutwi.
Huwezi lazimisha kuwa tajiri ingekuwa hivyo Kila mtu angekuwa tajiri, kupambana Sio kupata kupata ni wakat
Nilimaanisha bidhaa na siyo budhaaBudhaa ni nini mkuu
Kabisa Mkuu,mimi nimeanza kuona kama wanazaliwa hivyo....
iweje mtu unajua kabisa ukiwa shoga, utachukiwa na watu, kutengwa au hata kuuawa afu unakua shoga?? kuna jambo mahali....
Mutation is real 🤣Ukitazama kwa makini kabisa,ushoga unaweza ukawa ni ugonjwa.
Kwa sababu it is extremely abnormal kwa binadamu mzima kabisa kiakili,kimwili,kihisia kuwa attracted kihisia na people of the same sex.
Hii hali isiyo ya kawaida haijawahi kushuhudiwa kwa mnyama yoyote isipokuwa binadamu.
Mungu atulinde kwa kweli
Ishu ya utajiri ni complexity factor maana utajiri ni matokeo ya jitihada utajiri unakuja auvutwi.
Huwezi lazimisha kuwa tajiri ingekuwa hivyo Kila mtu angekuwa tajiri, kupambana Sio kupata kupata ni wakat
Hapa mkuu nakukatalia. Umewahi kufuga wanyama wa jinsia moja mfano n'gombe au mbuzi?Hii hali isiyo ya kawaida haijawahi kushuhudiwa kwa mnyama yoyote isipokuwa binadamu.
Hao ni wakufungiwa mpaka waozee jela. WAKAWE WAKE WA WAFUNGWA WENZAO.
Safi sana, huko ndiko wenye matatizo wanapelekwa. Au wajitibu au wajitatulie au wendelee nayo. Simpo. Unataka waache kwenye jamii?Hapo haujatibu tatizo,umelitoa tatizo kwenye jamii umelihamishia tatizo magerezani.
Hawapaswi kusaidiwa, wale si wagonjwa wamechagua kuwa mashoga.Ni kweli ushoga ni ugonjwa kama magonjwa mengine ya kisaikolojia sisi kama jamii tunapaswa kutafuta namna bora ya kuwasaidia watu walioathirika na hili janga.
Ukitazama kwa makini kabisa,ushoga unaweza ukawa ni ugonjwa.
Kwa sababu it is extremely abnormal kwa binadamu mzima kabisa kiakili,kimwili,kihisia kuwa attracted kihisia na people of the same sex.
Hii hali isiyo ya kawaida haijawahi kushuhudiwa kwa mnyama yoyote isipokuwa binadamu.
Mungu atulinde k

Mungu atulinde kwa kwe
Sidhani kama mashoga watakuepo kama hakuna mwanaume wa kuwasumbukia. Kiukweli tatizo hili linakua kutokana na maadili mabovu lkn naona linaanzia mbali. Watu wanasapoti pasipo kujua. Na hata serikali inachangia. Sasa ivi imekua kawaida sana watu wanjinasibu wazi wazi wanaenda kwa mpalange na wasanii pia wanimba. Kuna wimbo mmoja wa singeli madanga ya mke wangu. Ukiusikiliza ni ujinga mtupu lkn unakuta unpigwa kwenye basi yaan ni shda kwenye ule wimbo mstari mmoja unasema nakuruhusu utoe kwa mpalange. Nyimbo ni public. Watu hawazungumzii haya. Lkn shda inaanzia huko kama mwanaume anaenda huko kwa mpalange je atashndwa kumuingilia mwanaume mwenzake. Na je kwa nn jamii na serikali haikemei kampeni chafu izo. Sijui basata ipo wapi. Kuna umuhimu wa kuanza na wasanii. Ni kioo cha jamii lkn wanapromote ujinga. Wakifungiwa wanalalama lkn wakt mwingine ni sahihi kabisaUkitazama kwa makini kabisa,ushoga unaweza ukawa ni ugonjwa.
Kwa sababu it is extremely abnormal kwa binadamu mzima kabisa kiakili,kimwili,kihisia kuwa attracted kihisia na people of the same sex.
Hii hali isiyo ya kawaida haijawahi kushuhudiwa kwa mnyama yoyote isipokuwa binadamu.
Mungu atulinde kwa kweli
Wanaita mental illness.Ukitazama kwa makini kabisa,ushoga unaweza ukawa ni ugonjwa.
Kwa sababu it is extremely abnormal kwa binadamu mzima kabisa kiakili,kimwili,kihisia kuwa attracted kihisia na people of the same sex.
Hii hali isiyo ya kawaida haijawahi kushuhudiwa kwa mnyama yoyote isipokuwa binadamu.
Mungu atulinde kwa kweli
mbaya sana hiiHakuna cha ugonjwa ni ukosefu wa maafdili na wanazoweshwa watu wasio na maadili waliokwisha wahi kufanyiwa hivyo.
Muulizeni cocastic
Hiyo ndiyo njia pekee, ushoga unaenea kama moto wa makumbi.mbaya sana hii
Wanachoboa watu wa west ni kutaka kuuchomeka kila pahala, kwenye movies saivi uchoko umejaa.
Nilikua sijaicheki series ya El chapo, kuja kucheki kudadeki kuna machoko mule.
Kuna series nyingine niliangalia kama season 2 hivi ya tatu jamaa yangu alieicheki akasema mule ndani wamarekani washaanza yao, basi hata hamu sikua nayo.
Sijui labda huko kwao hii ishu ni normal ila huku kiukweli movie inakata stim uchoko ukitawala sana aisee.
Hapana wanapaswa kusaidiwa kwani hawana tofauti na ambao wako addicted na madawa ya kulevya. Kama ambavyo tumejikita kuwasaidia waraibu wa madawa ya kulevya bila kuzingatia maamuzi hayo ya kutumia madawa nani alifanya basi haina budi kuwasaidia hata wao(mashoga)Hawapaswi kusaidiwa, wale si wagonjwa wamechagua kuwa mashoga.
Wanapaswa watengwe kwa namna zote zile
Hawapaswi kusaidiwa, wale si wagonjwa wamechagua kuwa mashoga.
Wanapaswa watengwe kwa namna zote zile
Haukumfuturu kweli mkuu?Niligundua dogo mmja alinyanduliwa ,nikamkalisha chini kumueleza hyo tabia siyo nzuri ,lakini baada muda karudia Yale Yale ushoga ni sawa na uteja