Ushoga Afrika: Tamaduni zinahifadhiwa wapi?

Ushoga Afrika: Tamaduni zinahifadhiwa wapi?

Ngoja na mimi nijaribu kufafanua.

Tamaduni zinaweza kurithishwa kwa njia ya maandishi au ya mdomo.

Kwa hapa Tanzania, kama unavyojua elimu ya darasani ililetwa na Wazungu, hivyo njia mojawapo ya kurithisha tamaduni zetu ni njia ya mdomo. Hii ina maana, jamii yetu huwafundisha watoto tamaduni zetu kwa njia ya mdomo na maandishi huko mashuleni.

Sasa, mojawapo ya katazo katika utamaduni wetu ni kukataa ushoga.
 
Unazungumziaje TAMADUNI YA KITANZANIA YA KUTAFUNA NYAMA ZA ALBINO?
Utamaduni ni dhana pana ( mila, desturi, lugha, dini n.k)

Kuna mazuri na mengine si mazuri kwa mitizamo tofauti.

Umezungumia utamaduni wa kutafuna albino ndo nasikia kwako hilo jambo.

Na kingine katika hizo tamaduni zetu ziwe mbaya au nzuri,. USHOGA haupo.
 
Hii ina maana, jamii yetu huwafundisha watoto tamaduni zetu kwa njia ya mdomo na maandishi huko MASHULENI.
MASHULENI?

SHIDA inakuja katika kutafuta ITHIBATI na UHALALI wa TAMADUNI YA KITANZANIA.

Hakuna mfumo unaodhibiti uhalali au uharamu wa tamaduni.

Na zaidi sana, hakuna kigezo kinachotumika katika KUELEWA kama kweli jambo fulani ni UTAMADUNI WA KITANZANIA au mawazo tu ya mtu au kakikundi cha watu.

Na mwisho, hakuna MAKUBALIANO ya wanajamii wote kwa ujumla katika kuridhia kwa pamoja kwamba jambo fulani ni UTAMADUNI WA KITANZANIA. Ni mambo ya kufikirika zaidi.

Kwa mfano, siku mtu akiamka akatuambia kwamba KUJAMBA HADHARANI ni UTAMADUNI WA KITANZANIA, nani atambishia? Unaanzaje kubisha? Kwa kutumia nyaraka gani?
 
Umekomaa sana na HUU USODOMA...wewe ni SHOGA?
 
Analazimisha tamaduni za kitanzania ziandikwe, kazi sana hawa watu.
Watanzania wengi mna cognitive dissonance.

Nafikiri chanzo ni ule ujima wa nyerere ambao uliwalemaza vichwa.

Mimi nataka unipe ITHIBATI na USHAHIDI wa TAMADUNI ZA KITANZANIA.

Tutajuaje kama kweli jambo fulani ni UTAMADUNI WA KITANZANIA au ni mawazo ya mtu tu?

Mtu akikwambia KUJAMBA HADHARANI ni UTAMADUNI WA KITANZANIA utambishia? Unaanzaje kubisha? Kwa kutumia nyaraka gani?
 
Watanzania wengi mna cognitive dissonance.

Nafikiri chanzo ni ule ujima wa nyerere ambao uliwalemaza vichwa.

Mimi nataka unipe ITHIBATI na USHAHIDI wa TAMADUNI ZA KITANZANIA.

Tutajuaje kama kweli jambo fulani ni UTAMADUNI WA KITANZANIA au ni mawazo ya mtu tu?

Mtu akikwambia KUJAMBA HADHARANI ni UTAMADUNI WA KITANZANIA utambishia? Unaanzaje kubisha? Kwa kutumia nyaraka gani?
Nadhani wewe ndo una cognitive dissonance, kwa kuona ushoga ni sawa wakati kiuhalisia si sawa.

Niiishie hapa mkuu.
 
Uko sahihi.
Kama niko sahihi ndgu Dokta Uchwara basi hukutakiwa kuuliza kuhusu ni wapi tamaduni zetu zimeandikwa ilhali wajua fika hatuna desturi ya maandishi sisi watanzania..

Ni sawa na kuuliza ni wapi imeandikwa mdogo amsalimie mkubwa "shikamoo" na kama hujasalimia "shikamoo" adhabu yake ni ipi??
Huwezi pata ila ni desturi tu tumejijengea mkuu, si lazima kuandikwa.

Ni wapi pameandikwa usipomsaidia mzazi au ndgu utachukuliwa hatua kisheria?? HAKUNA, lakini je hatusaidii na je wasiosaidia huchukuliwa hatua yoyote??
Ni desturi tu.

Next time usilete uzi wa namna hii, kwa mimi naona unaupromote kwa njia tofauti.
 
Kwahiyo unakubaliana na mimi kwamba hili swala linaloitwa UTAMADUNI WA KITANZANIA ni mambo ya kufikirika tu yasiyo na ithibati yoyote?
Still hujaelewa nilichoandika mkuu.

Sio hilo tu mambo mengi sana tunafanya na kuyafuata kwa weredi wa hali ya juu lakini hayana ithibati yoyote, mfano ni hiyo shikamoo na marhaba yake.

Au ulishaona kwai mtu anashitakiwa kwa kutotoa shikamoo kwa mkubwa wake??
Ila mpaka leo mdogo humuamkia mkubwa shikamoo.

Sio kwakua haina ithibati basi ndo ukiuke miiko mkuu, sio kwakua upunga haujaandikwa basi ndo uwe punga.

Hebu kua muwazi unachotetea ni au unataka kusema nini??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom