Bitoz Jobiso
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 1,150
- 1,441
hizi mada zimeshamiri sana ghafla
mtu timamu huwezi kushabikia usenge
Kipwinto shkamoo. Marahaba.hizi mada zimeshamiri sana ghafla
sisi Wahaya tamaduni zetu zimehifadhiwa UNESCO WORLD HERITAGE na zinalindwe na umoja wa mataifa..nenda kwenye website yao utazikuta mkuu
Wewe mapema tu nikuache,utaniharibia jioni yangu siyo muda.Akili za kawaida ndio zipi?[/i]
Wewe naona unataka kutuvuruga kwa mihemko.
Eti tupo jukwaani tunapoteza muda kujadili mada na mtu anayeweza kuandika kitu kama hiki.Kipwinto shkamoo. Marahaba.
Kwanini?Wewe mapema tu nikuache,utaniharibia jioni yangu siyo muda.
Hahaha.. toa hoja Lovie Lady[emoji276][emoji276][emoji276]
Naona hizi tamaduni nyingi zimekaa kikatili katili.Zamani sisi wapare tuliamini mapacha ni nuksi, hivyo mwanamke ukizaa pacha mkunga awamziba pumzi baadaye mnaambiwa siyo risk. HAIKUANDIKWA.
Mwanamke akipata mimba kabla ya unyago anaitwa kigego, nyumba inatobolewa mlango kwa nyuma, akitoka unazibwa, kafukuzwa kwenye ukoo. HAIKUANDIKWA.
Mtoto akianza kuota meno ya juu anatupwa porini akafie huko ni kigego. HAIKUANDIKWA.
HIVI KARIBUNI nikamsikia jamaa wa kipare akisema habari ya SHOGA fulani tunaemfahamu kuwa zamani watu kama hawa WALIKUWA WANACHOMEKWA NDIZI YA KUCHOMA YA MOTO MAKALIONI ili kuwakomesha kuacha USHOGA.
Pia HAIKUANDIKWA.
Tamaduni za kiTanzania na kiAfrika nyingi ni za simulizi kwa kuwa zilikuwepo hata kabla ya maandishi kuwepo.
Hizo "desturi za watanzania" zimehifadhiwa wapi?ukisikia mila na tamaduni za kitanzania ni mjumuiko wa desturi za watanzania wote.
Huyu jamaa atakuwa mdau wa upinde si bureKwenye ule uzi mwingine niliona wadau wakikushambulia na kukuita shoga....hatimaye sasa nimepata !!
Kwan mpaka zihifadhiwe ndo ziwe tamaduni?Hizo "desturi za kitanzania" zimehifadhiwa wapi?
Maana kuna hatari tukawa tunazungumza vitu vya KUFIKIRIKA TU.
Kulikuwa na AZIMIO la kupitisha hizo DESTURI ZA KITANZANIA? Kwa utaratibu upi? wa kidemokrasia au wa kisultani?
Was there a democratic consensus that passed a MEMORANDUM or a RESOLUTION to such effect?
Au mambo ya kufikirika fikirika tu yaliyojengwa kipropaganda kuliko kiuhalisia?
Huyu tayari hamna kitu.Huyu jamaa atakuwa mdau wa upinde si bure
Unazungumziaje TAMADUNI YA KITANZANIA YA KUTAFUNA NYAMA ZA ALBINO?Kwan mpaka zihifadhiwe ndo ziwe tamaduni?
Unaelewa maana ya utamaduni?
Tuanzie hapo.
Jikite kwenye hoja.Huyu tayari hamna kitu.
wazazi wake wangoje tu siku wapige nduru ndicho kilichobaki
Kwa mfano TAMADUNI YA KITANZANIA YA KUTAFUNA NYAMA ZA ALBINO?Makabila yote Tanzania kwa ujumla wake ndiyo yanaleta kitu kinachoitwa tamaduni za kitanzania.