Ushoga Afrika: Tamaduni zinahifadhiwa wapi?

Dokta Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2022
Posts
1,370
Reaction score
3,164
Hii ni mada spesheli kwa ajili ya kupata udadavuzi na marejeo kuhusu kitu kinachoitwa "tamaduni za kitanzania" au "mila za kiafrika".

Mara zote wapinzani wa ushoga wamekuwa wakisisitiza kuwa wanalinda "tamaduni za kitanzania", au "mila za kitanzania".

Ni kama kauli ya jumla sana (blanket statement) ambayo inatamkwa bila watamkaji kuelewa wanachokisema ama huenda ni mazoea yaliyojengwa kwa kutamka tamka vitu bila kujua maana yake.

Ningependa kujua, hizi "tamaduni za kitanzania" ni nini haswa, zimehifadhiwa kwenye jarida gani?

Kwa mfano mtu akitaka kuzirejelea hizi "tamaduni za kitanzania" anapaswa kusoma kitabu gani au mwongozo upi wa kimaandishi?

Hizi "tamaduni za kitanzania" zilipitishwa mwaka gani na kwa utaratibu upi? Kulikuwa na azimio fulani la kimila ambalo liliafiki kwamba hizi ndizo "mila za kitanzania"?

Na hizi "mila za kitanzania" zina nguvu ya kisheria? Kwa mfano mtu akivunja "mila za kitanzania" anapaswa kupewa adhabu gani?

Wajuzi karibuni.
 
Muheshimiwa!!!

Vyovyote ilivyo ni illegally jamii za Kitanzania na Africa kwa ujumla kuchomekana vipande vya nyama ngumu sehemu zisizotakiwa na kwa wasiohusika!!!

Ukiondoa mafundisho ya vitabu vya dini tunazoamini yanavyotufundisha hata kwa akili za kawaida tu za mtu timamu kuingiliana kinyume na maumbile ni uchafu mkubwa sana,itoshe kusema shoga's ni wagonjwa wa akili tatizo mtu mweusi anasubiri ugonjwa utangazwe na mtu mweupe ili aamini sasa ugonjwa wa ushoga mtu mweupe umemkolea kazuga siyo ugonjwa ngozi nyeusi kama mkaa nao wanafuata upepo.
 
Hizi ni porojo, bado haujajibu swali:

1. "Tamaduni za kitanzania" ni nini na zimehifadhiwa wapi? Orodha yake ni ngapi?

2. "Tamaduni za kitanzania" zilipitishwa kwa azimio la aina gani? Kwa utaratibu upi?

3. "Tamaduni za kitanzania" zina nguvu gani ya kisheria?
 
Kwenye ule uzi mwingine niliona wadau wakikushambulia na kukuita shoga....hatimaye sasa nimepata mwanga!!
Porojo za walevi zile.

Jikite kwenye mada ya "tamaduni za kitanzania".

Wewe umewahi kuona kitabu cha kisheria chenye "tamaduni za kitanzania"?

Ama azimio la kimila lenye orodha ya "tamaduni za kitanzania"?

Naomba utuwekee hapa tujifunze kama hutojali.
 
Tatizo sisi kuandika mambo yetu hatuwezi. Pamoja na tech kukua lakini bado kwa makabila tu ya hapa Tz huwezi yatafuta mitandaoni ukayajua kiundani.

Ila yote kwa yote, pamoja na kua hatuna desturi ya kuandika andika lakini sijawahi kuona wala kusikia kabila lolote hapa tz mwanaume kamuoa mwanaume au mwanamke kamuoa mwanamke.

Kuna mahali ukienda watu hawajui kama kuna baadhi ya wanaume wanaingiliwa, ukiwaambia neno shoga anakushangaa, shoga ni nini?? Na akielekezwa kua mwanaume anasukumizwa hogo wala hawezi kubaliana na wewe kua kuna mtu wa namna hiyo.

Mwisho wa siku ni kua huku mtandaoni tunaikuza mno mno na kufanya huko mtaani watu wasanuke na kujaribu.

NB. Ushoga unakuzwa na wapinga ushoga, wapingaji ndo hao mashoga na mabasha. Waanzisha nyuzi ndo haohao wasambaza agenda.
 
Mtoa mada umeuliza swala la kiujumla huku ukitaka majibu ya Rejareja.

1- Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar

2-Unatakiw ujue kuna mila na desturi nyingi kwa kuzingatia mjumuiko wa Makabila zaidi ya 130+

3- nikirejea point yako ya Ushoga etc, ningependa nikuulize swali dogo.

Katika hayo makabila zaidi ya 100 je.. Kuna mila au desturi inayoruhusu USHOGA?!! jibu ni hapana.

Ila tukija ktk Muktadha wa AFRICA ambao tyr umeugusia.

Kuna kabila flani katika afrika ya kati jina nimesahau wao walikuwa / Wanao utamaduni wa Kuingiliana Me kwa Me.

Ningependa nihitimishe hivi.

Katika Makabila yote kuna mambo hayaingiliani yanatofautiana na kuna mambo yanaendana.

Cha kuzingatia ni kutumia vzr akili kudadavua tamaduni ipi ya kuendeleza na ipi si ya kuendeleza.
 
Porojo za walevi zile.

Jikite kwenye mada ya "tamaduni za kitanzania".

Wewe umewahi kuona kitabu cha kisheria chenye "tamaduni za kitanzania"?

Ama azimio la kimila lenye orodha ya "tamaduni za kitanzania"?

Naomba utuwekee hapa tujifunze kama hutojali.
sisi Wahaya tamaduni zetu zimehifadhiwa UNESCO WORLD HERITAGE na zinalindwe na umoja wa mataifa..nenda kwenye website yao utazikuta mkuu
 
Hizi ni porojo, bado haujajibu swali:

1. "Tamaduni za kitanzania" ni nini na zimehifadhiwa wapi? Orodha yake ni ngapi?

2. "Tamaduni za kitanzania" zilipitishwa kwa azimio la aina gani? Kwa utaratibu upi?

3. "Tamaduni za kitanzania" zina nguvu gani ya kisheria?
Kijana acha kujificha ficha kwenye kichaka cha utamaduni nimekwambia kwa akili za kawaida bila hata huo unaouita utamaduni mtu timamu hawezi kuingiliwa au kumuingilia mwenzake kinyume na maumbile.

So issue siyo utamaduni the issue ni hiki kitu hakiwezi kuelezeka kwa watu makini tumia sheria utakayotumia hakuna namna ya kuwafanya wakakuelewa.
 
Katika hayo makabila zaidi ya 100 je.. Kuna mila au desturi inayoruhusu USHOGA?!!

Kabla hatujaenda huko kwenye mila "inayoruhusu ushoga", tungeanza kwanza kupata orodha ya hizo mila.

Kwenye sheria wanasema, kitu chochote ambacho hakijakatazwa na sheria, basi hicho kitu ni halali, bila kujali kimetajwa au hakijatajwa.

If a criminal law is silent, then a particular conduct is DEEMED not to be an offense.

Kwa mfano kwa Tanzania USAGAJI ni RUKSA kwa sababu sheria haijakataza popote.

Sasa tusiende huko, tupate kwanza orodha ya "tamaduni za kitanzania" ili tuanze kuchambua kipi ni kipi.
 
Kwenye ule uzi mwingine niliona wadau wakikushambulia na kukuita shoga....hatimaye sasa nimepata mwanga!!
Ukishaona mtu anakuwa interested sana kuanzisha hoja ili kutetea wizi au ushoga au chochote kibaya kama hivi moja kwa moja anakuwa mfaidika wa jambo husika.
 
Muheshimiwa!!!

Vyovyote ilivyo ni illegally jamii za Kitanzania na Africa kwa ujumla kuchomekana vipande vya nyama ngumu sehemu zisizotakiwa na kwa wasiohusika!!!

Ukiondoa mafundisho ya vitabu vya dini tunazoamini yanavyotufundisha hata kwa akili za kawaida tu za mtu timamu kuingiliana kinyume na maumbile ni uchafu mkubwa sana,itoshe kusema shoga's ni wagonjwa wa akili tatizo mtu mweusi anasubiri ugonjwa utangazwe na mtu mweupe ili aamini sasa ugonjwa wa ushoga mtu mweupe umemkolea kazuga siyo ugonjwa ngozi nyeusi kama mkaa nao wanafuata upepo.
Huyo mwamba anaepingana na hili bila shaka anachomekewa nyama ngumu mtu timamu huwezi kushabikia usenge ni laana kubwa kwake yeye na familia yake kwa ujumla
 
Tatizo sisi kuandika mambo yetu hatuwezi. Pamoja na tech kukua lakini bado kwa makabila tu ya hapa Tz huwezi yatafuta mitandaoni ukayajua kiundani.

Ila yote kwa yote, pamoja na kua hatuna desturi ya kuandika andika lakini sijawahi kuona wala kusikia kabila lolote hapa tz mwanaume kamuoa mwanaume au mwanamke kamuoa mwanamke.

Kuna mahali ukienda watu hawajui kama kuna baadhi ya wanaume wanaingiliwa, ukiwaambia neno shoga anakushangaa, shoga ni nini?? Na akielekezwa kua mwanaume anasukumizwa hogo wala hawezi kubaliana na wewe kua kuna mtu wa namna hiyo.

Mwisho wa siku ni kua huku mtandaoni tunaikuza mno mno na kufanya huko mtaani watu wasanuke na kujaribu.

NB. Ushoga unakuzwa na wapinga ushoga, wapingaji ndo hao mashoga na mabasha. Waanzisha nyuzi ndo haohao wasambaza agenda.
Uko sahihi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom