Ushirikina katika ngono na Manii


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaswa na mteja wake akiwa kahifadhi manii kwenye toilet paper
 
B
Wale watoto ambao wamepatikana bila ndoa wala makubaliano na baba kuingia mitini sijui neno sahihi ni lipi sasa! Niliandika single mother ikaonekana sio sahihiwanaitwa bastard
 
Asante jembe
 
Waafrika wanapenda sana hadithi za uchawi
 
Huyo bimkubwa ndio ana code maana kuna mahali kazifunga hizo manii
 
Ni imani zenye uhalisia kuna kundi kubwa sana la watoto wachawi na washirikina.. Tena mahiri hasa Jiulize katika umri ule kajifunza au kafunzwa saa ngapi? Tena yuko daraja la juu! Kumbuka Uchawi na ushirikina pia vina madaraja
Je Uchawi na ushirikina ni vitu tofauti?
 
🙄🙄🙄Duh navyokua najilibwasa kumbe watakua washafanya Yao sasa Hawa ambao wako sokoni inakuaje mbn hili tatizo jipya
 
Mkuu kama hali ni hiyo kumkwepa mchawi ni kazi sana, yote utafanya ila kimbembe sasa usiku wanapokuja kujipimia na vikombe vyao... Mungu atuokoe tu. Sasa utawezaje kufahamu mtoto wako kazaliwa mshirikina? mshana jr
🤣🤣🤣🤣🤣👆Tutapa tabu sana miaka ya sasa na wanapenda hao kujiuza
 
Hii kitu ni hatari imenitokea mwenyewe kabisa mke wangu wa ndoa kanibebea manii zangu ila issue kubwa nisizae kabisa nje mji nimeuacha kabisa maana nimeona naishi na mshirikina
 
Hii kitu ni hatari imenitokea mwenyewe kabisa mke wangu wa ndoa kanibebea manii zangu ila issue kubwa nisizae kabisa nje mji nimeuacha kabisa maana nimeona naishi na mshirikina
Uchawi na ushirikina sikuwahi kama nitakuja kukumbana navyo
Nimenusurika ajali zaidi ya tano
Mke nilieoa nikaishi nae miaka zaidi ya kumi Sikuweza kuchepuka
Siku nilipoweza kuchepuka hapo ndio nilijua mke wangu na baba mkwe ni watu wa aina gani

Ni mwaka sasa lkn niliyoyashuhudia ni hatari
Chini ya jua ni Mungu pekee ndie mlinzi wa yote
 
Tusimulie kidogo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…