Hahaha ha ha, mkuu mbele ya "kilele" cha mlima Kilimanjaro, kuna kukitumia vizuri hapo?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
suluhu yake ni kukitumia vizuri kifanyio
DUH LE MUTU MKUBWA SANAJiulize ni kwanini baadhi ya watoto wa nje wanakuwa ni janga katika Familia na hata kusababisha familia kusambaratika huku wengine hao hao wakiwa ni Baraka kubwa
AU ni mtoto wa ndani ya ndoa lakini akawa tatizo kubwa hapo jua kuna kitu cha kawaida kilifanyika... Kikubwa kikiwa ni ushirikina
Nitamani kuendelea kupata elimu ktk mada zako zinazofata. Usiache kunitag.
Khe khe khe mweh!! Unatuogopesha
Na nikikwambia hapa nilipo muda huu si utaogopa kabisa kukutana namimi?
Hahahahaa..Hiyo si phase tu ulikuwa unapitia...sasa si utafute demu tu...hizo mbinu nyingine zote nnaweza kuziepuka hila suala la kupiga nyeto hapo wamenipata maana nimeshindwa kuacha kabisaa huo mchezo nilianza kupiga tangu enzi picha za xx kuna vitabu kabisa mnaazimishana niliambiwa nisiwe naangalia blue lakini ikifika ule muda nna download nikishapiga nnazifuta.
Hahahahaa..Hiyo si phase tu ulikuwa unapitia...sasa si utafute demu tu...
Sent using Jamii Forums mobile app




