Ushirikina katika ngono na Manii

Ushirikina katika ngono na Manii

Jamaa kaambiwa na mganga apeleke manii yake amtengenezee dawa ya utajiri . Jamaa kakamua akampelekea na kutengeneza mambo . Ama kweli akawa tajiri mkubwa wa daladala , ila kawa functionless , mganga keshakufa na jamaa anajuta kwani wa kumrudishia nguvu zake mpaka mganga afufuke .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imetoka hiyo......

Jr
 
Bora ukose nguvu ya pesa kuliko kukosa nguvu ya kiume.

Mwenye pesa asiye na nguvu za kiume hana madhara kwa wanawake wetu.

Mwenye nguvu Za kiume asiye na pesa anaweza kuwa na madhara kwa wanawake zetu.

Na mwenye pesa na nguvu za kiume anamadhara kabisa kwa wake zetu.

Mungu idumishe nguvu yangu,niendelee kunufaika na mke wangu

Uchawi upo(umetajwa sana ndani ya Qurani)kutokuuamini eidha ni ujinga waa kusoma vitabu vya dini au ni mtu ambaye anafikra mgando kama akkina Kiranga ambao wanahisi kwamba wakikubali uwepo wa baadhi ya vitu basi hoja ya kukubali kwaovitu hivyo zitawabana juu ya uwepo wa Mungu.basi wanapata taabu ya kukwepa kila kitu kama vile mashetani,majini,mizimu n.k wanapata tabu balaa,wanaishi kwa mitego balaa.

Nikutakie fikra njema bos Mshana Jr

Uchawi haupo na hakuna kitu kama hicho duniani.

Nashangaa humu watu wanajadili vitu ambavyo havipo, uchawi haupo na haujawahi kuwepo.

Nishawambia watu wanaodaiwa kua ni wachawi na waganga waniroge sijawahi kuonanimeroheka,kuna mwingine niliwahi kumpiga makofi nikamwambia akaniroge sijawahi kuona. Uchawi haupo.

Kama kuna mtu humu anadhani yeye ni mchawi akaniroge nimemruhusu.
Mtoto mdogo wew uwezi elewa kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kaambiwa na mganga apeleke manii yake amtengenezee dawa ya utajiri . Jamaa kakamua akampelekea na kutengeneza mambo . Ama kweli akawa tajiri mkubwa wa daladala , ila kawa functionless , mganga keshakufa na jamaa anajuta kwani wa kumrudishia nguvu zake mpaka mganga afufuke .

Sent using Jamii Forums mobile app
Big mistake! Jamaa si atafute mganga mwingine au atubu amrudie Muumba.
 
Uta
Ni imani zenye uhalisia kuna kundi kubwa sana la watoto wachawi na washirikina.. Tena mahiri hasa Jiulize katika umri ule kajifunza au kafunzwa saa ngapi? Tena yuko daraja la juu! Kumbuka Uchawi na ushirikina pia vina madaraja
unawezaje kumgundua mtoto mshirikina
 
kwanini wanaroga..?
hao wachawi wakishakuroga wanapata faida gani..?
na la mwisho nini chanzo cha hizo nguvu za kichawi..?
Kuna ufalme wa Mungu duniani na ufalme wa shetani duniani, Mungu ana kanuni zake ameziweka duniani kama muumbaji na mfanyaji wa yote na tangu mwanzo aliumba ulimwengu na mwanadamu aishi humo milele ndipo mwanadamu akaasi kuanzia hapo lile lengo la kuishi milele duniani likasimamishwa hapo ndipo Mungu alipomwandalia mwanadamu mpango mwingine wa kuishi milele kupitia mwanadamu Yesu Kristo, na ikumbukwe kuwa shetani kama aliyemwasi na Mungu na malaika wengine walieasi pamoja naye wamepoteza mamlaka na utukufu wao mbinguni ndipo walifukuzwa na kutupwa duniani na adhabu ambayo Mungu amewaandalia waasi hao ni moto wa milele kwa kosa la kumpinga muumba wao, tangu hapo shetani hajatulia anahangaika kwani hana tumaini la maisha ya furaha hivyo kama yeye alivyoasi akapoteza nafasi na utukufu wake mbinguni ndivyo anavyofanya kwa mwanadamu anahangaika ili pia wamuasi muumba wao kisha adhabu kama ya shetani inawakalia hivyo kuwa na wafuasi wengi watakaoandamana nao katika adhabu hiyo, kwa hiyo haya yote mabaya yanayofanyika duniani ni serikali kamili shetani hapa duniani ili kuwakokota mwanadamu kwenye ziwa la moto wa milele, MAKALA hii chanzo chake ni kitabu kitakatifu BIBLIA japo sijaandika hiyo mistari, mbarikiwe

.
tapatalk_1558533512035.jpeg
 
Mkuu@Mr Nzoka umepita mlemle nilimopita mimi....Kuna mchepuko.....ulinieletea matatizo makubwa....kitu sikujua kumbe ile Familia niyakichawi Completely...
.Anaishi MKOA ikatokea siku nimekwenda kulala nae nikataka kuvaa jezi ikashindikana nikajipa Moyo nitamwagia nje nahiyo nilijitahidi lkn aliyapata matone akayatumbukiza huko.....baada km ya mwezi akaniambia anamimba yangu lkn nisihusike kwa chochote...Ninavyokwambia dogo sijawahi kumuona kwa macho naishia kumuona kwa picha tens baada ya kutumia mbinu zaKiitejensia......Kuanzia pale niliharibikiwa sana...Nakitu ambacho nikawa sijui unapokuwa umezaa kwenye Familia yakichawi wakitaka kukuroga hawasumbuki naww wanamalizana na dogo hiyo Kitu imenitaabisha sana hadi nilipopata ufumbuzi wa hiyo kitu sina Lugha nzuri yakueleza ndiomaana humu zinapokuja mada zinazohusu mambo ya ulimwengu wa Giza then mtu anapinga mimi nadhani huyo ni mchawi hapendi wengine wajue siri zao
Pole sana mzee.
 
Ulipatwa na nini mkuu
 
Back
Top Bottom