Ushirikina katika ngono na Manii

Ushirikina katika ngono na Manii

4. Ndoto nyevu na kuota unafanya mapenzi mpaka unatoa manii kabisa, hii mara nyingi huwatokea wale wenye kuleta nyodo kwa wanawake na kujisikia kulikopitiliza.



Mh mbn km siamini hivi
 
4. Ndoto nyevu na kuota unafanya mapenzi mpaka unatoa manii kabisa, hii mara nyingi huwatokea wale wenye kuleta nyodo kwa wanawake na kujisikia kulikopitiliza.



Mh mbn km siamini hivi
Ndoto nyevu zina mengi ndani yake
-ushirikina
-kufanya mapenzi na majini na mapepo
-ugwadu
- ndoto za kawaida
 
Ni imani zenye uhalisia kuna kundi kubwa sana la watoto wachawi na washirikina.. Tena mahiri hasa Jiulize katika umri ule kajifunza au kafunzwa saa ngapi? Tena yuko daraja la juu! Kumbuka Uchawi na ushirikina pia vina madaraja
Msaada tofauti ya mchawi na mshirikina
 
Ndoto nyevu zina mengi ndani yake
-ushirikina
-kufanya mapenzi na majini na mapepo
-ugwadu
- ndoto za kawaida


Kuna wakat naota nafanya mapenz hata na mwanamke nsiomjua na mara nyingi huwa sioni uso wao ndo mapepo au
 
Mungu wangu hii ni real jitahidi kujipakaza ndimu na kuogea chumvi hayo ni majini ukiyazoea hutatamani mwanamke
 
Mkuu kama hali ni hiyo kumkwepa mchawi ni kazi sana, yote utafanya ila kimbembe sasa usiku wanapokuja kujipimia na vikombe vyao... Mungu atuokoe tu. Sasa utawezaje kufahamu mtoto wako kazaliwa mshirikina? mshana jr
ww mpaka na vikombe wanajaza
 
Nakumbuka zamani kidogo nlienda kumtembelea rafiki yangu alikuwa unasoma chuo cha mzumbe morogoro sasa baada ya kilevi tukatafuta mwili(Malaya) ila jamaa akanisihi sana nikimaliza nibebe manii yangu nlio pizi kwenye ndomu ili tukatupe mbeleni kwamba ukiiacha wale Malaya huenda wakaifanyia namna
 
Mojawapo wa vizazi vya duniani ni kizazi cha wachawi washirika na walozi. Hii ni jamii inayofanya kila mbinu kujitanua na kujijengea himaya kubwa na yenye nguvu zaidi duniani.

Kwenye ulimwengu wa kishirikina, mchawi mzuri na wa uhakika si yule wa kurithishwa au kufunzwa duniani (kwenye post zilizopita tumeona kuna vyuo vya kishirikina) hawa wanakuwa si halisi hawa wana damu na makandokando ya kiimani na starehe za kidunia, kwahiyo wachawi hufanya kila aina ya mbinu kupata kizazi chao kisichochakachuliwa kwa njia zifuatazo:-

1. Kutumia wanawake wanaojiuza, vyovyote ufanyavyo ukifanya naye ngono kwa kondom au bila kondom lazima manii zako utaziacha. Kujiokoa na hili tumia kondom kisha ukimaliza kufanya dhambi zako katupe chooni usikubali yeye ndio afanye hiyo kazi itakula kwako.

2. Kutumia mahawara na nyumba ndogo wanaopenda kwenda kwa waganga. Yeye atatumwa manii zako ili atengenezewe dawa kumbe ndio watu wanazichukua wakafanyie yao.

3. Kupenda kujichua, mara nyingi hii watu hufanyia bafuni kule nako watu huweka mtego yao na kuchukua malighafi. Na hii mara nyingi ni kwa wale watu wazima.

4. Ndoto nyevu na kuota unafanya mapenzi mpaka unatoa manii kabisa, hii mara nyingi huwatokea wale wenye kuleta nyodo kwa wanawake na kujisikia kulikopitiliza.

Manii hizi huchanganywa na madawa na kwa njia za kishirikina huwekewa wanawake wenye mimba changa au mimba zinazotunga na kulea mimba ya kichawi mpaka mtoto anazaliwa akiwa mchawi. Mtoto wa namna hii huwa agent tangu kuzaliwa kwahiyo hata ahubiriweje hawezi kubadilika.

Jiepushe na haya kwa:

1. Kuwa na mwenza mmoja mwaminifu
2. Kuhifadhi manii zako vizuri kwa namna yoyote ile na kwa hali yoyote ile, hakikisha haziangukii mikononi mwa yeyote
3. Kuepuka uwezavyo kufanya masturbation na kufanya mapenzi na watu usiowafahamu
Kwa njia hii utasaidia mno kudhoofisha kizazi cha kichawi na kishirikina
, mkuu umetoa changamoto 4, umekuja na suluhu 3, hiyo suluhu 1 imepotelea wapi, hasa hiyo inayohusiana na changamoto ya 4?
 
Back
Top Bottom